Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,138
- 7,398
I see unaweza fikiri umepitia mazito..kumbe wenye mazito wapo..pole ndugu
Saidia watoto hao maana ni wako, ila kumuacha mke na yeye kwenda mbali halikuwa jambo jema, hivyo na wewe usije thubutu kufanya hivyo. Hebu fikiria usingekuwepo wewe na hali iko kama hivyo ilivyo, je unadhani nani angewasaidia watoto wa kaka yako? Shukuru kwa yote, kaka yako huenda hakupenda kuiacha familia yake ikiwa pweke ila sababu za kimaisha zilimtaka asafiri, hivyo lea watoto wake kama alivyokuhusia.Daa kiukweli mkuu kuona nimepatanga mpk huyu mtt mkubwa amalize 4m4 na huyu mwingine atakuwa naye kamaliza shule ya msingi swala LA kuoa kwa ss halipo nipo kuwasaidia kwanza hawa watt kama baba yao alivyojitolea nami kunisaidia naaamin mungu atanishika mkoni
Siamini Kama Ni hadithi coz Ina makosa mengi ya kiutunzi! Inaweza kuwa kweli!Ni kweli au hadithi?
Alipataa ajalii akiwa nyumban kwake inasemekana alidondokiwa na kitu kizito kichwan mwake hvyo ndipo umauti ulipompata,kwa repoti za madaktari na taarifa kwa watu wake wakaribu aliokuwa nao hukoMwanaume anamuacha mkewe miaka minne eti anaenda kutafuta maisha! Si angeenda na familia yake tu? Halafu umesema shemeji yako alikufa kwa ukimwi, vipi kaka yako yeye nini kilimsababishia kifo?
Yaaa n kweli ila kila mtu anapitia mazito yake najua wapo wenye matatizo zaidi yangu,I see unaweza fikiri umepitia mazito..kumbe wenye mazito wapo..pole ndugu
Amina ndugu na mungu atanisimamia kwa hilii swalaUna akili sana. Hongera kwa kuwapigania wanao. Damu nzito kuliko maji.
Mungu akusaidie usikosee kuoa, ukaoa mwanamke mchoyo atakaetaka kuwatenga hawa watoto na wanae. Mungu atakulipa kwa wakati ufaao
Mkuu najua uwezi kuamini coz hayakukuta ila ukweli ndio huoo,kwan ww ujawahi kufiwa na MTU ukaanza kulia kwa kusema penginepo utarudi Lin baba au km n mama au MTU yyt alikuwa muhimu kwako?Kama ni kweli unataka arudi kutoka wapi? Mjifunze kuandika visa vyenu ndio maana akina shigongo wanapiga pesa kwasababu wako makini. Mara utarudi lini, mara umefariki. Sasa tuelewe nini. Aaaagghrrr
Asante kwa ushauri ,ila kuikwel nitawalea hawa watoto mpk watimize ndoto zao ,kaka akusafiri kwa nia mbaya Bali kwa mambo ya kutafuta maishaa mkuu ,ndipo hakuweza tena kurudi akiwa mzimaSaidia watoto hao maana ni wako, ila kumuacha mke na yeye kwenda mbali halikuwa jambo jema, hivyo na wewe usije thubutu kufanya hivyo. Hebu fikiria usingekuwepo wewe na hali iko kama hivyo ilivyo, je unadhani nani angewasaidia watoto wa kaka yako? Shukuru kwa yote, kaka yako huenda hakupenda kuiacha familia yake ikiwa pweke ila sababu za kimaisha zilimtaka asafiri, hivyo lea watoto wake kama alivyokuhusia.
AsanteDaaah kweli wewe ni ndugu wa kweli. Ubarikiwe.
Asante mkuuPOLE SANA,MUNGU AKUTIE NGUVU USIKATE TAMAA.
C hadithiSi
Siamini Kama Ni hadithi coz Ina makosa mengi ya kiutunzi! Inaweza kuwa kweli!
Hivi kumbe mtu akifa huko ahera kuna jf????
Ni kweli ndugu ila naamini mungu atanisimamia kwa hiliEverything happen for a reason " inasikitisha.