Yaa nimeamini hilo mkuu wangu naamin nitapambana nayo mpk mwishoPole mkuu mshukuru Mungu tu kila mtu hupewa changamoto inayo endana nae
Yapita miaka minne sasa tangu kaka ulipo ondoka nakusema waenda tafuta maisha kaka nchi za wenzetu,tangu ulipoondoka kaka mkeo alibadilika utafikiri ana mume na watoto wawili uliomwachia awaangalie kipindichote ambacho hautakuwepo,kaka mkeo alianza kuwa mlevi,alianza kurudi na wanaume nyumbani kaka mimi nikawa nawalaza watoto mapema ili wasione ujinga ambao mama yao alikuwa akifanya.
Kaka kwa mambo ya mkeo aliyokuwa akifanya na starehe alifukuzwa kazi katika ile bank alipokuwa akifanya kazi ya umeneja, kaka mkeo akawa ana helaa tena za kutumia katika starehe zake ndipo akaanza kutumia akibà ya watoto ya kuwasomesha uliyowaekea ili wasipate tabu maana ulikuwa ukiniambia {Inno mdogo wangu maisha hayatakuwa mazuri siku zote ,IPO SIKU SITAKUWEPO} Daaaa sasa ndio naamini usemi wakoo.
Mkeo alikula bata kilaa sehemu ya starehe watoto walikosa ada hvyo ilibidi niwachukue na kuondoka nao pale nyumbani japo mkeo aligoma kata kata mimi kuondoka nao ilaa niliforce nikaweza wachukua na kumwacha ale maisha awevyo, kaka namshukuru Mungu nimepigana kwa uwezo wangu wote na wa Mungu nimeweza kuwarudisha shule now wanasoma yule mkubwa yupo darasa la nne ,na mdogo yupo la pili na wote wanasoma shule ambazo ulitamani wasome.
Kaka mkeo alifikia uamuzi hadi wakuuza nyumba ila nilipambana sana nashukuru Mungu nilishinda kesi kaka kwa ajili yakuwatetea watoto haki yako kaka,katika sikuu ambazo sitazisau ni pale mkeo baada ya mimi kushinda kesi ya nyumba alinitumia watu waniue kama Mara tano ilaa namshukuru Mungu aliniokoa na sasa napigana na wanao wasome sana.
Kaka niliumiaa pale siku nimekaa nikiwa nafanya shughuli zangu ndipo nilipataa taarifa kaka kumbe umefarki huko nchi za wenzetu ndipo kampuni uliyokuwa ukifanya kazi ikafanya utaratibu ukarudishwa ukiwa umelala kaka si kama ulivyoondoka nililia sana pia wanao waliliaa sana ,kaka ulipofarikii haikuchukuaa hata miakaa miwilii mkeo naye alifariki kwa UKIMWI daa! Leo watoto wamebakii yatima,ilaa kaka uko ulipo nakuakikishiaa nitawatunza wanao mpaka wakiri mimi ndio baba yao. R I P KAKA.
Mkuu ni kukubali tu kwamba yametokea, angalia sasa mustakabali wako na hao vijana ulioachiwa na kaka yako.Asante kwa ushauri ,ila kuikwel nitawalea hawa watoto mpk watimize ndoto zao ,kaka akusafiri kwa nia mbaya Bali kwa mambo ya kutafuta maishaa mkuu ,ndipo hakuweza tena kurudi akiwa mzima
AmenGOD Bless
N mtazamo wako kuwa n hadithi mkuu ukweli naujuaa mm mwenyewe na mungu wangunashangaa kwanini bongo movie wanakosa story wakati kuna majamaa kama hawa ni watunzi wazuri mno wa simulizi aiseeee
Ni mtazamo wako ckatai mkuu ila ukwelii mtupuuYakutunga
AsanteMkuu ni kukubali tu kwamba yametokea, angalia sasa mustakabali wako na hao vijana ulioachiwa na kaka yako.
OkkDah! Hadi nimetokwa na machozi, Mkuu pole sana kwa majanga na kaa ukielewa hayo ndo maisha. Mtegemee Mungu kwa kila jambo.
Mkuu ww kufanya kazi bank au mkeo kufanya kazi hyo inamaana umeridhika na maisha uwezi tena kufanya chcht ktk maisha ?hadithi haina uhalisia, kaka ambaye ana mke anayefanya kazi ya umeneja bank na alikua na kipato cha kutosha hadi kuwafungulia wanae akaunti za kusoma alikua hana mawasiliano na familia yake akiwa nje ya nchi?? matukio mengi ya kuathiri familia yake yanatokea ikashindikana kumpa taarifa???
kwa ulimwengu huu wa leo ambao mawasiliano yamerahisishwa hivi?
I DON'T BUY IT
OkSi ungeuliza mtakutana lini ? yeye hawezi rudi ametangulia mbele ya khaki.
no, nilichoshangaa ni kuwa miaka yote hiyo mkewe alikua anafanya vioja yeye hakupata taarifa ikibidi asafiri kurudi?, wakati mawasiliano yamerahisishwa sana siku hizi?Mkuu ww kufanya kazi bank au mkeo kufanya kazi hyo inamaana umeridhika na maisha uwezi tena kufanya chcht ktk maisha ?
Mkuu unaweza mkawa na mawasiliano lkn yasisaidie coz nilikuwa namwambia bro Mara moja moja kuwa wife wake kabadilika hvyo akionge na mke wake mke wake anamwambia c kweli na mwishoe mke wke anakuja kunipigia mm kelele km namfatilia maisha yake ikabid mm niondoke pale kwa bro nakwenda kupanga bila kumwambia bro huko alipo,na ninakumbuka cku namuaga shemeji kuwa naenda kupanga jibu alilonijibu alisema AFADHALI JIONDOKE MAANA UNANINYIMA UHURU,nilirudi pale baadae sana ndipo ninapoishi na wtt mpk nowno, nilichoshangaa ni kuwa miaka yote hiyo mkewe alikua anafanya vioja yeye hakupata taarifa ikibidi asafiri kurudi?, wakati mawasiliano yamerahisishwa sana siku hizi?