Sijazibwa Mdomo - Dr Ulimboka

Kwa sasa anashughulikia zaidi afya yake kujua inakwendaje kisha atakuja kusema yote mbele ya safari yaliyomtokea

Hivi mnachotaka hasa akiseme ni kitu gani enyi watz tuache unafiki.. Kama kuzungumza alishazungumza kila kitu mara tu baada ya kuokotwa mabwepande.

Ukichalia maelezo yake.. Saed kubenea wa mwanahalisi alishamwaga kila kitu hadi jina hadi namba ya simu ya muhusika pamoja na nyendo zake. Sasa mnachokitaka kipya kwa dr ulimboka nini hasa
 
swali linabaki pale pale!hata nikifunguka watanzani mtafanya nini?
Wataishia ku-post tu na majungu basi! Mbona Saed Kubenea alimwaga data, uliona Waswahili wa Tz walifanya nini zaidi ya majungu na stori za vijiweni kama mateja? Haya, gazeti lao pendwa mpaka likafungiwa, uliona nani kajitokeza physically kuikabili serikali ya Mabwepande? Si waliishia ku-post tu humu wakamuacha Kubenea akikosa hata zile mia tani mia tano za mauzo ya gazeti lake kila wiki? Sasa nimeanza kuamini usemi wa m.k.w.e.r.e kuwa watz ni watu wa matukio tu, hawana lolote. Ni upepo na acheni utapita! Na kweli yanapita moja baada ya jingine, taratibu lakini kwa uhakika! Chezea Wadanganyika wewe? They are too funny! Don't dare even to waste your time speaking of them!
 
Mimi ninaomba 2 nimulize swali huyu jamaa ulimboka,anavyokaa kimya kwenye jambo alilofanyiwa kiukweli anafikilia watanzania 2muelewe vipi huyu mtu jamani,ulimboka kaka yangu funguka kwa kweli 2talea ujinga wa hii nchi mpaka lini yani mi uwa naumia sana about ujinga wa hii nchi.
 
Dr ulimboka anajivunia kupandisha mishahara ya sekta ya afya kwa asilimia 100,pia amepandisha call allowance kwa asilimia mia moja na hamsini.
Amepandisha postmortem allowance kutoka 10000 mpaka 100000.
Amesababisha baraza la mawaziri kuvunjwa.amemuondoa mganga mkuu wa serikali.
Dr ulimboka ameshinda mauti pale mabwepande.
Wewe kikaragosi unayemnanga umefanya nini hapa tanzania?
Namuombea afya njema ili aendeleze mapambano katika sekta ya afya.

Thank you....
 
Hivi mnachotaka hasa akiseme ni kitu gani enyi watz tuache unafiki.. Kama kuzungumza alishazungumza kila kitu mara tu baada ya kuokotwa mabwepande.

Ukichalia maelezo yake.. Saed kubenea wa mwanahalisi alishamwaga kila kitu hadi jina hadi namba ya simu ya muhusika pamoja na nyendo zake. Sasa mnachokitaka kipya kwa dr ulimboka nini hasa

Mkuu, mimi nilikuwa natoa updates za anachokieleza, kosa lango ama unafiki wangu nini sasa??
 
Wenzake wameomba msamaha..!! Tanzania ina wanafiki sana.!?

sio wanafki mkuu, wana kila sababu ya kuomba msamaha.

Moja.
Maisha ya kitaa ni magumu na wale bado hawakuwa madaktari kamili hivyo hawana vigezo vya kuajiriwa hata kwenye kituo cha afya.

Pili
walitukosea sana watz kwa kugoma na kusababisha mateso makubwa pamoja na vifo.
 
Ndugu yangu chama umejitahidi kuandika kwa hisia za uchungu lakini jambo la msingi la kuzingatia ni kwamba serikali dhaifu ya chama chako cha mabwepande ndiyo inayowaintimidate watanzania wazalendo.
Sikuwahi kukusoma ukiilani serikali ya chama chako kwa madudu na unyanyasaji inaoufanya kwa watanzania. Hii nguvu ya ghafla ya kumtetea Dr. Ulimboka umeipata wapi?
Btw, siku hizi huwezi kujenga hoja peke yako lazima uombe msaada kwa mshirika wako wa lumumba, kiwango kimeshuka sana ndugu yangu pamoja na kujibodoa kwamba uko state lakini hauko independent!

Mkuu Mwita Maranya
Naamini ulikuwa husomi nini nilichoandika kuhusu Dr. Ulimboka sikuwahi kuunga mkono wala kufurahia alichotendewa nilichohoji badala ya kutaka kuitupia serikali lawama tuangalie na upinzani kwa sababu mbinu chafu kama hizi zinatumika sehemu nyingi duniani kuzipaka matope serikali zilizopo madarakani hicho ndicho nilichosema.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kweli duniani kuna watu na viatu
 
Kapewa sh mil mia tatu na ahadi ya kupewa cheo wizara ya afya ama kupelekwa India kusaidia watanzania wanaopelekwa India kwenye matibabu, hivyo atakuwa na ofisi ndani ya ubalozi wa Tanzania India. Chezea pesa weye.
 
Back
Top Bottom