Siku nilipotemwa, niliambiwa haya....

Hhehehe "nimeachwa" mara mbili.
Ya kwanza
Binti: Nyamgluu mimi nataka kuolewa ila naona hauko serious na swala hilo, kuna mtu amekua akinifwatilia miaka 7 sasa na yuko tayari kunioa.
Nyamgluu: Ok.
Binti: Mbona kirahisi hivyo wewe hunipendi nyamgluu.
Nyamgluu: Hehe sasa kati yako unaeniacha na mimi ambae sijakuacha nani hampendi mwenzake?

Mara ya pili:
Binti: Hata sijielewi imekueje nika cheat baby, naomba unisamehe. Shetani alinipitia.
Nyamgluu: Nafikiri ungemwomba shetani abaki kabisa sio akupitie tu.

Kuacha ndio eh! Kuna vinganganizi mia kidogo.
Juzi ilibidi nimwonyeshe kabisa binti kuwa kitu haitaki kabisa na ikabidi nitongoze marafiki zake wa karibu kuhakikisha ujumbe unafika.
 
Looo!! Me sijawah achwa jaman huwa naacha afu bila 7bu za msingi sasa sijui yakinikuta itakuaje
 
Mapenzi yanavua watu nguo mbele ya kadamnasi hadi wengine wanajinyonga kisa ile kitu ya katikati

me naona ujinga huuu navyo wachukia wanaume jamani sitaki kabisa kusikia hiii mambo.................. let do it for fassion and games.....
 
Katika maisha ya mapenzi kuachwa ni jambo la kawaida japo lisilozoeleka, halina mzoefu, kuona umeachwa halafu mwanamke huyo akachukuliwa na mwanaume mwingine, ukipiga picha kinachoendelea wakiwa kitandani, inaumiza sana. Nimekuwa na bahati mbaya ya kuachwa kila wakati, katika kuachwa kote huyu dada sitamsahau kamwe:
...... nilidhani unajua mapenzi, kumbe kitandani hakuna unachokijua, hujanirdhisha kabisa. Nikadhani atanipatia nafasi nyingine niboreshe zaidi, kumbe ndo kaniacha.

Wewe uliachwa kwa maneno gani??????

Mkuu pole sana,,, ni nafuu akuache kwa kisingizio kingine kama pesa sio hicho cha kutomrizisha,ni aibu mno.
 
Mi niliambiwa niwe MSABATO!!!! Hii ilkuwa ngumu kwangu!! ila had sasa bado niko mguu mmoja nje mwingine mlangon!! Si unajua MAHANDSOME Hatuachi hivihivi!
 
Mi aliniambia kuwa hatumatch kisa kwao mambo safi na sisi kwetu hali ni kawaida tu....ila sasa hv baada ya kuniona na kitumbo na hatimae mtoto kaanza kuleta mizengwe mara eti ooh nilidanganywa....na mm ndio sina time tena kwsbb nsharidhika na wa hali ya kawaida mwenzangu.

haaa wenzie wanalilia six packs yeye analilia kitumbo khaaa!
 
mada tamu kweli kweli but asilimia kubwa y wachangiaji hawajafuata muongozo w mtoa mada kama alivyohitaji kushare experiance zetu! Kw ufupi tu yngu ilikuwa hivi " nilidumu nae kw takribani miaka mitano kasoro lkn mwisho w cku nikaambiwa kuwa hana hisia n mm kumbe alikuwa akicheat n rafiki yngu! Hivyo ndivyo nilivyo miminwa, But all in all nashukuru kw kunikomaza n kunifumbua kw mengi sana.
 
Unajua raha ya kuachana kwa amani? Means the day you miss her/him mnakutana mnakumbushia then life goes on. Ila wakati unayafanya hayo kumbuka kuwa kuna mananasi yaliyooza ndani

CC: Mentor
enhe..japo nin malizia bath
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ni kwamba uliingia miguu yote kwa huyo demu. Chakufanya tafuta demu mwingine uishi nae ila mguu mmoja ndani mwingine nje, nae akileta wenge tafuta mwingine wakusongesha maisha.
 
hAHAHAHAAAA HAPA NDIO PA KUSHINDA HAPA HUKO KWENYE SIASA MMMHHHHH

mi sikumbuki kuachwa bhana na hao niliowaaacha tuliachana kwa amani sana japo .......
yani siku hizi kwenye siasa kunaboa kweli, halafu kunatia hasira sana, huku rahaaa sana, full suruali kwenda wima. unabonyeza juu na chini.
 
Unajua raha ya kuachana kwa amani? Means the day you miss her/him mnakutana mnakumbushia then life goes on. Ila wakati unayafanya hayo kumbuka kuwa kuna mananasi yaliyooza ndani

CC: Mentor

Mdogo wangu hajui hayo bana, muache!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom