G
guest-1787677561
Guest
Si ndio hapo sasa. Sasa kumekuwa na mafundisho na mashuhudizo mengi ya kufarakanisha, kukwaza na kutaabisha watu.Kuweka Imani na kuamua kuweka siku kuwa YESU alizaliwa haimaanishi kuwa humuamini Yesu...
Kuamini tu kuwa Yesu alizaliwa na kufurahia sio dhambi ..