Sijawahi kushuhudia Tanzania ya aina hii

Ongea kama mtu mzima aisee nyie ndio mnaopeleka nchi pabaya kwa ubinafsi wenu lakini mambo yakiwa mabaya ukumbuke familia yako itaguswa tu acheni mihemko ya kipuuzi kwenye mambo nyeti watubtuna watoto wadogo tunaifikiria kesho yao wewe unaangalia tumbo lako kenge wewe
Sasa mimi na nyie mnataka wazungu walete ushoga sijui nani mbaya zaidi!!
 
Yo
Naomba nikiri kwamba, katika uhai wangu wa miongo ya kutosha kuita kikongwe, nimeshuhudia mambo mengi sana ya maana na ya hovyo ndani ya Tanzania.

Kwa miaka mingi Watanzania walikuwa ni watu ambao ndani kama zilivyo nchi nyingine waligawanyika na kutofautiana sana, kimitazamo, kimaslahi , kiimani na kiitikadi na kupitia tofaut hizo waliweza ku find their strengths wakaungana na kuwa wamija na kishindo cha umoja na nguvu yao ilivuka mipaka ya nchi na kusikika kote barani Afrika.

Wao kwa wao ilikuwa ni kawaida kutofautiana, kugombana na hata kuchapana, lakini ilipotokea mtu wa nchi nyingine kujaribu kuingilia au ku take side, watanzania waliweka tofauti za pembeni na kuungana dh8di ya mtu huyu

Siku za karibuni, taratibu tulianza kushuhudia hali hiyo ikitoweka. Upendo wa Kinafiki ukachulua hatamu, hofu na chuki na ukatili navyo vikajichukulia nafasi.

Watawala wakaingiwa na hofu ya kupoteza madaraka, na hofu ilipozidi wakaanza kuwa makatili, wakatengeneza makundi ya watu kwa ajili ya kuumiza wengine. Wakatengeneza makundi ya vijana kwa ajili ya propaganda na matusi mitandaoni.

Nilishitushwa jinsi taarifa za hali ya matokeo ya mapigano kule Congo DRC ilivyokuwa zikipokewa nchini, ziwe zilikuwa za kweli au uongo nilishangazwa na hali ya kutojali kwa watanzania na kwa waliojali walionyesha kutamani iwe zaidi ya ilivyokuwa... nikadhani naota.

Sasa hivi limitokea hili la Wakenya kudukua mitandao ya taasisi nyeti nchini, na kutumia mitandao hiyo kusambaza taarifa za kusikitisha na zisizo rafiki ingawa zina ujumbe ndani yake.

Nchi imetikisika, lakini watanzania wanaoshangilia hili wanasikika zaidi kuliko wanaopinga. Watanzania wameshindwa kuungana, sasa hivi wanashangilia yeyote mwenye kuonekana kuwa na mbinu ya kuweza kuisunbua na kuiumiza serikali.

Vile vikundi vya propaganda na matusi vya mitandaoni vilivyotengenezwa na Chama na Serikali navyo hawasikiki katika wakati huu, wanepoteana.

Naililia Tanzania yangu, nchi imegawanyika sana, wananchi wake siyo wale tena ambao akitokea mvamizi walikuwa wakiweka ugomvi na tofauti zao pembeni na kuungana, sasa hivi wanaombea kabisa mabaya yashuke mapema.

Kuna kitu kinatakiwa kufanyika, ila kwa sababu za kihistoria au za kukosa maono, tutashupaza shingo.

Hekuoa na Busara viwaingie watawala ili kuiweka nchi pamoja. Mtapiga risasi wananchi na baadaye mtawagusa ndugu, wake, waume, wazazi na, watoto wa maaskari hao ma Ikifika hapo itaanza kuwa vita ya askari kwa askari huku raia nao wakiungana dhidi ya askari.

Tusifike huko, nchi ni yetu sote, mambo yasiyo na afya yarekebishwe ili tuendelee kuijenga nchi.

Nimestuka sana vile watanza wameshindwa kuungana katika sakati hili linaloendelea.

Mazingira haya, ingawa hatuombei, lakini ikitokea nchi ikatuvamia ninaamini tutaaibika, Jeshi la Wananchi ili liwe imara linahitaji sana hamasa kutoka kwa wananchi, na Wananchi wenyewe ndiyo hawa ambao akitokea adui kwao atakuwa ni 'Mkombozi', tunajitengenezea mazingira yale yaliyotuwezesha kumuondoa Iddi Amin.

Tusidanganyane, si jeshi wala Polisi wanaoweza kutuliza hali hii, so far kutumika kwao kumepelekea mwelekeo ubadilike na kuelekea Koringini.

TUJIREKEBISHE!!
YOote hayo tiba ni moja tu.
Nayo ni NO REFORMS NO ELECTION
na kuondoa ccm madarakani
 
Kama sauti zetu wenyewe Watanganyika hazitasilizwa na watawala ktk kurekebisha mambo yetu, basi Mungu atainua mawe au miti au hata punda au mbuzi na ng'ombe kupaza sauti kututetea dhidi ya uonevu wa watawala wetu wenyewe wanajisema kuwa waliwekwa na wananchi kwa sanduku la kura lakini ukweli ni kuwa walijiweka wenyewe kwa mabavu kwa wizi wa chaguzi/kura...

Wakenya, Bunge la Ulaya, Marekani na wengine huko duniani ni mawe na miti yanayosema kwa ajili ya Watanganyika...

Iko sawa kabisa. Na sisi raia wa Tanganyika, tuko tayari kuungana nao kuhakikisha madikteta wetu, weusi wenzetu wanajiita CCM wanatoweka mara Moja na kutuachia nchi yetu...!
 
unijipa ushauri nasaha 😀
 
vyama pinzani vinapingana kuliko nguvu ya kuipinga CCM, UPINZANI UTASUBIRI SANA KUCHUKUA DOLA
haiwezekan wao kuchukua the point ni chadema ni creator wa vurugu za apa na pale kwahio bada ya uchaguzi kitapatikana chama kipya cha upinzani si wamekataa kushiriki uchaguzi acha wengine wachukue nafasi then watanyooshwa vizuri wakiwa nje ya kivuli ya chama kikuu cha upinzan
 
Sijui kama kuna selikali nikila nikiamka n mm na familia angu tunapambana na life wakimaliza kuhujumu watatukuta tenaaàa
 
Naomba nikiri kwamba, katika uhai wangu wa miongo ya kutosha kuita kikongwe, nimeshuhudia mambo mengi sana ya maana na ya hovyo ndani ya Tanzania.

Kwa miaka mingi Watanzania walikuwa ni watu ambao ndani kama zilivyo nchi nyingine waligawanyika na kutofautiana sana, kimitazamo, kimaslahi , kiimani na kiitikadi na kupitia tofaut hizo waliweza ku find their strengths wakaungana na kuwa wamija na kishindo cha umoja na nguvu yao ilivuka mipaka ya nchi na kusikika kote barani Afrika.

Wao kwa wao ilikuwa ni kawaida kutofautiana, kugombana na hata kuchapana, lakini ilipotokea mtu wa nchi nyingine kujaribu kuingilia au ku take side, watanzania waliweka tofauti za pembeni na kuungana dh8di ya mtu huyu

Siku za karibuni, taratibu tulianza kushuhudia hali hiyo ikitoweka. Upendo wa Kinafiki ukachulua hatamu, hofu na chuki na ukatili navyo vikajichukulia nafasi.

Watawala wakaingiwa na hofu ya kupoteza madaraka, na hofu ilipozidi wakaanza kuwa makatili, wakatengeneza makundi ya watu kwa ajili ya kuumiza wengine. Wakatengeneza makundi ya vijana kwa ajili ya propaganda na matusi mitandaoni.

Nilishitushwa jinsi taarifa za hali ya matokeo ya mapigano kule Congo DRC ilivyokuwa zikipokewa nchini, ziwe zilikuwa za kweli au uongo nilishangazwa na hali ya kutojali kwa watanzania na kwa waliojali walionyesha kutamani iwe zaidi ya ilivyokuwa... nikadhani naota.

Sasa hivi limitokea hili la Wakenya kudukua mitandao ya taasisi nyeti nchini, na kutumia mitandao hiyo kusambaza taarifa za kusikitisha na zisizo rafiki ingawa zina ujumbe ndani yake.

Nchi imetikisika, lakini watanzania wanaoshangilia hili wanasikika zaidi kuliko wanaopinga. Watanzania wameshindwa kuungana, sasa hivi wanashangilia yeyote mwenye kuonekana kuwa na mbinu ya kuweza kuisunbua na kuiumiza serikali.

Vile vikundi vya propaganda na matusi vya mitandaoni vilivyotengenezwa na Chama na Serikali navyo hawasikiki katika wakati huu, wanepoteana.

Naililia Tanzania yangu, nchi imegawanyika sana, wananchi wake siyo wale tena ambao akitokea mvamizi walikuwa wakiweka ugomvi na tofauti zao pembeni na kuungana, sasa hivi wanaombea kabisa mabaya yashuke mapema.

Kuna kitu kinatakiwa kufanyika, ila kwa sababu za kihistoria au za kukosa maono, tutashupaza shingo.

Hekuoa na Busara viwaingie watawala ili kuiweka nchi pamoja. Mtapiga risasi wananchi na baadaye mtawagusa ndugu, wake, waume, wazazi na, watoto wa maaskari hao ma Ikifika hapo itaanza kuwa vita ya askari kwa askari huku raia nao wakiungana dhidi ya askari.

Tusifike huko, nchi ni yetu sote, mambo yasiyo na afya yarekebishwe ili tuendelee kuijenga nchi.

Nimestuka sana vile watanza wameshindwa kuungana katika sakati hili linaloendelea.

Mazingira haya, ingawa hatuombei, lakini ikitokea nchi ikatuvamia ninaamini tutaaibika, Jeshi la Wananchi ili liwe imara linahitaji sana hamasa kutoka kwa wananchi, na Wananchi wenyewe ndiyo hawa ambao akitokea adui kwao atakuwa ni 'Mkombozi', tunajitengenezea mazingira yale yaliyotuwezesha kumuondoa Iddi Amin.

Tusidanganyane, si jeshi wala Polisi wanaoweza kutuliza hali hii, so far kutumika kwao kumepelekea mwelekeo ubadilike na kuelekea Koringini.

TUJIREKEBISHE!!
Watadhinitiwa
 
kibao.jpg

soka-e1724250077267-1024x968.jpg

mdude.jpg

Watanzania.
 
Kumbuka zamani hata ajira zilikuwa zinatolewa siyo kwa upendeleo, teuzi zilikuwa vetting zinafanyika sahivi ndugu/koo fulani ndiyo zinanufaika na wengine kubaki wasindikizaji, ufisadi umetamalaki watu wanaiba na kutajirika wanaanza kuita mama mama, hakuna umoja wa aina hiyo duniani, hilo genge la matapeli wachache ndiyo linafaidi mali za nchi tena kwa ufisadi na siyo kwa haki. Acha watu washangilie wamechoshwa na mfumo mbovu wa kinyonyaji.
 
Huenda haya ni matokeo ya serikali kujiona imekuwa serikali kwa ajili yake yenyewe na si kwa ajili ya wananchi hivyo wananchi wamekuwa wanafiki kwa nchi yao na sio wakweli kwa nchi yao yote hii ni baada ya serikali kutengeneza wazalendo kwa chama na wazalendo
watu na sio kutengeneza wazalendo kwa taifa wacha iendelee kuamini jeshi na nguvu ndio silaha dhidi ya wananchi.
Nchi imekuwa ya hovyo mifumo imejaa majangili tupu, nani atakuwa mzalendo kwa nchi ya aina hiyo?
 
Unawezaje kuwafanya watu wawe wamoja uku wengine unawauwa?. Serikali iachane na mambo za kuuwa watu kabisa. Woga wa kupoteza ni kitu kibaya sana. Na hii plan ya kuuwa iliongezeka tokea 2010 alipogombea Dr slaa.ccm ilioona Sasa upo uwezekano wakupoteza ndipo UUWAJI na utekaji ukaanza. 2015 waliangukia pua ccm. Mauwaji yakazidi na mpaka Sasa imekuwa ndiyo mbinu UUWAJI. Kwa njia hiyo huo umoja utatokea wapi?. Mkuu
ALiyewadanganya hiyo mbinu ya kipumbavu ndiyo kawapoteza
 
Kumbuka zamani hata ajira zilikuwa zinatolewa siyo kwa upendeleo, teuzi zilikuwa vetting zinafanyika sahivi ndugu/koo fulani ndiyo zinanufaika na wengine kubaki wasindikizaji, ufisadi umetamalaki watu wanaiba na kutajirika wanaanza kuita mama mama, hakuna umoja wa aina hiyo duniani, hilo genge la matapeli wachache ndiyo linafaidi mali za nchi tena kwa ufisadi na siyo kwa haki. Acha watu washangilie wamechoshwa na mfumo mbovu wa kinyonyaji.
"Common sense is not so common" 😀
hakuna chama kitakacho epuka upigaji, CDM na vyama vingine, mifarakano mikubwa imetokea kwa sababu ya upigaji wa ruzuku za vyama vyao wenyewe, sasa je wakipewa nchi???
 
Kwahiyo ndiyo unataka watu wengine wawe wasindikizaji wakati nyie mnaiba kisa CDM nao wakiingia wataiba kama nyie? endeleeni na upumbavu wenu msilalamike
 
Back
Top Bottom