Nimewaza tu wazee wenzangu kuwa tuna kila sababu ya kuwashukuru wenye Barber Shop au Saloon kwa kutusaidia tusiufikirie saaaana uzee tulionao. Wengi tunapaka Black na wengine tunanyoa vipara kumaliza nywele kabisa. Lengo letu ni kuficha Mnvi na Vipara vinavyokuja naturally.
Nakumbuka siku za nyuma nilifika hospital moja alipolazwa mzee wangu mmoja , nusu nimsahau maana sikujua kama ana Mnvi kiasi kile.
Anyway nimewaza tu
Nakumbuka siku za nyuma nilifika hospital moja alipolazwa mzee wangu mmoja , nusu nimsahau maana sikujua kama ana Mnvi kiasi kile.
Anyway nimewaza tu