Sijazibwa Mdomo - Dr Ulimboka

Sijazibwa Mdomo - Dr Ulimboka

anajipalia makaa, bora angekaa kimya halafu akaja kulipuka siku moja tusiyojua. lakini kuwatangazia mafisadi kuelezea kitu kilichompata, ni kutaka kuwaumbua hivyo kabla hajatimiza, wao watatimiza wajibu wao wa kutetea vyao. tusubir.

NB. Mwakyembe alikuw na tabia ya kutishia kila mara kwamba atalipua bomu, walipokuja kulipua la kwao huyooo india akatoka hana nywele hadi leo amekuwa mzee wa upara
 
Mwacheni jamani, mwenzenu kaponea tundu la sindano. Alipokuwa kwenye kibano nyie kila mtu alikuwa kwenye starehe zake. Mwacheni afikie mwenyewe maamuzi ya busara!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tumwache apumzike pindi atakapokuwa tayari atayaanika yote yale mabaya
 
Dr.ulimboka hata kama jamii ya tanzania yote haitatambua mchango wako naamini wachache wenye bahati ya kuwa na upeo wa kuchanganua mambo wanakukumbuka.Leo Muhimbili haina heparin wala warfarin halafu comment juu ya unyama uliofanyiwa na serikali ya kikwete unashabikiwa,shame on u tz people...iko siku mtafunguka na mtakatana mapanga zaidi ya rwanda..take it from me,miaka si mingi
Namfahamu Dr. Ulimboka sana tu nimaefanya nae kazi kwa ukaribu na harakati zote za mgomo tulikuwa wote, sidhani kama ni mdhaifu kiasi hicho cha kuzibwa mdomo kipindi hichi ambacho hata watz ambao hawajakanyaka shule ya awali wamezinduka na wanajua haki zao.

Namwomba tu ajue watanzania wanahaki ya kusikia neno toka kwake na hiyo ni haki yao kama wana harakati wenzake.Nasema hivyo kwani mgomo unaoendelea ni hatari na hauchagui Dr. wala mtu wa kawaida
 
kati ya watu wehu na washenzi ambao sitaki hata kusikia kauli zao ni huyo ulimboka.
tangulia mabwepande wakakumalizie wanafiki wenzako.
mama jack akili zenu huwa ziko sehemu mwanasiasa mmoja alisema mnakalia uchumi.samaahani kama wewe si wale kukojoa wakichuchumaa...huna hata haya
 
mama jack akili zenu huwa ziko sehemu mwanasiasa mmoja alisema mnakalia uchumi.samaahani kama wewe si wale kukojoa wakichuchumaa...huna hata haya
na wewe ni mshenzi tu kama huyo ulimboka.pumbavu alaaa.
 
ulimboka ulimboka ishakua old story latest lakini inayoelekea kuwa old vile vile ni ya mpiganaji mwangosi,yule mwandishi wa habari shujaa aliyeuawa kwa bahati mbaya na polisi iringa kufuatia ukaidi wa chadema
 
tunachohitaj kusikia kutoka kwake anakifaham ila hatakisema yaleyale ya mwakyembe, hawa wajomba zangu wananiangusha sana

Wanaoangusha ni sisi watz ambao tuna hamu ya kusikia breaking news kila siku, wanaozileta wakidhuurika tunaishia kusema "MAGAMBA NOMA'' chukua mfano huu: gazeti la mwanahalisi baada ya kuandika habari za waliomteka Dr.Ulimboka limefungiwa watanzania tuliosoma habari hizo na kuzielewa tumelisaidiaje gazeti hilo? wale wafanyakazi wa kampuni ya Tigo waliotoa ushirikiano wa kutegua kitendawili cha nani aliyesuka mipango ya kumteka Ulimboka leo hii wamefukuzwa kazi watanzania tumefanya nini kuwasaidia? Sasa nijibu Ulimboka akirudia kuyasema yaleyale yaliyosemwa na gazeti la mwanahalisi akafungwa wewe utamsaidiaje? Mimi naomba kama kweli tunahitaji kumwona Ulimboka akifunguka hebu tuanzishe mjadala namna ya kulisaidia gazeti la mwanahalisi lifunguliwe na wale wafanyakazi waliofukuzwa kazi warudi kazini halafu ndo tumwambie Ulimboka afunguke maana hapo vyombo vya habari vitakuwa tayari kuandika habari hizo kwani 'threat' ya kufungiwa itakuwa imekwisha.HUENDA ULIMBOKA ALISHAONGEA LAKINI WANAHABARI WANAOGOPA KUANDIKA WASIJE WAKAWA KAMA MWANGOSI.
 
Tumwache apumzike pindi atakapokuwa tayari atayaanika yote yale mabaya
ajiambie mwenyewe na familia yake.hata akisema it can't help any more.akae na siri yake ataenda kuelezea ahela,maana karibia watampeleka tena mabwepande.
 
Dr ulimboka anajivunia kupandisha mishahara ya sekta ya afya kwa asilimia 100,pia amepandisha call allowance kwa asilimia mia moja na hamsini.
Amepandisha postmortem allowance kutoka 10000 mpaka 100000.
Amesababisha baraza la mawaziri kuvunjwa.amemuondoa mganga mkuu wa serikali.
Dr ulimboka ameshinda mauti pale mabwepande.
Wewe kikaragosi unayemnanga umefanya nini hapa tanzania?
Namuombea afya njema ili aendeleze mapambano katika sekta ya afya.

Ukweli ni kwamba Dr. Ulimboka amejitahidi kile ambacho ameweza kupiganiana uboreshaji wa huduma ya afya Tanzania akianzia na mafao ya madaktari. Si busara kumbeza hata kama watawala wametafuta njia ya kumziba mdomo wake.
 
Wanaoangusha ni sisi watz ambao tuna hamu ya kusikia breaking news kila siku, wanaozileta wakidhuurika tunaishia kusema "MAGAMBA NOMA'' chukua mfano huu: gazeti la mwanahalisi baada ya kuandika habari za waliomteka Dr.Ulimboka limefungiwa watanzania tuliosoma habari hizo na kuzielewa tumelisaidiaje gazeti hilo? wale wafanyakazi wa kampuni ya Tigo waliotoa ushirikiano wa kutegua kitendawili cha nani aliyesuka mipango ya kumteka Ulimboka leo hii wamefukuzwa kazi watanzania tumefanya nini kuwasaidia? Sasa nijibu Ulimboka akirudia kuyasema yaleyale yaliyosemwa na gazeti la mwanahalisi akafungwa wewe utamsaidiaje? Mimi naomba kama kweli tunahitaji kumwona Ulimboka akifunguka hebu tuanzishe mjadala namna ya kulisaidia gazeti la mwanahalisi lifunguliwe na wale wafanyakazi waliofukuzwa kazi warudi kazini halafu ndo tumwambie Ulimboka afunguke maana hapo vyombo vya habari vitakuwa tayari kuandika habari hizo kwani 'threat' ya kufungiwa itakuwa imekwisha.HUENDA ULIMBOKA ALISHAONGEA LAKINI WANAHABARI WANAOGOPA KUANDIKA WASIJE WAKAWA KAMA MWANGOSI.
kauli yake pia ilikuwa na maana kubwa kuyatilia uzito yaliyoandikwa na mwanahalisi.kwa hiyo hana maana na yeye pia amechangia kuendelea kuliweka mwanahalisi chini.
 
Ukweli ni kwamba Dr. Ulimboka amejitahidi kile ambacho ameweza kupiganiana uboreshaji wa huduma ya afya Tanzania akianzia na mafao ya madaktari. Si busara kumbeza hata kama watawala wametafuta njia ya kumziba mdomo wake.
hana lolote.
 
Back
Top Bottom