Sijawahi kushuhudia Tanzania ya aina hii

Sijawahi kushuhudia Tanzania ya aina hii

mbona ni common language,lugha ya kawaida, sorry samahani kama una mzio/allergy na ngeli, mi nimeyachanganya tu ili kukuudhi, and mission accomplished lengo langu limetimia :PresidentSleeper:
Unayo malengo ya kipuuzi kama hayo!
Na wala huna kipimo cha kujuwa hayo malengo yamefikiwa kwa kiasi gani?

Sasa mbona unajishusha chini zaidi kuliko nilivyo dhani kuwa na hadhi nafuu kidogo kuliko hii unayojishusha hapa!
 
Unayo malengo ya kipuuzi kama hayo!
Na wala huna kipimo cha kujuwa hayo malengo yamefikiwa kwa kiasi gani?

Sasa mbona unajishusha chini zaidi kuliko nilivyo dhani kuwa na hadhi nafuu kidogo kuliko hii unayojishusha hapa!
..nazidi kufanikiwa, nilifikiri unakifua kumbe ni .......... :DESKCHAN:
 
Umeanza kuwa mpuuzi kurukia mambo ya baibo hapa kama kinga ya uhalifu mnaowafanyia waTanzania kwa sababu tu ya kumbakisha madarakani mtu wenu.
as long wananchi ndo wanamtaka we are good
 
Zungumzia ya sasa, achana na hizo habari za huko nyuma.
Mnataka kumwaga damu ya waTanzania, sababu tu Samia abaki madarakani, hamna lingine lolote la zaidi ya hapo.
makasiriko ya nn? wenyewe mmegoma kwenda kwenye uchaguzi tukishinda kelele, kijana uko na trauma
 
makasiriko ya nn? wenyewe mmegoma kwenda kwenye uchaguzi tukishinda kelele, kijana uko na trauma
Ukweli unaujuwa, hangaika nao mwenyewe. Kumwaga damu za watu kwa sababu tu ya mtu mmoja siyo jambo jepesi. Mtaishi nalo miaka yenu yote ya uhai.
 
Unayo malengo ya kipuuzi kama hayo!
Na wala huna kipimo cha kujuwa hayo malengo yamefikiwa kwa kiasi gani?

Sasa mbona unajishusha chini zaidi kuliko nilivyo dhani kuwa na hadhi nafuu kidogo kuliko hii unayojishusha hapa!

pls calm down and enjoy this masterpiece by late Phil Collins, if u don't, suffering is your choice
 
View attachment 3341168
pls calm down and enjoy this masterpiece by late Phil Collins, if u don't, suffering is your choice
Phil Collins ni "kiziwi" sasa unamtakia kitu gani wewe!

Uandishi wa hiyo lugha unakupa shida sana, kwa nini unahangaika nayo hivyo?

OOOooh, My!
Sikujuwa kuwa alisha tangulia mbele za haki! Lini?
 
mbna mlivoshinda viti vya ubunge 2015 hamkusema hatuutambui ushindi wetu kwa sababu ccm wanaiba kura?
Huo wa mwaka 2015 mpka baadhi ya watu wafe na kujeruhiwa ndo mpinzani atangazwe ilikuwa inaenda kwa shinikizo la wanainch sasa ndo nn
 
Ndiyo sababu mnaogopa uchaguzi kuwa HURU na HAKI? Kwa vile watu wanamtaka?
Mantiki ya wapi hiyo!
🤣 🤣 bado unalia tu, wewe swala la uchaguzi kwa sasa wala halikuhusu ushasema haushiriki na ushapoteza wanachama, ITS LIFE
 
Naomba nikiri kwamba, katika uhai wangu wa miongo ya kutosha kuitwa kikongwe, nimeshuhudia mambo mengi sana ya maana na ya hovyo ndani ya Tanzania.

Kwa miaka mingi Watanzania walikuwa ni watu ambao ndani kama zilivyo nchi nyingine waligawanyika na kutofautiana sana, kimitazamo, kimaslahi , kiimani na kiitikadi na kupitia tofaut hizo waliweza ku find their strengths wakaungana na kuwa wamoja na kishindo cha umoja na nguvu yao ilivuka mipaka ya nchi na kusikika kote barani Afrika.

Wao kwa wao ilikuwa ni kawaida kutofautiana, kugombana na hata kuchapana, lakini ilipotokea mtu wa nchi nyingine kujaribu kuingilia au ku take side, watanzania waliweka tofauti zao pembeni na kuungana dhidi ya mtu huyu

Siku za karibuni, taratibu tulianza kushuhudia hali hiyo ikitoweka. Upendo wa Kinafiki ukachulua hatamu, hofu na chuki na ukatili navyo vikajichukulia nafasi.

Watawala wakaingiwa na hofu ya kupoteza madaraka, na hofu ilipozidi wakaanza kuwa makatili, wakatengeneza makundi ya watu kwa ajili ya kuumiza wengine. Wakatengeneza makundi ya vijana kwa ajili ya propaganda na matusi mitandaoni.

Nilishitushwa jinsi taarifa za hali ya matokeo ya mapigano kule Congo DRC ilivyokuwa zikipokewa nchini, ziwe zilikuwa za kweli au uongo nilishangazwa na hali ya kutojali kwa watanzania na kwa waliojali walionyesha kutamani iwe zaidi ya ilivyokuwa... nikadhani naota.

Sasa hivi limitokea hili la Wakenya kudukua mitandao ya taasisi nyeti nchini, na kutumia mitandao hiyo kusambaza taarifa za kusikitisha na zisizo rafiki ingawa zina ujumbe ndani yake.

Nchi imetikisika, lakini watanzania wanaoshangilia hili wanasikika zaidi kuliko wanaopinga. Watanzania wameshindwa kuungana, sasa hivi wanashangilia yeyote mwenye kuonekana kuwa na mbinu ya kuweza kuisumbua na kuiumiza serikali.

Vile vikundi vya propaganda na matusi vya mitandaoni vilivyotengenezwa na Chama na Serikali navyo hawasikiki katika wakati huu, wanepoteana.

Naililia Tanzania yangu, nchi imegawanyika sana, wananchi wake siyo wale tena ambao akitokea mvamizi walikuwa wakiweka ugomvi na tofauti zao pembeni na kuungana dhidi ya mvamizi, sasa hivi wanaombea kabisa mabaya yashuke mapema, wapo tayari kutoa msaada kwa wavamizi itakapohitajika.

Kuna kitu kinatakiwa kufanyika, ila kwa sababu za kihistoria au za kukosa maono, tutashupaza shingo.

Hekima na Busara viwaingie watawala ili kuiweka nchi pamoja. Mtapiga risasi wananchi na baadaye mtawagusa ndugu, wake, waume, wazazi na, watoto wa maaskari hao na Ikifika hapo itaanza kuwa vita ya askari kwa askari huku raia nao wakiungana dhidi ya askari.

Tusifike huko, nchi ni yetu sote, mambo yasiyo na afya yarekebishwe ili tuendelee kuijenga nchi.

Nimestuka sana vile watanzania wameshindwa kuungana katika sakata hili linaloendelea.

Mazingira haya, ingawa hatuombei, lakini ikitokea nchi ikatuvamia ninaamini tutaaibika, Jeshi la Wananchi ili liwe imara linahitaji sana hamasa kutoka kwa wananchi, na Wananchi wenyewe ndiyo hawa ambao akitokea adui kwao atakuwa ni 'Mkombozi', tunajitengenezea mazingira yale yaliyotuwezesha kumuondoa Iddi Amin. Kule Uganda.

Tusidanganyane, si jeshi wala Polisi wanaoweza kutuliza hali hii, so far kutumika kwao kumepelekea mwelekeo ubadilike na kuelekea Korongoni.

TUJIREKEBISHE!!
Uhasama uliopo kati ya yanga na simba ndiyo huo huo uliopo kati ya "serekale" ukitia ndani machawa wake na wananchi.

Serekale ikipigwa tukio wananchi "tunafulahii" na roho zetu
 
🤣 🤣 bado unalia tu, wewe swala la uchaguzi kwa sasa wala halikuhusu ushasema haushiriki na ushapoteza wanachama, ITS LIFE
Usifikiri kila anaye zungumzia swala la nchi hii ni lazima awe kwenye makundi yenu hayo. Tanzania ni muhimu zaidi kuliko hayo makundi yenu. Yeyote anayesimama upande wa HAKI ya waTanzania ni muhimu tushirikiane naye.
 
Usifikiri kila anaye zungumzia swala la nchi hii ni lazima awe kwenye makundi yenu hayo. Tanzania ni muhimu zaidi kuliko hayo makundi yenu. Yeyote anayesimama upande wa HAKI ya waTanzania ni muhimu tushirikiane naye.
labda nkushauri, kula vizuri tafuta cha kuwapa watoto wako ukiwa haupo unachofanya saahv hakina manufaa yoyote ata tukikuweka wewe kama president mtoto wako hatorithi icho cheo, kwahio punguza pumba go and improve yourself hakuna sehem yoyote kuna haki, ata shetan aliitaman nafasi ya Mungu na kilimchomkuta ni historia
 
Back
Top Bottom