Sijazibwa Mdomo - Dr Ulimboka

Mwisho wa siku utaskia na CHADEMA ndo wanahuska kuichafua CCM do u think hicho kimya ni cha hkeri kweli??? Jibu tumsubiri atasemaje...Mafisadi wamesharefusha mkono tayari
 
tuachane na huyu jamaa maana anachokifanya anakijua saana ila mi nafikiri tukimsemea saana tunaweza kuwa tunamlazimisha kuwa either msaliti au kumpa ujasiri asioumudu
 
Kwa sasa anashughulikia zaidi afya yake kujua inakwendaje kisha atakuja kusema yote mbele ya safari yaliyomtokea

This is too general. Ili kuondoa hii sintofahamu, anapaswa kusema na muda pia. Kwani hata akirudi kuzungumzia hii kitu after 10 years, bado atakuwa na la kujitetea tu. Atupe muda anaodhani yeye ni muafaka kuja kulisemea hili ndo na sisi tumpime. Otherwise, tunabaki kuamini kwamba ni kweli alivuta chapaa.
 
Hapo tu ndipo watanzania wenzangu tusipoelewana.

1. Tunataka Dr.Ulimboka aseme nini?
2. Akishasema iweje?
3. Maelezo yaliyotolewa magazetini, Youtube video
havitoshi? Tulifanya juhudi ya kusoma hizo habari,
kutazama zile video?

-Kama hatukusoma, kuona n.k kwa nini tusifanye juhudi kufanya hivyo kabla ya kuchangia hapa JF?

- Kama tulisoma, kuona maelezo n.k tunataka na hatukifanyia chochote kile kilichosemwa tunataka Dr. Ulimboka aseme nini tena? Kama hatujafanyia kazi maelezo "madogo" yaliyosemwa, kutakuwa na tofauti gani akisema tena?

4. Kuna tume fulani iliundwa kuhusu mkasa wa Dr. Ulimboka, Je, iko wapi? Haikutumia fedha? majibu yalipatikana? Je, tume haijasahaulika akili mwetu?

-Kama TUME YA UCHUNGUZI iliyoundwana "RAIS" kupeleleza watuhumiwa (kujipeleleza wenyewe) na IKASAHAULIKA, Tutakumbuka chochote kile kitakachosemwa na Dr. Ulimboka?
 
Mwisho wa siku utaskia na CHADEMA ndo wanahuska kuichafua CCM do u think hicho kimya ni cha hkeri kweli??? Jibu tumsubiri atasemaje...Mafisadi wamesharefusha mkono tayari

Mkuu, hukumbuki bungeni Stela Manyanya alishasema CDM ndio walimtuma huyu bwana na ndio wakamfanyia pia unyama ili kuichafua CCM? waseme mara ngapi tena
 
Back
Top Bottom