sawa mkuu..umekuwa mwepesi wa kutoa maneno ya kashfa. nadhani hujazoea kupata mawazo kinzani.. AHSANTE MIMI NI NYUMBU...
...as i have observed most of your responses concerning this particular topic, sure thing we will never get a productive conclusion..
............ kama haya maneno yako sawa.. sorry kiongozi ..my bad
*kosa la kisarufi/makosa ya kisarufi
*kosa la sarufi/makosa ya sarufi.
..NIMEKOMA MKUU usije ukaniongeza mengine
Lenyewe halijielewi hilo yeye anacheo gani kwanza?
Point yako ni ipi hapa? issue ni graduate teacher asiyejua kiingereza au shule ya sekondari ya kata? Au graduate aliyepitia shule ya kata? Mimi naona issue hiko kwa huyo mwalimu mwenye degree, kwani anaweza kuajiliwa ata kwenye private schools. Hivyo issue kubwa ni UDSM na kukosa juhudi binafsi. Pia je, sehemu yako ya ubongo ya kusikia ipo vizuri? Maanake pia watu mara nyingine usikia vibaya ndipo watu wanawaomba warudie!
Halafu kama wewe unakijua kiingereza basi weka post yako hii yote kwa kiingereza!!! Maanake isijekuwa 'nyani haoni sehemu yake anayotumia kukaa'.
inaelekea yy ni muuza mihogo maarufu hapo shule, wkt akiwa anatengeneza chachandu yake ndio akamsikia huyo mwl.
msameheni bure mzee wa watu jmn
Halafu kama wewe bwana #tpaul ni great thinker lazima ungetoa mapendekezo ya kutatua shida hiyo badala ya kulalama. Halafu inaonekana kama vile huyo mwalimu ni office mate wako na amekuzidi kielimu!
hili unalolisema halihusiani na mada iliyopo hewani. kuna tofauti kubwa kati ya typing error na grammar error. huyo mwalimu alisikika akiongea, sio KUANDIKA. umeelewa? mtu asiyeoga mwili lakini anafua nguo zake huwezi kumfananisha na mtu anayeoga lakini hafui nguo. hawa ni watu wawili tofauti. kwa hiyo, kuchapia spelling hakuwezi kuwa sawa na kuchapia grammar. umeona eeh? una hoja lakini bado hujaijenga vizuri.
unazidi kunichanganya... wewe hata kiswahili hukijui... title yako umeandika neno "SIKIA" nikajua nakuja kukutana na audio... hilo nalo ni typing error?
Safi sana ndugu
weka vituo kwenye sentenso yako basi. cheo kinahusianaje na uelewa wa mambo? ina maana JK ana uelewa mkubwa kuliko watanzania wote kwa kuwa ana cheo kikubwa kuliko watanzania wote? shame on you! nenda ukojoe ukalale, jumatatu shule zinafunguliwa urudi shule.
Nipo makini kuliko ufikiriavyo. Na, nitaendelea kumsifu Mleta Hoja; kwani lengo lake ni jema- tofauti kabisa na wengi humu wafikirivyo. Nime/nitawasifu wengine wote ambao michango yao katika hoja hii ime/itakusudia kujenga na si kutukana. Tunapaswa kuwa watu wa kukubali kujifunza; maana ubora wetu katika jambo unategemea sana bidii yetu katika kujifunza. Kwa mfano: kwa asiyejua, hawezi akaelewa kwanini nimeandika Mleta Hoja' na sijaandika mleta hoja'Na wewe unasifia husichokijua ni "jeografia"
duuuh.......