Sijazibwa Mdomo - Dr Ulimboka

Sijazibwa Mdomo - Dr Ulimboka

tunachohitaj kusikia kutoka kwake anakifaham ila hatakisema yaleyale ya mwakyembe, hawa wajomba zangu wananiangusha sana
Embu jaribu kujitolea wewe, halafu usituangushe. Hehehe!
 
watanzania ni legelege tu.mangapi yamesemwa lakini hamjachukua hatua?
Kamanda Ulimboka pumzika bila wasiwasi kwani umefanya mengi kwenye sekta ya afya.daima tutakukumbuka na kukutolea mfano.
 
tunachohitaj kusikia kutoka kwake anakifaham ila hatakisema yaleyale ya mwakyembe, hawa wajomba zangu wananiangusha sana

Lakini lazima atumie busara za aina yake na sio kukurupuka katika kusema lolote wala hastahili lawama, hata hivyo historia itamkumbuka hata kama sio kesho basi keshokutwa
 
Na atulie hivyo hivyo asije katwa na midomo na ulimi sasa akashindwa hata kudai alichokuwa anafanya
 
tunachohitaj kusikia kutoka kwake anakifaham ila hatakisema yaleyale ya mwakyembe, hawa wajomba zangu wananiangusha sana

au washamtisha kuwa ukisema tu tunakupeleka mwambepande tena!!!!!!!!!!!!

nasikia kiwanja chake mwambepande hakitaki tena(kidding)
 
Usifanye mchezo na koleo wewe! Naskia jamaa sasa hivi akiona koleo tu anakimbia! Hata nyumbani anako ishi koleo ameipiga marufuku kuonekana! Ikitokea ameiona bahati mbaya halali nyumbani..
Unadhani watu wakisoma watacheka, kumbe wanakuona zuzu
 
Wametulia pale Ada Estate kwenye jumba lao la 'shughuli' karibu na Bakurutu Bar wala hawana wasiwasi
hiyo ndio story kwa mwananchi wa kawaida kama wewe.
Kwa sisi great thinkers tuna taarifa zaidi ya hiyo.
 
Watu kusema rahisi oh! Aseme ww acha unafiki wetu ungekuwa wewe ungesemaa? Mtu kapona mwacheni amalizie miaka yake iliyobakia Tanzania ataiweza nani bwana. Nyerere kaishindwa nani ataiweza wewe?
 
wapo kula bata, hamna lolote lililofanyika juu yao.!
ukisoma haya maoni yanayotolewa na watanzania ... ndo utajua kweli wa tanzania wengi bado sana kujikwamua kiakili... akili zao hazina tofauti na za mbuzi.... tunasafari ndefu......... mind civilization almost zero..... nchi ya laana hii sijui
 
Watu kusema rahisi oh! Aseme ww acha unafiki wetu ungekuwa wewe ungesemaa? Mtu kapona mwacheni amalizie miaka yake iliyobakia Tanzania ataiweza nani bwana. Nyerere kaishindwa nani ataiweza wewe?

Mkuu usiwatutishe wapiganaji.Wenzio hatuogopi kwa sababu kwenda mbele ( kuendelea na mapambano) au kurudi nyuma (kuacha mapambano) hakun tofauti. Tukikaa kimya tutawahi kufa kutokana na matatizo ya huduma mbovu za serikali ikiwemo kulishwa madawa yaliyopitwa na wakati. Hatutishiki tena.
 
Usifanye mchezo na koleo wewe! Naskia jamaa sasa hivi akiona koleo tu anakimbia! Hata nyumbani anako ishi koleo ameipiga marufuku kuonekana! Ikitokea ameiona bahati mbaya halali nyumbani..

koleo ndo kitu gani?
 
amekuwa ndaza kwa sasa

Teh tehe tehe kwi kwi kwi yaani NDAZA hivi ni pombe ya jana vile. Mkuu we noooma,kwasasa hana jipya analeta vibwagizo au chorus katika wimbo.
 
Usifanye mchezo na koleo wewe! Naskia jamaa sasa hivi akiona koleo tu anakimbia! Hata nyumbani anako ishi koleo ameipiga marufuku kuonekana! Ikitokea ameiona bahati mbaya halali nyumbani..

Kaka you have made my day...kwi kwi kwi
 
Back
Top Bottom