Jamani bangi ya zanzibar imekamatwa katika meli, imeandikwa na the Sun ya UK, Daily Telegraph, Le monde, Le FIgaro, Washngton post, New york times, Al Aharam, India Times, kwanini udogo wa akili yangu uonekane pekee na si dunia nzima?Mkuu wewe lazima utakuwa muhariri wa gazeti la nipashe au umemaliza chuo juzi bado thinking capacity yako is too low kujua mambo ambayo yalokuwepo ndani ya muungano wote na kilicho tokea kwenye hiyo issue ya meli lakini very soon kila kitu kitakuwa sawa na kila mtu atapata anacho kihitaji katika maslahi ya nchi yake
Mkuu Nguruvi3,
Mtoto akifanya kosa la uharibifu wa mali, au trespass yoyote, anayewajibika kushitakiwa na kulipa fidia ni mzazi!.
Vivyo hivyo mke, ambaye ni mama wa nyumbani, akifanya kosa, anayewajibika kulipa faini ni mumewe!.
Zanzibar ni sehemu ya JMT, tumeungana kama mke na mume, yaani Tanganyika na Zanzibar zimeona na kuzaa Tanzania.
Zanzibar ni "mke", mbele ya jicho la kimataifa, na Tanzania ndie "mume", hivyo kosa lolote la kimataifa "mke" huyu atakalotenda, anayewajibika ni "mume".
Kwani OIC ilikuwaje?, acheni tuendelee kuwajibika, Zanzibar ni "mke" wetu, tumempenda wenyewe, lazima tumvumile na kwa vile tunampenda kwa dhati, talaka hatutoi ng'o!.
Mpenda maendeleo yoyote, humsupport mkewe afanye biashara ndogo ndogo za "ubuyu", kuuza "asikirimu" juisi, visheti etc, na fedha zinazotokana na biashara hiyo, hujinunulia kanga, mitandio, wanja, udi, chetezo na nguo za kujisitiri, hivyo kujikuta anakupunguzia wewe matumizi ya kukidhi mahitaji ya nyumbani, na siku nyingine, fedha hizo hutumika hata kununulia vitafunio, mboga au hadi chakula!.
Kwa biashara ndogo ndogo anayoifanya mkeo, hakukuondolei wewe mume, jukumu la kumlisha na kumvisha eti tuu kwa sababu anaingiza kipato!. Mwachieni mke wetu ile faini ni yake, mumu ataendelea kumlipia umeme, kugharimia gharama za safari zake za nje, kugharimia gharama za kuendesha muungano, kuendelea kuwahudumia ndugu wa mke wanaishi nyumbani kwako, kuendelea kuwatafutia kazi mashemeji kama kila kibarua cha wizara ya ulinzi, Afya, mambo ya nje, muungano, mabalozi etc. Hizi ndizo gharama za ndoa, ndizo gharama za kupenda na tunazilipa zote kwa roho kwatu "nyeupe" kwa sababu tumependa!.
Sisi Watanzania tuko wengi wa aina tofauti na dini tofauti, kuna dini za wenzetu wanasema "mke kama hakutaki, mwache aende zake!". Au Mke kama umemchoka, mpe talaka yake!" hivyo wao wanataka "mke huyu" apewe talaka ende zake, kama ataolewa tena ni juu yake!.
Mimi ni Mkristu Mkatoliki, ndo ni mpaka kifo kitutenganishe, hakuna talaka, hakuna kuachana wala kutengana!. Mke hata umchoke vipi, au akuchoke vipi, ndio itaendelea tuu kwa lazima!. Hata kama mapenzi ndani ya nyumba yamekwisha, utavumilia tuu, utaendelea kuubeba msalaba wako hadi mwisho wa safari!.
Muungano wetu ni ndoa ya Kikristo!, hauna talaka!.
Pasco.
Wa muundo huu uliopo sasa.Hizi ndizo gharama za muungano..
Leo umesema jambo, tuvunje jahazi. Sijui kama kuna mbao za kugawana! sina uhakika.Kama imekuuma na uha yakini na hicho ulichoandika kuhusu ukupe wa Znz kwa Tanganyika. Kwanini mnazidi kuwang'ang'aniza katika huo Muungano?
Je kuna Siri gani hapo.
Lakin msingi mkubwa ni kupatikana kwa JAMHURU YA NCHI ZA TANZANIA. au kila mtu achukue mbao zake na kulianzisha. Jukumu leni kusuka au kunyoa.
Leo umesema jambo, tuvunje jahazi. Sijui kama kuna mbao za kugawana! sina uhakika.
Mbao ndio hizi za ada za siri, sijui kwakweli.
Halafu umekubaliana na hoja zote na kuja na conclusion nzuri sana, hii ni maturity nzuri na pongezi.
Nadhani hata wewe itakuwa imekuuma pengine tofauti na mimi kwa njia fulani.
Wewe unapofikiri taifa lenye asilimia 98 kubainika linashiriki biashara haram ni dhwalili sana. I can see your frustration. Pili, kugundua kuwa mamlaka kamili hayapo pale Mwakyembe anapokuwa na madaraka kuliko SMZ yote inauma, maana nzima ya ZMA inaonekana vurugu tu zisizo na mkakati. Huwezi kukana kisheria uwepo wako ndani ya JMT huku ukiwa umejificha ukilipiwa ada kisiri siri, ukiwa na bendera ya watu kwa kujificha. Inauma nakuelewa kwa hilo.
Jamani bangi ya zanzibar imekamatwa katika meli, imeandikwa na the Sun ya UK, Daily Telegraph, Le monde, Le FIgaro, Washngton post, New york times, Al Aharam, India Times, kwanini udogo wa akili yangu uonekane pekee na si dunia nzima?
Hivi waziri kuwakemea waandishi na kukaa kimya kuhusu bangi ni jambo jema? Hata udogo wa akili yangu unagoma kuamini kama ni sahihi. Capacity yangu ipo too low lakini katika hiyo low kuna jambo, chukua hilo jambo acha ile low.
Mbona bandiko hamjibu mumejikita katika hoja taka?
ZMA ni mamlaka kamili ya usafiri baharini. Ni ukweli
ZMA ni taasisi ya SMZ. Ni kweli na ilianzishwa 2006
ZMA inalipiwa ada na JMT wakiwemo wahaya, wamakuwa ,wabondei, wanyakyusa n.k.
ZMA ina wakala Philatec. Ni ukweli
ZMA uinasajili meli za zanzibar. Ni kweli
ZMA ilisajili meli 400 ikiwemo ilikamatwa na tani 30 za bangi. Ni kweli
Waziri wa Miundo mbinu znz amewatukana na kuwananga waandishi wa Tanzania bara na si dunia. Ni kweli
Ameshindwa kulaani zigo la bangi. Ni kweli
Amekiri znz kumiliki meli na kutojua kuhusu bangi. Hatuna uhakika na kauli
Hataki habari za bangi ya znz ziandikwe. NI kweli
Mwakyembe hapaswi kuingilia biashara za Zanzibar. Ni kweli
Hapaswi kutumia kodi zetu kwa chombo kisichotuhusu.Kweli
Amebeba dhamana kubwa kuliko SMZ. Ni kweli
Atoe mamlaka kamili kwa ZMA kushugulikia bangi bila kuingilia shughuli za SMZ. Maoni yetu
Azuie kodi za JMT zisitumike kusajili ZMA inayosajili meli za bangi. Ni kweli
Wenzangu wznz mnanitukana tuu, hamjibu hoja. Mimi sikufunga marobota ya bangi, wala sikusajili meli znz, kwanini niwe na makosa pengine kuliko waziri aliyesimama kidete kulaani uandishi na si bangi?
Mkuu Nguruvi3,
Mtoto akifanya kosa la uharibifu wa mali, au trespass yoyote, anayewajibika kushitakiwa na kulipa fidia ni mzazi!.
Vivyo hivyo mke, ambaye ni mama wa nyumbani, akifanya kosa, anayewajibika kulipa faini ni mumewe!.
Zanzibar ni sehemu ya JMT, tumeungana kama mke na mume, yaani Tanganyika na Zanzibar zimeona na kuzaa Tanzania.
Zanzibar ni "mke", mbele ya jicho la kimataifa, na Tanzania ndie "mume", hivyo kosa lolote la kimataifa "mke" huyu atakalotenda, anayewajibika ni "mume".
Kwani OIC ilikuwaje?, acheni tuendelee kuwajibika, Zanzibar ni "mke" wetu, tumempenda wenyewe, lazima tumvumile na kwa vile tunampenda kwa dhati, talaka hatutoi ng'o!.
Mpenda maendeleo yoyote, humsupport mkewe afanye biashara ndogo ndogo za "ubuyu", kuuza "asikirimu" juisi, visheti etc, na fedha zinazotokana na biashara hiyo, hujinunulia kanga, mitandio, wanja, udi, chetezo na nguo za kujisitiri, hivyo kujikuta anakupunguzia wewe matumizi ya kukidhi mahitaji ya nyumbani, na siku nyingine, fedha hizo hutumika hata kununulia vitafunio, mboga au hadi chakula!.
Kwa biashara ndogo ndogo anayoifanya mkeo, hakukuondolei wewe mume, jukumu la kumlisha na kumvisha eti tuu kwa sababu anaingiza kipato!. Mwachieni mke wetu ile faini ni yake, mumu ataendelea kumlipia umeme, kugharimia gharama za safari zake za nje, kugharimia gharama za kuendesha muungano, kuendelea kuwahudumia ndugu wa mke wanaishi nyumbani kwako, kuendelea kuwatafutia kazi mashemeji kama kila kibarua cha wizara ya ulinzi, Afya, mambo ya nje, muungano, mabalozi etc. Hizi ndizo gharama za ndoa, ndizo gharama za kupenda na tunazilipa zote kwa roho kwatu "nyeupe" kwa sababu tumependa!.
Sisi Watanzania tuko wengi wa aina tofauti na dini tofauti, kuna dini za wenzetu wanasema "mke kama hakutaki, mwache aende zake!". Au Mke kama umemchoka, mpe talaka yake!" hivyo wao wanataka "mke huyu" apewe talaka ende zake, kama ataolewa tena ni juu yake!.
Mimi ni Mkristu Mkatoliki, ndo ni mpaka kifo kitutenganishe, hakuna talaka, hakuna kuachana wala kutengana!. Mke hata umchoke vipi, au akuchoke vipi, ndio itaendelea tuu kwa lazima!. Hata kama mapenzi ndani ya nyumba yamekwisha, utavumilia tuu, utaendelea kuubeba msalaba wako hadi mwisho wa safari!.
Muungano wetu ni ndoa ya Kikristo!, hauna talaka!.
Pasco.
Hee ndugu yangu hawa ni wafanyakazi.MELI KUBWA YA TANZANIA ILOKAMATWA IKIWA NA MADAWA YA KULEVYA
Meli iitwayo Gold Star imekamatwa karibu na pwani ya Italy ikiwa na zaidi ya tani 30 za dawa za kulevya ambapo Polisi wa Italy wamesema documents zinaonyesha ilisajiliwa Tanzania.
Taarifa nyingine ya polisi imesema mzigo huo una thamani ya pound millioni 50 ambayo kwa pesa za kitanzania ni kama 126,582,278,481 na meli yenyewe ilikua na timu ya watu tisa ambao wanatoka Egypt na Syria na mzigo wote wameupakia kutoka Uturuki.
Unaambiwa baada ya kuona mchezo wao umefahamika, watu waliokuwemo kwenye meli waliamua kuanza kuichoma moto meli hiyo na wote tisa walijirusha baharini kwa nia ya kutaka kukimbia lakini wakakamatwa mapema tu na kukutwa na hizo dawa za kulevya aina ya hashish ambazo thamani yake inagonga kwenye £50m.
Bandari husika ya Italia walipewa taarifa kwa siri mapema siku kadhaa kwamba meli hii ilikua imebeba tani nyingi za dawa za kulevya hivyo wakawa wanaifatilia kwa siku kadhaa kabla ya kuikamata.
Msemaji wa bandari amesema hawakutegemea kama meli hiyo ingekua imebeba kiasi hicho cha dawa za kulevya na pia hawakutegemea kama watu waliokuwemo ndani yake wangeichoma moto ili kupoteza ushahidi japo zoezi hilo halikufanikiwa na dawa zikaonekana.
Meli hiyo imesogezwa kabisa mpaka kwenye bandari na moto umezimwa huku msako zaidi ukiendelea kwenye sehemu nyingine za meli hiyo ili kuona kama kuna dawa nyingine za kulevya huku watu wote tisa wakiwa wanaendelea kuhojiwa.kuna mzanzibar hapo ?
Jamani bangi ya zanzibar imekamatwa katika meli, imeandikwa na the Sun ya UK, Daily Telegraph, Le monde, Le FIgaro, Washngton post, New york times, Al Aharam, India Times, kwanini udogo wa akili yangu uonekane pekee na si dunia nzima?
Hivi waziri kuwakemea waandishi na kukaa kimya kuhusu bangi ni jambo jema? Hata udogo wa akili yangu unagoma kuamini kama ni sahihi. Capacity yangu ipo too low lakini katika hiyo low kuna jambo, chukua hilo jambo acha ile low.
Mbona bandiko hamjibu mumejikita katika hoja taka?
ZMA ni mamlaka kamili ya usafiri baharini. Ni ukweli
ZMA ni taasisi ya SMZ. Ni kweli na ilianzishwa 2006
ZMA inalipiwa ada na JMT wakiwemo wahaya, wamakuwa ,wabondei, wanyakyusa n.k.
ZMA ina wakala Philatec. Ni ukweli
ZMA uinasajili meli za zanzibar. Ni kweli
ZMA ilisajili meli 400 ikiwemo ilikamatwa na tani 30 za bangi. Ni kweli
Waziri wa Miundo mbinu znz amewatukana na kuwananga waandishi wa Tanzania bara na si dunia. Ni kweli
Ameshindwa kulaani zigo la bangi. Ni kweli
Amekiri znz kumiliki meli na kutojua kuhusu bangi. Hatuna uhakika na kauli
Hataki habari za bangi ya znz ziandikwe. NI kweli
Mwakyembe hapaswi kuingilia biashara za Zanzibar. Ni kweli
Hapaswi kutumia kodi zetu kwa chombo kisichotuhusu.Kweli
Amebeba dhamana kubwa kuliko SMZ. Ni kweli
Atoe mamlaka kamili kwa ZMA kushugulikia bangi bila kuingilia shughuli za SMZ. Maoni yetu
Azuie kodi za JMT zisitumike kusajili ZMA inayosajili meli za bangi. Ni kweli
Wenzangu wznz mnanitukana tuu, hamjibu hoja. Mimi sikufunga marobota ya bangi, wala sikusajili meli znz, kwanini niwe na makosa pengine kuliko waziri aliyesimama kidete kulaani uandishi na si bangi?
Sikuona mahali pa kujibu kwasababu hoja zako hazina mantiki kwa uchache. Si kila hoja inajibiwa kwasababu nitajibu vipi matusi? Umesema mimi ni mpuuzi sasa hapo nijibu nini. Hata hivyo nakushukuru japo kwa kuandika.Hebu jibu hoja kwenye bandiko langu huko juu au umeridhika na jawabu niliyokupa juu ya maswali yako? Kama uliridhika basi tafadhali anzisha thread nyengine dhidi ya Zanzibar na hii tuiache.
Kwanza kabisa napenda kukueleza kuwa wewe hujui unasema nini. Nina sababu za kusema hivyo.Nikuulize suala dogo tu. JE KWANINI UMEAMUA KUUKANA UTAIFA WAKO WA TANGANYIKA NA JINA LA NCHI YAKO TANGANYIKA NA KUJIVIKA UTANZANIA? KWANINI NA NYIE MSIWE TAIFA NDANI YA TANZANIA ILI KUNDA JAMHURU YA MUUNGANO WA TANZANIA? Kuliko ilivyo sasa JAMHURU YA MUUNGANO YA TANZANIA
nIMEKUULIZA HUKO AWALI KUWA JE KWANINI MISAADA MNAYOPEWA HAMGAWANI PASU KWA PASU NA ZNZ?
Nguruvi3" Unaposema watu milioni 1.5 hawawezi kuchangia sawa na watu milioni 41, nakubalina nawe. Lakini basi si wazanzibar wanataka usawa kama nchi mbili huru zilizoungana?
1. Wamepewa wajumbe wa tume sawa na Taganyika, vipi watu 1.5 wapewe uwakilishi sawa na watu milioni 41
2. Wanadai bunge la katiba liwa na wajumbe sawa kwasababu ni nchi mbili huru.
Vipi watu 1.5 wawe sawa na 41 Milioni katika bunge la katiba
3. Wanataka kugawana sawa misaa, vipi watu 1.5 wapewe usawa na watu milioni 41. Je si unyonyaji huo?
4. Wanataka mgawanyo wa madaraka sawa, vipi watu 1.5 wapewe nafasi sawa na milioni 41?
Pole, kidonge kichungu!, kama ni ngumu kabisa kumeza, unaweza kutema, ila huo ndio ukweli wenyewe na utabaki hivyo mpaka ile siku ya siku!.Maneno yako yamejaa kejeli!
Hi la tindikali! duh!. Pia najua wale waalimu wa Ali Kaeda waliisha watreni vijana!, mnasubiri tuu muda ili ikishindikana kupata mnachokitaka, mlianzishe!, endeleeni na upuuzi wenu, tumeisha wavumilia sana!, ila uvumilivu nao una mwisho!, tunaweza kuamua sio tuu kuwapatia mnachokitaka, bali hata "kuvizamisha jumla" hivyo visiwa, na kumbukumbu tuihifadhi kwenye kinibu!.Wake zenu hamuwajui!!!!
We ngojea tu, kitaeleweka tu!
Si tumegundua tindi kali dawa ya ukurutu!!!!!
Hi la tindikali! duh!. Pia najua wale waalimu wa Ali Kaeda waliisha watreni vijana!, mnasubiri tuu muda ili ikishindikana kupata mnachokitaka, mlianzishe!, endeleeni na upuuzi wenu, tumeisha wavumilia sana!, ila uvumilivu nao una mwisho!, tunaweza kuamua sio tuu kuwapatia mnachokitaka, bali hata "kuvizamisha jumla" hivyo visiwa, na kumbukumbu tuihifadhi kwenye kinibu!.
Nyie haya...endeleeni!, tusijelaumiana mbele ya safari!.
Pasco.