Siku nilipotemwa, niliambiwa haya....

hAHAHAHAAAA HAPA NDIO PA KUSHINDA HAPA HUKO KWENYE SIASA MMMHHHHH

mi sikumbuki kuachwa bhana na hao niliowaaacha tuliachana kwa amani sana japo .......

acha tu ndugu yangu
siasani kunachanganya ubongo.

duh mi ilikuwa kimya kimya na akaoa kabisa
nilihisi dunia ipo upside down

ila ss nipo happy
 
Mi nimechwa Wiki iliopita tu baada ya kudumu nae Miaka 6 Mchezoni,sababu kubwa alio niambia ni kwamba Kifanyio Changu (Dushelele) hali mkuni Ipasavyo(Kibamia)
 
Katika maisha ya mapenzi kuachwa ni jambo la kawaida japo lisilozoeleka, halina mzoefu, kuona umeachwa halafu mwanamke huyo akachukuliwa na mwanaume mwingine, ukipiga picha kinachoendelea wakiwa kitandani, inaumiza sana. Nimekuwa na bahati mbaya ya kuachwa kila wakati, katika kuachwa kote huyu dada sitamsahau kamwe:
...... nilidhani unajua mapenzi, kumbe kitandani hakuna unachokijua, hujanirdhisha kabisa. Nikadhani atanipatia nafasi nyingine niboreshe zaidi, kumbe ndo kaniacha.

Wewe uliachwa kwa maneno gani??????

Sasa kama umeshaachwa mara nyingi, huoni kama kuna tatizo na afadhali huyo amekuambia ukweli inabidi ujirekebishe mapungufu uliyonayo tena mshukru sana huyo ndo atakufanya upunguze kuachwa.
 
Duh! Mie enzi za chuo bana nikaambiwa wote hatukujipanga ,hatukuwa tayari yaniiii ilitolewa general conclusion, afu kwenye sms. Dah! Dunia niliiona kama kizibo cha soda ,ndogoooo.
 
Mimi aliniambia " ..... My dear xxxx, we can't go on like this kwasababu wewe ni Mpinga Cristo, sorry for westing u' re time" hapo tushakata miaka mitatu, ndio mipango ya kutambulishana kwa wazazi ipo hot
 
yani siku hizi kwenye siasa kunaboa kweli, halafu kunatia hasira sana, huku rahaaa sana, full suruali kwenda wima. unabonyeza juu na chini.

Huku no stress...ila chunga tu mbavu zako kama huna uwezo wakununua zingine
 
Mimi aliniambia " ..... My dear xxxx, we can't go on like this kwasababu wewe ni Mpinga Cristo, sorry for westing u' re time" hapo tushakata miaka mitatu, ndio mipango ya kutambulishana kwa wazazi ipo hot

Poooole...
 
kuachwa tu ndio kulia, kama vipi tumia bistoli utoe machungu, JEKI utaambiwaje div.5 kwa bed bwana....?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom