FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,127
- 40,799
Nobel price = Nobel prize
Ndoto hio alishindwa wadhibiti wasiojulikana walishamchafulia kwa kipengele hicho.Labda tuzo zingineKuna watu watakufa kwa wivu
Ila tuzo bora ambayo itamfaa Magufuli Ni ya kutoka kwa Wananchi sio kutoka huko kwa mabeberu yanayotuhujumu
Nobel price!!?...nonsense!...nawaza Tu hapa! Siku Rais wetu akipokea Nobel price nadhani siku hiyo Taifa zima tutakula wali na nyama (nimewaza kama mwanafunzi wa sekondari)
Vile vile siku hiyo itatangazwa kuwa Siku ya mapumziko nchi nzima (nimewaza kama Zitto)
Siku hiyo wanachuo wote walioko kitaa wataajiriwa (nimewaza kama mvuvi pale Feri)
Hongera Waziri Mkuu wa Ethiopia Kwa kupokea Nobel Prize! U deserve it brother!
Na wengine waige kuishi maisha halisia na si ya maigizo!
Yani hata wewe hawajakutunukia hiyo tuzo?! Hata ningekuwa mimi ningeidharau, kwanini, wapewe wengine na sio mimi?!Sifa ya Nobel Prize ilipotea mara baada ya kumtunukia Obama.
Mara baada Obama kushinda nafasi ya kiti cha urais tena kama sikosei ikiwa ni kabla hata hajaapishwa walimtunukia Nibel Prize, wakatuacha na maswali ya "what for"?
Mijadala ilikuwa mingi sana na kwangu binafsi tangu wakati ule sikuwahi kuisikia wala kuifikiria tena kichwani mwangu hadi leo hii nilipoisoma kwenye uzi huu.
Abiy Ahmed ni educated na civilized thus kapewa hizo prizeAlianza Meres Zenawi akarithiwa na Haile Maryam de Salem then ndo kaja mjeshi Abiy Ahmed
True kuhatarisha Maisha yake kwa kupinga udikteta na kutetea utawala wa sheria,utawala Wa sheria uepusha uwepo Wa wakimbizi ambao ni gharama kwa dunia kuwatunza.Watawala wa kiafrica wawezacho kwa bidii ni kuzalisha wakimbizi na sio kuhudumia wakimbiziKuna uwezekano mkubwa Tundu Lissu kupokea Nobel Prize
Umemsahau Laanatullahi Nyerere?Nasikia Hitler, Idd Amin, Bokasa wanaandaa Nobel Prize yao! Labda hiyo!
Anaijua Kwanza Nobel ni tuzo gani? Ukute mwenzio anajua ni Kampuni ya Ujenzi wa Madaraja kule kwao Chaktooooo!😀😀...nawaza Tu hapa! Siku Rais wetu akipokea Nobel price nadhani siku hiyo Taifa zima tutakula wali na nyama (nimewaza kama mwanafunzi wa sekondari)
Vile vile siku hiyo itatangazwa kuwa Siku ya mapumziko nchi nzima (nimewaza kama Zitto)
Siku hiyo wanachuo wote walioko kitaa wataajiriwa (nimewaza kama mvuvi pale Feri)
Hongera Waziri Mkuu wa Ethiopia Kwa kupokea Nobel Prize! U deserve it brother!
Na wengine waige kuishi maisha halisia na si ya maigizo!
Mkuu, imeshatolewa leo. Imeenda kwa PM wa Ethiopia. (BBC)...nawaza Tu hapa! Siku Rais wetu akipokea Nobel price nadhani siku hiyo Taifa zima tutakula wali na nyama (nimewaza kama mwanafunzi wa sekondari)
Vile vile siku hiyo itatangazwa kuwa Siku ya mapumziko nchi nzima (nimewaza kama Zitto)
Siku hiyo wanachuo wote walioko kitaa wataajiriwa (nimewaza kama mvuvi pale Feri)
Hongera Waziri Mkuu wa Ethiopia Kwa kupokea Nobel Prize! U deserve it brother!
Na wengine waige kuishi maisha halisia na si ya maigizo!
Sema kwa wanafiki wa Lumumba na si wananchi wanaofanyiwa maigizo ya burigiKuna watu watakufa kwa wivu
Ila tuzo bora ambayo itamfaa Magufuli Ni ya kutoka kwa Wananchi sio kutoka huko kwa mabeberu yanayotuhujumu