Sijawahi kushuhudia Tanzania ya aina hii

Sijawahi kushuhudia Tanzania ya aina hii

Kusema kweli awamu zilizopita hazikuwahi kufikia hapa tulipo. Hata Magu hakufikia.
Magu aliunganisha raia kwa sababu ya kupromote welfare yao. Imani kwa serikali ilirudi kwa asilimia nyingi mno na utaifa ulikuwa juu na hilo lilifanywa na watangulizi wake makusudi kukinusuru chama.

Waliomchukia lilikuwa lile kundi dogo tu la mafisadi na machawa wao baada ya kuona hawapewi favors za upigaji.

Ila kwa sasa hali imebadilika sana. Tumerudi kule kule ambako tulitakiwa kutoka. Imani na chama imedrop drastically.
 
Mojawapo ya makosa wayafanyao watawala ni kuamini kwamba kila mwenye maoni/mawazo tofauti na wao ni adui, pia kuamini kwamba vyama vya upinzani ni vya kutokomezwa na kwamba wananchi hawana shida, na wao wanapendwa na wanakubalika sana na wananchi, kumbe wasichojua ni kwamba wananchi wengi ambao si wanachama wa vyama vya upinzani wameshaichoka serikali na chama chake ila hawajapata namna ya kuwaadabisha watawala, ni suala la muda tu. Kwa mazingira tuliyonayo sasa CCM imepoteza sifa ya kuwa chama cha siasa bali ni himaya ya kiuchumi na fursa za kibiashara kwa wanachama wake (Economic empire), hivyo wanaoikosoa serikali na chama tawala wanaonekana ni maadui si kwasababu za kisiasa bali ni tishio la kiuchumi kwa watawala. Wale wanaoitwa ‘viongozi’ hawana hata chembe ya sifa za uongozi bali wamepata fursa za kukalia nafasi za uongozi, lakini ni dhahiri wameshindwa kuongoza ila kwasababu za kiuchumi inabidi walazimishe kuendelea kuwepo madarakani - ni uchumi tu. Ndiomaana hao wanaoitwa ‘viongozi’ hawatoi suluhisho lolote katika kutatua changamoto za wananchi bali ni kujilimbikizia wao mali lukuki - sio siasa bali uchumi tu
 
CCM inawategemea Watanzania wajinga, WAPUMBAVU,chawa na kundi linafaidi keki ya Taifa.Bahati mbaya sana kwao kwa kikosa weledi wanafikri Hali hii itadumu daima.
Kwa taarifa Yao kundi hili linazidi kupungua ...sasa limefikia 60% la litapukutika zaidi ifikapo Oktoba 2025 ,na matokeo yake yatabainika kwa turnout ya wapiga kura!
Kwa kigupi Wanapamda Mbegu ya anguko lao!
Cha kusikitisha zaidi ni kuwa Hali hii itaendana na umwagaji.damu. mbeleni kama matumizi ya nguvu na ukiukwaji yakoutaendekea kama ilivyo sasa!
 
i dont even mind that, mm najiskia vibaya wanavowatumia vijana for their own agenda and some of them die! swala la nan kawa mbunge ama diwan dont matter that much
u have no power to alter your perceived political status quo
 
Nasisitiza hizo mbinu zilizofanya kazi kwa hivyo vyama vingine huko nyuma kwa sasa imeshindikana. Mjue mnadeal na kizazi tofauti kabisa kinachojitambua. Kwa taarifa yako hapo hakuna kesi hapo maana hata hukumu hakimu ameshaandikiwa, inachofanya hiyo jamuhuri ni kusoma upepo ijue itachukua maamuzi gani. Jamuhuri ingekuwa na ushahidi isingepoteza muda kila siku kusema uchunguzi haujakamilika. Wakati ukuta, mbinu zilizowabeba zamani mnajindanganya kama zitafanya kazi sasa. Mabadiliko ni lazima.
amka usingizi kijana usije chafua mashuka hayo! si unajua hukumu cha kutaka kupindua serikali ni nn?

View: https://www.youtube.com/shorts/QKv9guO8_LY
 
Hakuna kesi hapo zaidi ya mbinu autdated, mko nje ya nyakati. Sana sana hapo mtaendesha kesi kwa hila na ushahidi wa kubumba, baadae DPP atapewa maagizo ya kufuta kesi. Lakini mabadiliko yamefika hata mfanye nini hamuwezi kuyazuia.

Matusi ya kweli ni wizi wa kura mnaofanya na wizi wa pesa za umma. Tunajua mnatumia nguvu kubwa za vyombo vya dola na pesa za umma ili kuzuia mabadiliko ili muendelee kutuibia, lakini safari hii mmefikia mwisho na mabadiliko ni lazima.
huu ni mwaka wa 20 sasa kila sku mnalia safari hii mwisho 🤣 🤣 🤣 , chil out relax, kula vizuri nenda katafute ela ccm haiwezi kuondoka leo ama kesho yaani utaondoka utafufuka utaikuta bado ipo
 
Hakuna kesi hapo zaidi ya mbinu autdated, mko nje ya nyakati. Sana sana hapo mtaendesha kesi kwa hila na ushahidi wa kubumba, baadae DPP atapewa maagizo ya kufuta kesi. Lakini mabadiliko yamefika hata mfanye nini hamuwezi kuyazuia.

Matusi ya kweli ni wizi wa kura mnaofanya na wizi wa pesa za umma. Tunajua mnatumia nguvu kubwa za vyombo vya dola na pesa za umma ili kuzuia mabadiliko ili muendelee kutuibia, lakini safari hii mmefikia mwisho na mabadiliko ni lazima.
kwa kifupi kikundi chenu cha chadema 🤣 🤣 ukiachana na wale waliohama karibuni na wanaokaribia kuhama akili hamna, kiukwel nyie ni wajinga sio kwa nia mbaya ila ndo ukwel 🤣🤣, unataka wananchi wawasupport alafu mkipewa jukwaa la kuongea mnaanza kuchamba watu bdala ya kuambia wananchi nn mtawafanyia na mnategemea wananchi wawe upande wenu 🤣🤣🤣, kwa kifupi katika vyama vyote duniani nyie ndo wajinga kuliko wote
 
Bora kuungana hata na shetani kuliko hii CCM na Serikali yake.
kijana ebu pata msosi nenda kaishi vizuri ccm huwezi itoa leo wala kesho mpaka wananchi wenyewe waamue kwa lugha nyepesi ccm wagome kufanya maendeleo warelax apo ndo ccm itatoka ila izi fujo zenu mnazidi kujiharibia tu na wananchama wataendelea kuwakimbia kwa sababu hamna akili na mkicheza vibaya jamaa mnamkosa
 
kwa kifupi kikundi chenu cha chadema 🤣 🤣 ukiachana na wale waliohama karibuni na wanaokaribia kuhama akili hamna, kiukwel nyie ni wajinga sio kwa nia mbaya ila ndo ukwel 🤣🤣, unataka wananchi wawasupport alafu mkipewa jukwaa la kuongea mnaanza kuchamba watu bdala ya kuambia wananchi nn mtawafanyia na mnategemea wananchi wawe upande wenu 🤣🤣🤣, kwa kifupi katika vyama vyote duniani nyie ndo wajinga kuliko wote
Ukitaka kujua mtu serious tazama uandishi wake, ukishaona emoj nyingi ujue kinachoendelea humo ndani ni utoto mtupu.
 
chauma oyee
ACT 2014 mliwajaza hivi hivi, lakini wako hoi hadi leo. Sana sana wamepata ahueni kwa Wapemba, tena ni bila nguvu ya Zito. Ukitaka kujua kizazi kimebadilika subiri muanze kampeni za uchaguzi wa kishenzi ambao cdm wamegoma kusaini sheria za kihuni, ndio utajua kizazi kinataka nini kwa sasa. Mtamwaga hela kupita kiasi, na bado wapiga kura itakuwa tiamaji tiamaji. Na bado cdm itaendelea kuwa habari ya mjini bila hata kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi. Zama zimebadilika, mbinu zilizofanikiwa zamani si kwa sasa.
 
amka usingizini utachafua mashuka! mna hali mbaya kabla ata ya uchaguzi, saaahv unatakiwa uwe mshaita mkutano wa haraka kujua kwann wanachama wenu wanakimbia ila kwa kua mnapenda ndoto subiria ujionee uhalisia

chadema hakina ushawishi, kipindi mliungwa mkono ni kipindi kulikua na mpasuko ndan na mliungana vyama vyote kwa pamoja na bado tukawapa mgombea na mkashindwa kuchukua nchi 🤣 🤣

leo hii mko wenyewe na hata wao wenyewe bado wanawakimbia 🤣🤣, poor chadema
 
1747823248794.png

jamaa alisoma alama mapema sana
 
amka usingizini utachafua mashuka! mna hali mbaya kabla ata ya uchaguzi, saaahv unatakiwa uwe mshaita mkutano wa haraka kujua kwann wanachama wenu wanakimbia ila kwa kua mnapenda ndoto subiria ujionee uhalisia

chadema hakina ushawishi, kipindi mliungwa mkono ni kipindi kulikua na mpasuko ndan na mliungana vyama vyote kwa pamoja na bado tukawapa mgombea na mkashindwa kuchukua nchi 🤣 🤣

leo hii mko wenyewe na hata wao wenyewe bado wanawakimbia 🤣🤣, poor chadema
Yaani tuitishe mkutano kutaka kujua kwanini wanachama wanaondoka, wakati wamekipunguzia chama kundi kubwa lililokuwa linatumika na ccm!
 
Back
Top Bottom