Siku Saloon za kiume zikigoma Wazee wengi tutaumbuka

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,342
4,801
Nimewaza tu wazee wenzangu kuwa tuna kila sababu ya kuwashukuru wenye Barber Shop au Saloon kwa kutusaidia tusiufikirie saaaana uzee tulionao. Wengi tunapaka Black na wengine tunanyoa vipara kumaliza nywele kabisa. Lengo letu ni kuficha Mnvi na Vipara vinavyokuja naturally.

Nakumbuka siku za nyuma nilifika hospital moja alipolazwa mzee wangu mmoja , nusu nimsahau maana sikujua kama ana Mnvi kiasi kile.

Anyway nimewaza tu
 
Saloon 🤔?,
 
Kwa wanawake ndiyo hatari zaidi. Siku uzalishaji/uuzaji wa make-up na saloon za kike zikipigwa marufuku Kuna wanaume hawatawatambua wake zao.

Watadhani wamelala na mama mkwe kumbe ndiyo yule yule mkewe wa kila siku.
 
Hivi mvi huwa zinaanza ukifika miaka mingapi maana nina mwanangu mmoja hajafika hata miaka 32 ila kachafuka mvi kinoma hadi mimi ndo naogopa najisemea kumbe uzee ni mapema hivi?
 
Nimewaza tu wazee wenzangu kuwa tuna kila sababu ya kuwashukuru wenye Barber Shop au Saloon kwa kutusaidia tusiufikirie saaaana uzee tulionao. Wengi tunapaka Black na wengine tunanyoa vipara kumaliza nywele kabisa. Lengo letu ni kuficha Mnvi na Vipara vinavyokuja naturally.

Nakumbuka siku za nyuma nilifika hospital moja alipolazwa mzee wangu mmoja , nusu nimsahau maana sikujua kama ana Mnvi kiasi kile.

Anyway nimewaza tu
Umesahau na wale wadada
 
Kwa wanawake ndiyo hatari zaidi. Siku uzalishaji/uuzaji wa make-up na saloon za kike zikipigwa marufuku Kuna wanaume hawatawatambua wake zao.

Watadhani wamelala na mama mkwe kumbe ndiyo yule yule mkewe wa kila siku.
Halafu sijui ni kwanini TRA haioni kuwa hiki ni chanzo kizuri cha kodi. Dawa ni kupandisha kodi kubwa kwenye make ups na manywele ya bandia. Ingewezekana nywele bandia kwa kichwa kimoja iwe milioni 3, na bei ya black kwa ajili ya Mnvi iwe million kwa kichwa.

Tuone waficha uzee wakiandamana
 
tutaumia wote, mizinga itapanda
 
Back
Top Bottom