Sijielewielewi hapa nilipo...!!!!

Sijielewielewi hapa nilipo...!!!!

Una nguvu weye au unabeep, mwenye mali hayupo mbali hapa jukwaani ngoja aje uone vurugu zake.

Kwa kuchochea tu, Erickb52 njoo uone St. Paka Mweusi anavyotaka kufanya. Hebu fikisha salamu kwa Asprin kabla mambo hayajawa mabaya, like tu anadhani kapendwa.



Kaka dunia ya leo si ya kina Mtambuzi,Miguvu ilikuwa zamani,siku hizi ni Teknolojia tu,huyo dogo Erickb52 nitamtegeshea tu anase kama Temeke na akitoka hapo hatarudi tena
 
Last edited by a moderator:
Mtakatifu bana, ukajua tayari eeh!

Baba V , Hivi vitu ni adimu sana kutoka kwa hawa warembo ukizingatia kuwa mwanzo alikuwa ananiogopa akisema anatafuta hendsamu,nilipoona ma LIKE ya kumwaga basi mtakatifu nikasoma Lugha ya ishara...kumbe bado saanaaaaaaaa............
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom