Siku nilipotemwa, niliambiwa haya....

Siku nilipotemwa, niliambiwa haya....

Hili la kutokujua mchezo nadhani ulitukanwa bila kuhusika.... katika mapenzi ujuzi unatokana na mnavyoelekezana na kujuliana kwani kila mpenzi ana mapigo yake yanayomfikisha kunako. Ndio maana unapoachana na huyu ukaanza na yule inaanza safari nyingine mpya yenye mbwembwe na bashasha tofauti za mapenzi na hata ungonokaji wa tofauti kimtazamo. Upande wangu namwona yeye ndie mjinga kwa kutokuwa wazi kwako ili umjue alivyo.
 
Sasa mtu mpaka anaambiwa kuwa kitandani ni zero hashtuki, tatizo aliona anavyokatakata viuno ka vya mbuzi akadhani anamridhisha binti wa watu
nitonye well said hahhaha ukute alikomaa n kukata miuno kama mnenguaj wa fm academia akasahau maoenz ufundi akabwagwa
 
Last edited by a moderator:
Duh, pole kaka. Me sijawahi ku-experience hiyo kitu... labda waje wazoefu...
 
Katika maisha ya mapenzi kuachwa ni jambo la kawaida japo lisilozoeleka, halina mzoefu, kuona umeachwa halafu mwanamke huyo akachukuliwa na mwanaume mwingine, ukipiga picha kinachoendelea wakiwa kitandani, inaumiza sana. Nimekuwa na bahati mbaya ya kuachwa kila wakati, katika kuachwa kote huyu dada sitamsahau kamwe:
...... nilidhani unajua mapenzi, kumbe kitandani hakuna unachokijua, hujanirdhisha kabisa. Nikadhani atanipatia nafasi nyingine niboreshe zaidi, kumbe ndo kaniacha.

Wewe uliachwa kwa maneno gani??????

Mtu akipania kukuacha anakuambia chochote ambacho kitakufanya uishiwe hata nguvu ya kubembelezea
 
Huwezi achwa nowdays kama Wallet,ATM,Tigo Pesa,M-Pesa Airtelmoney vinatimiza wajibu.
 
Haaaa haaaa hapa hakinaga mbabe hata mkulu alipogundua papii anataka asababishe kibiti alimweka mahali pema pa matatizo.

Ila kuachwa kuna raha zake wewe,jaribu uone

NB dont try this at home or school is for profesional
 
hAHAHAHAAAA HAPA NDIO PA KUSHINDA HAPA HUKO KWENYE SIASA MMMHHHHH

mi sikumbuki kuachwa bhana na hao niliowaaacha tuliachana kwa amani sana japo .......
Japo nini sasa?? Lile kweli jukwaa la stress aise
 
Mi aliniambia kuwa hatumatch kisa kwao mambo safi na sisi kwetu hali ni kawaida tu....ila sasa hv baada ya kuniona na kitumbo na hatimae mtoto kaanza kuleta mizengwe mara eti ooh nilidanganywa....na mm ndio sina time tena kwsbb nsharidhika na wa hali ya kawaida mwenzangu.
 
Kwani huyo demu kabla ya kuwa wako, si kuna mwingine alikuwa anamiliki!!!

Kwa hilo tu ulipaswa ujifunze kuwa hata wewe unaweza kufanywa Ex anytime....
 
hAHAHAHAAAA HAPA NDIO PA KUSHINDA HAPA HUKO KWENYE SIASA MMMHHHHH

mi sikumbuki kuachwa bhana na hao niliowaaacha tuliachana kwa amani sana japo .......

enhe..japo nin malizia bath
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom