real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,302
kwa hiyo kaka yako alikaa nje ya nchi miaka 4 hajui mke wake anaendeleahe??Mkuu unaweza mkawa na mawasiliano lkn yasisaidie coz nilikuwa namwambia bro Mara moja moja kuwa wife wake kabadilika hvyo akionge na mke wake mke wake anamwambia c kweli na mwishoe mke wke anakuja kunipigia mm kelele km namfatilia maisha yake ikabid mm niondoke pale kwa bro nakwenda kupanga bila kumwambia bro huko alipo,na ninakumbuka cku namuaga shemeji kuwa naenda kupanga jibu alilonijibu alisema AFADHALI JIONDOKE MAANA UNANINYIMA UHURU,nilirudi pale baadae sana ndipo ninapoishi na wtt mpk now