Siku Rais Magufuli akipokea Nobel Price!

...nawaza Tu hapa! Siku Rais wetu akipokea Nobel price nadhani siku hiyo Taifa zima tutakula wali na nyama (nimewaza kama mwanafunzi wa sekondari)

Vile vile siku hiyo itatangazwa kuwa Siku ya mapumziko nchi nzima (nimewaza kama Zitto)

Siku hiyo wanachuo wote walioko kitaa wataajiriwa (nimewaza kama mvuvi pale Feri)

Hongera Waziri Mkuu wa Ethiopia Kwa kupokea Nobel Prize! U deserve it brother!

Na wengine waige kuishi maisha halisia na si ya maigizo!

Hata kwenye ndoto tu HAITATOKEA.
 
Siku hiyo akipewa chato yote italala magogoni, alafu pale mwananyamala kwenye mageto ya kishikaji wasukuma watakuwepo hapo
 
Daah si mjuzi sana lakini haki ya nani hii tuzo haiitwi nobel "PRICE"
 
Nawaza Tu hapa! Siku Rais wetu akipokea Nobel price nadhani siku hiyo Taifa zima tutakula wali na nyama (nimewaza kama mwanafunzi wa sekondari)
Vile vile siku hiyo itatangazwa kuwa Siku ya mapumziko nchi nzima (nimewaza kama Zitto)
Siku hiyo wanachuo wote walioko kitaa wataajiriwa (nimewaza kama mvuvi pale Feri)
Hongera Waziri Mkuu wa Ethiopia Kwa kupokea Nobel Prize! U deserve it brother!
Na wengine waige kuishi maisha halisia na si ya maigizo!

Kwenye hzo tuzo kunasili kubwa kama vile michezo ya kubahatisha ilivyo, hakuna uhalisia, ukiona mshind wa biko katangwazwa ujue na mgao upo.....
 
Back
Top Bottom