Siku Rais Magufuli akipokea Nobel Price!

Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
7,295
10,467
Nawaza Tu hapa! Siku Rais wetu akipokea Nobel price nadhani siku hiyo Taifa zima tutakula wali na nyama (nimewaza kama mwanafunzi wa sekondari)

Vile vile siku hiyo itatangazwa kuwa Siku ya mapumziko nchi nzima (nimewaza kama Zitto)

Siku hiyo wanachuo wote walioko kitaa wataajiriwa (nimewaza kama mvuvi pale Feri)

Hongera Waziri Mkuu wa Ethiopia Kwa kupokea Nobel Prize! U deserve it brother!

Na wengine waige kuishi maisha halisia na si ya maigizo!
 
...nawaza Tu hapa! Siku Rais wetu akipokea Nobel price nadhani siku hiyo Taifa zima tutakula wali na nyama (nimewaza kama mwanafunzi wa sekondari)

Nasikia Hitler, Idd Amin, Bokasa wanaandaa Nobel Prize yao! Labda hiyo!
 
...nawaza Tu hapa! Siku Rais wetu akipokea Nobel price nadhani siku hiyo Taifa zima tutakula wali na nyama (nimewaza kama mwanafunzi wa sekondari)

Vile vile siku hiyo itatangazwa kuwa Siku ya mapumziko nchi nzima (nimewaza kama Zitto)

Siku hiyo wanachuo wote walioko kitaa wataajiriwa (nimewaza kama mvuvi pale Feri)

Hongera Waziri Mkuu wa Ethiopia Kwa kupokea Nobel Prize! U deserve it brother!

Na wengine waige kuishi maisha halisia na si ya maigizo!
Siku hiyo waliotumbuliwa wote watarudishwa kazini
Watumishi wataongezewa mishahara na kupandishwa madaraja... Nimewaza kama teja wa kwamtogole
 
...nawaza Tu hapa! Siku Rais wetu akipokea Nobel price nadhani siku hiyo Taifa zima tutakula wali na nyama (nimewaza kama mwanafunzi wa sekondari)

Vile vile siku hiyo itatangazwa kuwa Siku ya mapumziko nchi nzima (nimewaza kama Zitto)

Siku hiyo wanachuo wote walioko kitaa wataajiriwa (nimewaza kama mvuvi pale Feri)

Hongera Waziri Mkuu wa Ethiopia Kwa kupokea Nobel Prize! U deserve it brother!

Na wengine waige kuishi maisha halisia na si ya maigizo!
Nobel Prize au Price? Tatizo linaanzia hapo!
 
Kama ni Nobel price sawa anaweza pata. Lakini NOBEL PRIZE hana uwezo huo
 
...nawaza Tu hapa! Siku Rais wetu akipokea Nobel price nadhani siku hiyo Taifa zima tutakula wali na nyama (nimewaza kama mwanafunzi wa sekondari)

Vile vile siku hiyo itatangazwa kuwa Siku ya mapumziko nchi nzima (nimewaza kama Zitto)

Siku hiyo wanachuo wote walioko kitaa wataajiriwa (nimewaza kama mvuvi pale Feri)

Hongera Waziri Mkuu wa Ethiopia Kwa kupokea Nobel Prize! U deserve it brother!

Na wengine waige kuishi maisha halisia na si ya maigizo!
Sifa ya Nobel Prize ilipotea mara baada ya kumtunukia Obama.
Mara baada Obama kushinda nafasi ya kiti cha urais tena kama sikosei ikiwa ni kabla hata hajaapishwa walimtunukia Nibel Prize, wakatuacha na maswali ya "what for"?
Mijadala ilikuwa mingi sana na kwangu binafsi tangu wakati ule sikuwahi kuisikia wala kuifikiria tena kichwani mwangu hadi leo hii nilipoisoma kwenye uzi huu.
 
...nawaza Tu hapa! Siku Rais wetu akipokea Nobel price nadhani siku hiyo Taifa zima tutakula wali na nyama (nimewaza kama mwanafunzi wa sekondari)

Vile vile siku hiyo itatangazwa kuwa Siku ya mapumziko nchi nzima (nimewaza kama Zitto)

Siku hiyo wanachuo wote walioko kitaa wataajiriwa (nimewaza kama mvuvi pale Feri)

Hongera Waziri Mkuu wa Ethiopia Kwa kupokea Nobel Prize! U deserve it brother!

Na wengine waige kuishi maisha halisia na si ya maigizo!
Nobel Peace Prize ni impossible.
Labda ianzishwe Nobel Brutality Prize. Hapo kama kumsukuma mlevi 😀😀😀
 
Hiyo siku shetani atashuka rasmi na kuomba msamaha na kuzima moto wa jehanamu, hakutakuwa na hofu ya moto wala kuzimu na dhambi zitakuwa hakuna tena Mungu ataumba upya ulimwengu tukiwa na mwili huu huu wala hakutakuwa na kifo tena.
 
...nawaza Tu hapa! Siku Rais wetu akipokea Nobel price nadhani siku hiyo Taifa zima tutakula wali na nyama (nimewaza kama mwanafunzi wa sekondari)

Vile vile siku hiyo itatangazwa kuwa Siku ya mapumziko nchi nzima (nimewaza kama Zitto)

Siku hiyo wanachuo wote walioko kitaa wataajiriwa (nimewaza kama mvuvi pale Feri)

Hongera Waziri Mkuu wa Ethiopia Kwa kupokea Nobel Prize! U deserve it brother!

Na wengine waige kuishi maisha halisia na si ya maigizo!

!
!
Thubutuuuu..... Nakunya Boga Hadharani!
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom