Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 33,780
- 40,538
swali linabaki pale pale!hata nikifunguka watanzani mtafanya nini?
sure watz ni wanafiki sana
swali linabaki pale pale!hata nikifunguka watanzani mtafanya nini?
Mimi ninaomba 2 nimulize swali huyu jamaa ulimboka,anavyokaa kimya kwenye jambo alilofanyiwa kiukweli anafikilia watanzania 2muelewe vipi huyu mtu jamani,ulimboka kaka yangu funguka kwa kweli 2talea ujinga wa hii nchi mpaka lini yani mi uwa naumia sana about ujinga wa hii nchi.
mkuu ntamaholo, he was working in private sector(ngo) at salary of 2500usd..aliacha public/g'ment hospitals kitambo, lakini haikuwa na maana kwamva alkuwa hajui yaliyoko huko.
around 3,000,000 kwa mwezi swa na 36,000,000 kwa mwaka. Si anaendelea hapo bado au nako amequit?
Usifanye mchezo na koleo wewe! Naskia jamaa sasa hivi akiona koleo tu anakimbia! Hata nyumbani anako ishi koleo ameipiga marufuku kuonekana! Ikitokea ameiona bahati mbaya halali nyumbani..
akishafunguka then what? Mpate stori mpya za vijiwen, mbna kubenea alishafunguka mlifanya nn? Watz unafiki unatusumbua na ccm watatuchezea akili hadi mwisho wa dunia
Kaka you have made my day...kwi kwi kwi
Exactly bro even me don trust dr.ulimboka anymore kanywea si mateso yamempa funzo coz naona nae amegeuka kuwa kama wanasiasa eti atasema mbona hasemi?????
sio wanafki mkuu, wana kila sababu ya kuomba msamaha.
Moja.
Maisha ya kitaa ni magumu na wale bado hawakuwa madaktari kamili hivyo hawana vigezo vya kuajiriwa hata kwenye kituo cha afya.
Pili
walitukosea sana watz kwa kugoma na kusababisha mateso makubwa pamoja na vifo.
Dr.Ulimboka ni vema ungeendele kukaa kimya ili siku ya kusema useme kila kitu kama unacho. Watu wameongea sana kuanzia magazetini, bungeni,mitandaoni hata uraiani hivyo unachofanya wewe kama marudio tu.!
Wala sio fedha wala nini ila Dr Ulimbuli kaonyeshwa mchezo full ulivyochezwa mwanzo-mwisho akawa mdogooo akajua kumbe alikuwa yeye alifanywa dawa ya penzi tuAshajitenga na wenzake Daaaa kweli Fedha Mwanaharamu........
Mi rahisi sana kusema hivyo kwa sababi inawajua hao wavaa vipekosi wana wa ahmedi Msuya waliyoyatenda yatawarudi kabla hawajafa enjoy your life to day one day you will repeal your sinsWala sio fedha wala nini ila Dr Ulimbuli kaonyeshwa mchezo full ulivyochezwa mwanzo-mwisho akawa mdogooo akajua kumbe alikuwa yeye alifanywa dawa ya penzi tu