Sijielewielewi hapa nilipo...!!!!

Yaani hapa hata sijielewi,wacha nikuume sikio basi,
mwenzio nikajua ndo nishapendwa hivyo...

Una nguvu weye au unabeep, mwenye mali hayupo mbali hapa jukwaani ngoja aje uone vurugu zake.

Kwa kuchochea tu, Erickb52 njoo uone St. Paka Mweusi anavyotaka kufanya. Hebu fikisha salamu kwa Asprin kabla mambo hayajawa mabaya, like tu anadhani kapendwa.
 
Last edited by a moderator:

Heheheee Mzee wa Rula mwache St. Paka Mweusi kijana afurahie like za shemeji zake.. !
Mwambie aangalie like zangu kwa hao wachache tu then kwenye hako ka comment aone watakaolike ni zaidi ya watajwa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom