Sijielewielewi hapa nilipo...!!!!

Sijielewielewi hapa nilipo...!!!!

Una akil we mwana, wacha tujichechetue maisha yenyewe mafupi....
wa lach anafaidi sababu nguvu ipo hajajichokea sasa jioni kakaa kwenye foleni kasimamam kazunguka kafika saa 2 anahitaji kupumzika lol pole yake jifaidie mchana shost nite ishakuwa shombo tena lol
 
we usiku unaletewa shombo bibi watch out .ndio sababu akirudi hoi kajichokea ananguruma kama garila diesel Ciello huyooo Erickb52 my kaka kumbe unaweza endesha semi trela at per????????
Umeona eeeh mi bado ako pouwa sana aiseeeee yan we acha tu...kaka yako kaive mbaya sema mila na destuli haziruhusu ningekuthibitishia kwikwikwiiiii
 
Back
Top Bottom