Nasikia Hitler, Idd Amin, Bokasa wanaandaa Nobel Prize yao! Labda hiyo!...nawaza Tu hapa! Siku Rais wetu akipokea Nobel price nadhani siku hiyo Taifa zima tutakula wali na nyama (nimewaza kama mwanafunzi wa sekondari)
Vile vile siku hiyo itatangazwa kuwa Siku ya mapumziko nchi nzima (nimewaza kama Zitto)
Siku hiyo wanachuo wote walioko kitaa wataajiriwa (nimewaza kama mvuvi pale Feri)
Hongera Waziri Mkuu wa Ethiopia Kwa kupokea Nobel Prize! U deserve it brother!
Na wengine waige kuishi maisha halisia na si ya maigizo!
Siku hiyo waliotumbuliwa wote watarudishwa kazini...nawaza Tu hapa! Siku Rais wetu akipokea Nobel price nadhani siku hiyo Taifa zima tutakula wali na nyama (nimewaza kama mwanafunzi wa sekondari)
Vile vile siku hiyo itatangazwa kuwa Siku ya mapumziko nchi nzima (nimewaza kama Zitto)
Siku hiyo wanachuo wote walioko kitaa wataajiriwa (nimewaza kama mvuvi pale Feri)
Hongera Waziri Mkuu wa Ethiopia Kwa kupokea Nobel Prize! U deserve it brother!
Na wengine waige kuishi maisha halisia na si ya maigizo!
Nobel Prize au Price? Tatizo linaanzia hapo!...nawaza Tu hapa! Siku Rais wetu akipokea Nobel price nadhani siku hiyo Taifa zima tutakula wali na nyama (nimewaza kama mwanafunzi wa sekondari)
Vile vile siku hiyo itatangazwa kuwa Siku ya mapumziko nchi nzima (nimewaza kama Zitto)
Siku hiyo wanachuo wote walioko kitaa wataajiriwa (nimewaza kama mvuvi pale Feri)
Hongera Waziri Mkuu wa Ethiopia Kwa kupokea Nobel Prize! U deserve it brother!
Na wengine waige kuishi maisha halisia na si ya maigizo!
Kama ni Nobel price sawa anaweza pata. Lakini NOBEL PRIZE hana uwezo huo...nawaza Tu hapa! Siku Rais wetu akipokea Nobel price nadhani siku hiyo Taifa zima tutakula wali na nyama (nimewaza kama mwanafunzi wa sekondari)
Vile vile siku hiyo itatangazwa kuwa Siku ya mapumziko nchi nzima (nimewaza kama Zitto)
Siku hiyo wanachuo wote walioko kitaa wataajiriwa (nimewaza kama mvuvi pale Feri)
Hongera Waziri Mkuu wa Ethiopia Kwa kupokea Nobel Prize! U deserve it brother!
Na wengine waige kuishi maisha halisia na si ya maigizo!
Sifa ya Nobel Prize ilipotea mara baada ya kumtunukia Obama....nawaza Tu hapa! Siku Rais wetu akipokea Nobel price nadhani siku hiyo Taifa zima tutakula wali na nyama (nimewaza kama mwanafunzi wa sekondari)
Vile vile siku hiyo itatangazwa kuwa Siku ya mapumziko nchi nzima (nimewaza kama Zitto)
Siku hiyo wanachuo wote walioko kitaa wataajiriwa (nimewaza kama mvuvi pale Feri)
Hongera Waziri Mkuu wa Ethiopia Kwa kupokea Nobel Prize! U deserve it brother!
Na wengine waige kuishi maisha halisia na si ya maigizo!
Nobel Peace Prize ni impossible....nawaza Tu hapa! Siku Rais wetu akipokea Nobel price nadhani siku hiyo Taifa zima tutakula wali na nyama (nimewaza kama mwanafunzi wa sekondari)
Vile vile siku hiyo itatangazwa kuwa Siku ya mapumziko nchi nzima (nimewaza kama Zitto)
Siku hiyo wanachuo wote walioko kitaa wataajiriwa (nimewaza kama mvuvi pale Feri)
Hongera Waziri Mkuu wa Ethiopia Kwa kupokea Nobel Prize! U deserve it brother!
Na wengine waige kuishi maisha halisia na si ya maigizo!
.......na kwangu binafsi tangu wakati uke sikuwahi kuisikia wala kuifikiria tena kichwani mwangu.
...nawaza Tu hapa! Siku Rais wetu akipokea Nobel price nadhani siku hiyo Taifa zima tutakula wali na nyama (nimewaza kama mwanafunzi wa sekondari)
Vile vile siku hiyo itatangazwa kuwa Siku ya mapumziko nchi nzima (nimewaza kama Zitto)
Siku hiyo wanachuo wote walioko kitaa wataajiriwa (nimewaza kama mvuvi pale Feri)
Hongera Waziri Mkuu wa Ethiopia Kwa kupokea Nobel Prize! U deserve it brother!
Na wengine waige kuishi maisha halisia na si ya maigizo!
Tayari ushaingia kingKuna watu watakufa kwa wivu
Ila tuzo bora ambayo itamfaa Magufuli Ni ya kutoka kwa Wananchi sio kutoka huko kwa mabeberu yanayotuhujumu
Sio kwa wivu bali kwa mshangaoKuna watu watakufa kwa wivu
Yule dictactor aliyemrithi anaitwa nani? .Aliyemuuwa mfalme Selasie dikteta mengustu betri yawezakata chaji mda wowte alipo zambiaNaona Abiy atakula zawadi ya kama 22B