Huyu ana reseat mtihani wa form four. Hiyo hela anayosema ndiyo ada ya kurudia mtihani wa form four. Sema inaonekana kijana mwenyewe ni bishoo ndo maana hataki kusema openly
Jamanii mnaopandaga zile ndegee zinaitwaaje kwelii ....class jamanii njoonii msichengee
Matola na Dark City, asanteni kwa support kubwa. swahiba Mbu nae alitaka kunitumia pesa kwa ajili ya dogo nikamuambia wewe diaspora subiria mzinga wa milioni na ushee (kwi kwi kwi). By the way dogo anaweza kufika university huyu.
Kesho nitatuma mtu akutane na kijana na kusort hiyo ada (tutamalizana na babu Dark City. Mkuu Matola kama unataka kumsaidia nauli na kadhalika zingine naomba nikupe jibu kesho kwa sababu dogo hana simu, tunajibizana pm kwa manati. Naomba nikiri bado sijamuamini 100% (kingasti hatapeliwi hata buku 5!!). Nitakupm kesho baada ya dogo kuonana na mjoli wangu na kumlipia ada then uamue unamsaidiaje.
nataka nimuongezee dogo ka buku tano kwa tigo pesa.. protokali ikoje?
Kama mnamsaidia msaidien maneno meng hayatomsaidia
ahahaha, mkuu msinitwishe coordination ya hii issue bwana. wacha dada atoe msaada nae, AMEGUSWA.
Mrejesho:
Jana huyu kijana alinitaarifu tena juu ya suala lililoibuka la kulipia kituo cha kufanyia mtihani. Nikamuagiza kwa sababu alishasema ana tzs 30,000/= basi azitumie hizo kulipia kituo cha mtihani na tutaona cha kufanya juu ya ada. Kweli alifanya hivyo na kukamilisha na kupewa reference mpya (kwa sababu asingeruhusiwa kutumia ile ya form two).
Kijana micka jac amelipiwa ada ya mtihani kiasi cha tzs 73,000/= leo hii. Ada ilifika hapo tena kwa sababu kulikuwa na fine ya kuchelewa kulipa.
vanmedy, tafadhali wasiliana kwa pm na kijana ili umtumie ile pesa yako (hakika sio ndogo kwa mhitaji na Mungu akubariki). Napenda kutoa shukrani za dhati kwa babu Dark City kwa kuongezea sehemu ya ada, na kwa kaka Matola kwa kumtumia kiasi kwa ajili ya kumsaidia nauli na mengineyo.
Haya dogo ulete matokeo hapa, diaspora Mbu anasubiri kuhusishwa na ada ya chuo. tena ukipata ualimu ndo kabisaaaaa, urudi na thread 100 hadi watoe!
Kitu alichonipa raha huyu mtoto ni kutaja ada na kusema kiasi alichokwisha kutafuta. Ni mtu mwenye bidii na ambae hajabweteka. Niliwahi kukutana na kijana mwingine alikuwa na biashara ya genge huku anasoma high school. Kweli ukifanya kazi kwa bidii na kwa uaminifu, tutakuja kukutana maofisini huko. Ukimaliza shule useme tukutafutie na ajira.
Aluta continua:grouphug: