Sijui utarudi lini kaka

Sijui utarudi lini kaka

Pole sana, utapata dhawabu kwa Mungu kwa kuwalea viumbe hao
 
Picha ya shemeji aliyekufa kwa ngoma.
Daa hapana aisee coz hata huku kutakuwa na watu wanaomfahamu isije anzisha mezozo kwa ndugu wa shemeji yangu marehemu pindi watakapoona hyo picha ,coz nao waliwakata watoto nakusema hawataki kukaa nao
 
Huyo kaka yako naye alikuwa chizi tu kama wewe unakwenda ng'ambo mke unamuacha, kwahiyo ulitegemea huyo mke akae tu bila kupigwa kitu kwa miaka yote ambayo huyo kaka yako alitazamia kukaa huko majuu.
 
Umeoa? Kama yes, mkeo anakupa support juu ya watoto? Kama bado tegemea changamoto pale utakapooa
 
Huyo kaka yako naye alikuwa chizi tu kama wewe unakwenda ng'ambo mke unamuacha, kwahiyo ulitegemea huyo mke akae tu bila kupigwa kitu kwa miaka yote ambayo huyo kaka yako alitazamia kukaa huko majuu.
Asante kwa kuniitaa chizii mkuu ubarikiwe sana sana na mungu coz ujui ukisemacho
 
Umeoa? Kama yes, mkeo anakupa support juu ya watoto? Kama bado tegemea changamoto pale utakapooa
Daa kiukweli mkuu kuona nimepatanga mpk huyu mtt mkubwa amalize 4m4 na huyu mwingine atakuwa naye kamaliza shule ya msingi swala LA kuoa kwa ss halipo nipo kuwasaidia kwanza hawa watt kama baba yao alivyojitolea nami kunisaidia naaamin mungu atanishika mkoni
 
Mwanaume anamuacha mkewe miaka minne eti anaenda kutafuta maisha! Si angeenda na familia yake tu? Halafu umesema shemeji yako alikufa kwa ukimwi, vipi kaka yako yeye nini kilimsababishia kifo?
 
Back
Top Bottom