Siku Rais Magufuli akipokea Nobel Price!

...nawaza Tu hapa! Siku Rais wetu akipokea Nobel price nadhani siku hiyo Taifa zima tutakula wali na nyama (nimewaza kama mwanafunzi wa sekondari)

Vile vile siku hiyo itatangazwa kuwa Siku ya mapumziko nchi nzima (nimewaza kama Zitto)

Siku hiyo wanachuo wote walioko kitaa wataajiriwa (nimewaza kama mvuvi pale Feri)

Hongera Waziri Mkuu wa Ethiopia Kwa kupokea Nobel Prize! U deserve it brother!

Na wengine waige kuishi maisha halisia na si ya maigizo!
Nobel price!!?...nonsense!
 
Sifa ya Nobel Prize ilipotea mara baada ya kumtunukia Obama.
Mara baada Obama kushinda nafasi ya kiti cha urais tena kama sikosei ikiwa ni kabla hata hajaapishwa walimtunukia Nibel Prize, wakatuacha na maswali ya "what for"?
Mijadala ilikuwa mingi sana na kwangu binafsi tangu wakati ule sikuwahi kuisikia wala kuifikiria tena kichwani mwangu hadi leo hii nilipoisoma kwenye uzi huu.
Yani hata wewe hawajakutunukia hiyo tuzo?! Hata ningekuwa mimi ningeidharau, kwanini, wapewe wengine na sio mimi?!
 
Yule dictactor aliyemrithi anaitwa nani? .Aliyemuuwa mfalme Selasie dikteta mengustu betri yawezakata chaji mda wowte alipo zambia
Alianza Meres Zenawi akarithiwa na Haile Maryam de Salem then ndo kaja mjeshi Abiy Ahmed
 
Kuna uwezekano mkubwa Tundu Lissu kupokea Nobel Prize
True kuhatarisha Maisha yake kwa kupinga udikteta na kutetea utawala wa sheria,utawala Wa sheria uepusha uwepo Wa wakimbizi ambao ni gharama kwa dunia kuwatunza.Watawala wa kiafrica wawezacho kwa bidii ni kuzalisha wakimbizi na sio kuhudumia wakimbizi
 
...nawaza Tu hapa! Siku Rais wetu akipokea Nobel price nadhani siku hiyo Taifa zima tutakula wali na nyama (nimewaza kama mwanafunzi wa sekondari)

Vile vile siku hiyo itatangazwa kuwa Siku ya mapumziko nchi nzima (nimewaza kama Zitto)

Siku hiyo wanachuo wote walioko kitaa wataajiriwa (nimewaza kama mvuvi pale Feri)

Hongera Waziri Mkuu wa Ethiopia Kwa kupokea Nobel Prize! U deserve it brother!

Na wengine waige kuishi maisha halisia na si ya maigizo!
Anaijua Kwanza Nobel ni tuzo gani? Ukute mwenzio anajua ni Kampuni ya Ujenzi wa Madaraja kule kwao Chaktooooo!😀😀
 
Akiipokea atawatukana mpaka waliompa na kuwapa maagizo wamletee huku huku. Halafu kabla hawajamletea wajifunze kiswahili.
 
...nawaza Tu hapa! Siku Rais wetu akipokea Nobel price nadhani siku hiyo Taifa zima tutakula wali na nyama (nimewaza kama mwanafunzi wa sekondari)

Vile vile siku hiyo itatangazwa kuwa Siku ya mapumziko nchi nzima (nimewaza kama Zitto)

Siku hiyo wanachuo wote walioko kitaa wataajiriwa (nimewaza kama mvuvi pale Feri)

Hongera Waziri Mkuu wa Ethiopia Kwa kupokea Nobel Prize! U deserve it brother!

Na wengine waige kuishi maisha halisia na si ya maigizo!
Mkuu, imeshatolewa leo. Imeenda kwa PM wa Ethiopia. (BBC)
 
Na ndipo Amin, Bokassa, Gaddafi na Saddam nao wafufuliwe wapewe Nobel zao, otherwise, there will be no fairness.
 
Back
Top Bottom