Siku mbaya JF

Toka lini uliona bibikizee anachapwa kwa utovu wa nidhamu!!
Mambo ya ban tuachie sisi akina hunhe.
 
Wa kunipa siku mbaya humu sijamuona🤣🤣🤣
Kubishana na watu wenye sonona nikawatilia maanani tena wenye fake IDs badooooo sanaaaa
Na nilivyo jeuri wala sikuweki kwenye ignore list bali nakukaza live kwenye comments mpk upoteane 🤣🤣🤣
 
Toka lini uliona bibikizee anachapwa kwa utovu wa nidhamu!!
Mambo ya ban tuachie sisi akina hunhe.
Hakuna aliyepigwa ban zaidi yangu hapa JF, mpaka ID yangu wakaibadili wakaiita "ban 1"

Wewe ushawahi kulambwa ban ya maisha? Mimi nimeshapigwa, lakini sijawahi kuiona siku mbaya hata moja na wala siijuwi imekaaje.
 
Nilitaka niwaite mje kutuelesa Siku mbaya zenyu jf nikasema nisije fanya Siku mbaya kwa mshana uzi ukafungwa staki mimi🤠!


Miss you kipenziii!!
 
Mkuu unachopaswa kutambua ni kwamba humu JF kuna watu wapo kwa malengo au maagizo maalumu. Ni vigumu kubishana na CHAWA ukatoka salama. Usipokuwa mvumilivu, utajikuta stress zake za Lumumba zinahamia kwako, Beware of lice!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…