- Thread starter
- #21
Ulisema unadaiwa elfu 50 na nikakwambia tuma hizo reference hapa tukusaidia ukaingia mitini we mtt ukoje au sio mwaminifu kweli?
haukurudi tena. Na wala haukuangalia kile nilichokiandika. Nilitoa maelekezo ya jinsi ya kulipia kama nilivyoandika hapo juu. Wala haukfanya au kunijuza kama ulivyosema.