Sijawahi kushuhudia Tanzania ya aina hii

haiwezekan wao kuchukua the point ni chadema ni creator wa vurugu za apa na pale kwahio bada ya uchaguzi kitapatikana chama kipya cha upinzani si wamekataa kushiriki uchaguzi acha wengine wachukue nafasi then watanyooshwa vizuri wakiwa nje ya kivuli ya chama kikuu cha upinzan
CDM hata ungepita uchaguzi naamini kwamba reforms zikiwepo tu wataiondoa ccm madarakani chap kabisa
Usione raia hawana time na uchaguzi ni kwa kuwa wanaona mazingira ni ya kukipendelea ccm so ccm kwa sasa anaingia katika mtego wa kulazimika kuwa na chama kikubwa cha upinzani ambacho ni kivuli huku akijua kabisa katika muda usiojulikana chama halisi cha upinzani kitashika hatamu kwa hiyo analazimika akubali katika wakati asioutegemea atajikuta ana vyama viwili hadi vitatu vya upinzani vyenye nguvu na hili ndiyo kaburi lake
 
Sasa anatolea nyapara huko serikalini anakuambia kama unaona hapa nchini kodi ni nyingi hamia Burundi, ukizingatia mshahara wake na marupurupu ya kufanya anasa yote ni matokeo ya kodi yangu hapo unategemea kusiwe na matabaka???!!

Wao waliamua kuwa walala hai na kutuona sisi ni walala hoi kila mtu apambane na hali yake.
 
tunajua kabisa lengo lenu ni kumpush mtu mje mpate vyeo ndo maaana amna anaehangaika na nyie
Sasa hili nalo ni jibu kweli?
Kwa hiyo hapo wewe unam-'push' nani, Samia ndiye kakupa vyeo vinavyokuleta hapa JF kuchangia maoni mfu kama haya!
Si ajabu upo serikalini, au ndani ya CCM, kwa vile tu wewe ni wale huitwa "Huyu ni Mwenzetu"; nafasi unayoishikilia wakati huna sifa ya nafasi hiyo. Hayo ndiyo yanayokuleta humu?
 
sio kila anaepinga chama chenu cha fujo yuko ccm. ata walioondoka wameenda vyama kama chauma
Najuwa wewe kinacho kusumbua. Kuna kundi zima mmo humu kwa kazi ya kutetea Samia kwa sababu maalum.
Kwa hiyo sihangaiki na nyinyi.
 
Viongozi ama majiz ya kura? Zama zimeshabadilika,tegemea kuona nguvu ya mabadiliko.
hawa wattu bado wanaamini kabisa kwamba Samia Suluhu Hassan atazuia mabadiliko wanayoyataka waTanzania.
Bado wanadhani kwamba polisi na silaha zao watamlinda Samia na genge lake dhidi ya matakwa ya wananchi.

Samia bila silaha za polisi hana lake tena ndani ya nchi hii.
 
Hii ni Congo inayokuja tatizo ni watu wachache kujiona ni bora kuzidi wananchi milioni 60 familia za watu 500 ndo zinasumbua watu Milioni 60
 
I am free to vocalise
Actually, you're not "vocalizing"; are you aware of that!
In the statement you're alluding to, I simply pointed out the contradiction you made in one simple short sentence; not to your specific stand on the issue involved.
 
Serikali yoyote inayotegema vyombo vya Dora kubaki madarakani haiwezi kudumu mda mrefu maana haikubaliki kwa wananchi hapo ndo Nchi za Magharibi utumia huo mwanya kufanya yake maana ndani ya Nchi yenu mmegawanyika hiyo yote ni kukosa Neno HAKI Sawa
 
Cha ubwabwani unachekesha walionuna ,
Chama Gani nje ya chadema kwenye upinzani kinapata sapoti ya wanainch wengi ,
Hicho kingine hata kikiwa na wabunge 50 wa mchongo bado kwenye ground kitakua kama CUF tu ya lipumba ujue kumanipulate watu ilikuwa rahis huko nyuma tofauti na sasa technology iko juu niko kijijini huku lakini najua kuwa Mrema ni fala tu kama ww
Bado watu wanaishi zama za mawe za kale wanafikiri wanaendelea na upinzani wa uzugaji na siasa za biashara zinakoma mwaka huu wakina mrema kila mtu anajua wamenunuliwa au walikua mapandikizi huwezi kuishi kwa Uongo ukatoboa miaka yote lazima Ukweli utajitokeza tu
 
Najuwa wewe kinacho kusumbua. Kuna kundi zima mmo humu kwa kazi ya kutetea Samia kwa sababu maalum.
Kwa hiyo sihangaiki na nyinyi.
issue ni hamna point ya maana ya kuongea ata sisi wala atuhangaiki na nyie tulia kesi isikilizwe kama atakutwa na makosa sheria impatie adhabu hatuna utamaduni wa kutukana watu ovyo
 
CDM hata ungepita uchaguzi naamini kwamba reforms zikiwepo tu wataiondoa ccm madarakani chap kabisa
Usione raia hawana time na uchaguzi ni kwa kuwa wanaona mazingira ni ya kukipendelea ccm so ccm kwa sasa anaingia katika mtego wa kulazimika kuwa na chama kikubwa cha upinzani ambacho ni kivuli huku akijua kabisa katika muda usiojulikana chama halisi cha upinzani kitashika hatamu kwa hiyo analazimika akubali katika wakati asioutegemea atajikuta ana vyama viwili hadi vitatu vya upinzani vyenye nguvu na hili ndiyo kaburi lake
ata mkisema muungane vyama vyote vya upinzani of which mlishafanya, hamna uwezo wa kuitoa ccm madarakani sio kwa sababu ya kura hapana, ila hamfanyi siasa mnafanya harakati, ili ushinde mioyo ya watu lazima uje kama alternative kwa watu, waambie tatizo lenu hili tutalitatua hivi of which ndo ccm wanafanya miaka yote, na vyama vingine wanajitahidi ila nyie mmeona fujo ndo siasa endeleeni ivo ivo na saaahv mmesusia uchaguzi saf, acha wenzenu wawasaidie siasa:

View: https://www.youtube.com/watch?v=_tDosLdMiAM&pp=ygUObG93YXNhIGNoYWRlbWE%3D
 
Zama zimeshabadilika, cdm imeshageuka imani, hata kufanyike chaguzi za maigizo vipi, cdm imeshateka kundi kubwa linalotaka mabadiliko, hivyo vyama vingine ikiwemo na ccm watafanya siasa za mazoea, huku cdm ikibaki na kundi kubwa linalotaka mabadiliko, na wataibuka washindi kwenye hili.
ata TLP na NCCR mbna zilikua ivi ivi ama ushasahau 🤣 🤣 , kwa lugha nyepesi its over for you and what worse jamuhuri ikimkuta jamaa na hatia ndo its game over
 
Naomba nikiri kwamba, katika uhai wangu wa miongo ya kutosha kuitwa kikongwe, nimeshuhudia mambo mengi sana ya maana na ya hovyo ndani ya Tanzania.

Kwa miaka mingi Watanzania walikuwa ni watu ambao ndani kama zilivyo nchi nyingine waligawanyika na kutofautiana sana, kimitazamo, kimaslahi , kiimani na kiitikadi na kupitia tofaut hizo waliweza ku find their strengths wakaungana na kuwa wamoja na kishindo cha umoja na nguvu yao ilivuka mipaka ya nchi na kusikika kote barani Afrika.

Wao kwa wao ilikuwa ni kawaida kutofautiana, kugombana na hata kuchapana, lakini ilipotokea mtu wa nchi nyingine kujaribu kuingilia au ku take side, watanzania waliweka tofauti zao pembeni na kuungana dhidi ya mtu huyu

Siku za karibuni, taratibu tulianza kushuhudia hali hiyo ikitoweka. Upendo wa Kinafiki ukachulua hatamu, hofu na chuki na ukatili navyo vikajichukulia nafasi.

Watawala wakaingiwa na hofu ya kupoteza madaraka, na hofu ilipozidi wakaanza kuwa makatili, wakatengeneza makundi ya watu kwa ajili ya kuumiza wengine. Wakatengeneza makundi ya vijana kwa ajili ya propaganda na matusi mitandaoni.

Nilishitushwa jinsi taarifa za hali ya matokeo ya mapigano kule Congo DRC ilivyokuwa zikipokewa nchini, ziwe zilikuwa za kweli au uongo nilishangazwa na hali ya kutojali kwa watanzania na kwa waliojali walionyesha kutamani iwe zaidi ya ilivyokuwa... nikadhani naota.

Sasa hivi limitokea hili la Wakenya kudukua mitandao ya taasisi nyeti nchini, na kutumia mitandao hiyo kusambaza taarifa za kusikitisha na zisizo rafiki ingawa zina ujumbe ndani yake.

Nchi imetikisika, lakini watanzania wanaoshangilia hili wanasikika zaidi kuliko wanaopinga. Watanzania wameshindwa kuungana, sasa hivi wanashangilia yeyote mwenye kuonekana kuwa na mbinu ya kuweza kuisumbua na kuiumiza serikali.

Vile vikundi vya propaganda na matusi vya mitandaoni vilivyotengenezwa na Chama na Serikali navyo hawasikiki katika wakati huu, wanepoteana.

Naililia Tanzania yangu, nchi imegawanyika sana, wananchi wake siyo wale tena ambao akitokea mvamizi walikuwa wakiweka ugomvi na tofauti zao pembeni na kuungana dhidi ya mvamizi, sasa hivi wanaombea kabisa mabaya yashuke mapema, wapo tayari kutoa msaada kwa wavamizi itakapohitajika.

Kuna kitu kinatakiwa kufanyika, ila kwa sababu za kihistoria au za kukosa maono, tutashupaza shingo.

Hekima na Busara viwaingie watawala ili kuiweka nchi pamoja. Mtapiga risasi wananchi na baadaye mtawagusa ndugu, wake, waume, wazazi na, watoto wa maaskari hao na Ikifika hapo itaanza kuwa vita ya askari kwa askari huku raia nao wakiungana dhidi ya askari.

Tusifike huko, nchi ni yetu sote, mambo yasiyo na afya yarekebishwe ili tuendelee kuijenga nchi.

Nimestuka sana vile watanzania wameshindwa kuungana katika sakata hili linaloendelea.

Mazingira haya, ingawa hatuombei, lakini ikitokea nchi ikatuvamia ninaamini tutaaibika, Jeshi la Wananchi ili liwe imara linahitaji sana hamasa kutoka kwa wananchi, na Wananchi wenyewe ndiyo hawa ambao akitokea adui kwao atakuwa ni 'Mkombozi', tunajitengenezea mazingira yale yaliyotuwezesha kumuondoa Iddi Amin. Kule Uganda.

Tusidanganyane, si jeshi wala Polisi wanaoweza kutuliza hali hii, so far kutumika kwao kumepelekea mwelekeo ubadilike na kuelekea Korongoni.

TUJIREKEBISHE!!
Mkuu long time Sana umepotea jamvini. Pata hicho kibao hapo chin.

View: https://youtu.be/pZRk_-CN6A4?si=ovWFNCjPyhnYYMhy
 
Udalali wa siasa upo juu sana Mbowe na G55 wanakula pesa za ccm kama mvua
 
Mkuu, siku zote duniani ukiona wananchi wanashangilia anguko la serikali yao iliyopo madarakani basi juwa kuwa wananchi wa hiyo nchi wameichoka serikali yao na ndivyo ilivyo hapa Tanzania. Ukweli ni kwamba, wananchi wameichoka CCM, kilichobakia ni maigizo tu kununuliwa wananchi wasiojitambua na wale wenye njaa kumfagilia Mama na serikali yake si kwa sababu wanaipenda, lahasha.....njaa inawasumbua na hawana la kufanya zaidi ya kumfagilia Mama na makuwadi wake wabakie madarakani wakati hamna la maana wanalolifanya. Mama kachemsha mpaka anaunguza.
 
issue ni hamna point ya maana ya kuongea ata sisi wala atuhangaiki na nyie tulia kesi isikilizwe kama atakutwa na makosa sheria impaotie adhabu hatuna utamaduni wa kutukana watu ovyo
Hakuna kesi hapo zaidi ya mbinu autdated, mko nje ya nyakati. Sana sana hapo mtaendesha kesi kwa hila na ushahidi wa kubumba, baadae DPP atapewa maagizo ya kufuta kesi. Lakini mabadiliko yamefika hata mfanye nini hamuwezi kuyazuia.

Matusi ya kweli ni wizi wa kura mnaofanya na wizi wa pesa za umma. Tunajua mnatumia nguvu kubwa za vyombo vya dola na pesa za umma ili kuzuia mabadiliko ili muendelee kutuibia, lakini safari hii mmefikia mwisho na mabadiliko ni lazima.
 
ata TLP na NCCR mbna zilikua ivi ivi ama ushasahau 🤣 🤣 , kwa lugha nyepesi its over for you and what worse jamuhuri ikimkuta jamaa na hatia ndo its game over
Nasisitiza hizo mbinu zilizofanya kazi kwa hivyo vyama vingine huko nyuma kwa sasa imeshindikana. Mjue mnadeal na kizazi tofauti kabisa kinachojitambua. Kwa taarifa yako hapo hakuna kesi hapo maana hata hukumu hakimu ameshaandikiwa, inachofanya hiyo jamuhuri ni kusoma upepo ijue itachukua maamuzi gani. Jamuhuri ingekuwa na ushahidi isingepoteza muda kila siku kusema uchunguzi haujakamilika. Wakati ukuta, mbinu zilizowabeba zamani mnajindanganya kama zitafanya kazi sasa. Mabadiliko ni lazima.
 
Back
Top Bottom