Sijawahi kushuhudia Tanzania ya aina hii

Naomba nikiri kwamba, katika uhai wangu wa miongo ya kutosha kuita kikongwe, nimeshuhudia mambo mengi sana ya maana na ya hovyo ndani ya Tanzania.

Kwa miaka mingi Watanzania walikuwa ni watu ambao ndani kama zilivyo nchi nyingine waligawanyika na kutofautiana sana, kimitazamo, kimaslahi , kiimani na kiitikadi na kupitia tofaut hizo waliweza ku find their strengths wakaungana na kuwa wamija na kishindo cha umoja na nguvu yao ilivuka mipaka ya nchi na kusikika kote barani Afrika.

Wao kwa wao ilikuwa ni kawaida kutofautiana, kugombana na hata kuchapana, lakini ilipotokea mtu wa nchi nyingine kujaribu kuingilia au ku take side, watanzania waliweka tofauti za pembeni na kuungana dh8di ya mtu huyu

Siku za karibuni, taratibu tulianza kushuhudia hali hiyo ikitoweka. Upendo wa Kinafiki ukachulua hatamu, hofu na chuki na ukatili navyo vikajichukulia nafasi.

Watawala wakaingiwa na hofu ya kupoteza madaraka, na hofu ilipozidi wakaanza kuwa makatili, wakatengeneza makundi ya watu kwa ajili ya kuumiza wengine. Wakatengeneza makundi ya vijana kwa ajili ya propaganda na matusi mitandaoni.

Nilishitushwa jinsi taarifa za hali ya matokeo ya mapigano kule Congo DRC ilivyokuwa zikipokewa nchini, ziwe zilikuwa za kweli au uongo nilishangazwa na hali ya kutojali kwa watanzania na kwa waliojali walionyesha kutamani iwe zaidi ya ilivyokuwa... nikadhani naota.

Sasa hivi limitokea hili la Wakenya kudukua mitandao ya taasisi nyeti nchini, na kutumia mitandao hiyo kusambaza taarifa za kusikitisha na zisizo rafiki ingawa zina ujumbe ndani yake.

Nchi imetikisika, lakini watanzania wanaoshangilia hili wanasikika zaidi kuliko wanaopinga. Watanzania wameshindwa kuungana, sasa hivi wanashangilia yeyote mwenye kuonekana kuwa na mbinu ya kuweza kuisunbua na kuiumiza serikali.

Vile vikundi vya propaganda na matusi vya mitandaoni vilivyotengenezwa na Chama na Serikali navyo hawasikiki katika wakati huu, wanepoteana.

Naililia Tanzania yangu, nchi imegawanyika sana, wananchi wake siyo wale tena ambao akitokea mvamizi walikuwa wakiweka ugomvi na tofauti zao pembeni na kuungana, sasa hivi wanaombea kabisa mabaya yashuke mapema.

Kuna kitu kinatakiwa kufanyika, ila kwa sababu za kihistoria au za kukosa maono, tutashupaza shingo.

Hekuoa na Busara viwaingie watawala ili kuiweka nchi pamoja. Mtapiga risasi wananchi na baadaye mtawagusa ndugu, wake, waume, wazazi na, watoto wa maaskari hao ma Ikifika hapo itaanza kuwa vita ya askari kwa askari huku raia nao wakiungana dhidi ya askari.

Tusifike huko, nchi ni yetu sote, mambo yasiyo na afya yarekebishwe ili tuendelee kuijenga nchi.

Nimestuka sana vile watanza wameshindwa kuungana katika sakati hili linaloendelea.

Mazingira haya, ingawa hatuombei, lakini ikitokea nchi ikatuvamia ninaamini tutaaibika, Jeshi la Wananchi ili liwe imara linahitaji sana hamasa kutoka kwa wananchi, na Wananchi wenyewe ndiyo hawa ambao akitokea adui kwao atakuwa ni 'Mkombozi', tunajitengenezea mazingira yale yaliyotuwezesha kumuondoa Iddi Amin.

Tusidanganyane, si jeshi wala Polisi wanaoweza kutuliza hali hii, so far kutumika kwao kumepelekea mwelekeo ubadilike na kuelekea Koringini.

TUJIREKEBISHE!!

Too late!

Bora lizame ili tugawane mbao!
 
Wanaunganaje wakati watu wanatekwa na kupotezwa huku watu wakishudia, wanao potezwa tunaambiwa wamejificha
 
Kaa kwa password wananchi ndiyo wataamua wao wanapenda nini na siyo nyie majangili ya mali za umma
mi ni non-partisan, comments zangu ni "my common sense". Kama unategemea maisha yako na familia yako yataboreshwa siasa za vyama, utapigwa stress na ku-commit suicide. 😀 hao wenyewe wana hustle wapate mkate.
 
Siasa ndiyo inaamua kesho yangu, acha nijinyoge au nitekwe lakini lazima nishiriki siasa, unaweza kufa hata kwa kugongwa na bodaboda, Nyerere angekuwa na mawazo kama ako tungechelewa sn kupata uhuru.
 
😀imenichukua muda kuelewa desperation uliyonayo, hapo si rahisi mtu kukubadili, pls carry on with your revolt:PresidentSleeper:
 
Naomba nikiri kwamba, katika uhai wangu wa miongo ya kutosha kuita kikongwe, nimeshuhudia mambo mengi sana ya maana na ya hovyo ndani ya Tanzania.

Kwa miaka mingi Watanzania walikuwa ni watu ambao ndani kama zilivyo nchi nyingine waligawanyika na kutofautiana sana, kimitazamo, kimaslahi , kiimani na kiitikadi na kupitia tofaut hizo waliweza ku find their strengths wakaungana na kuwa wamija na kishindo cha umoja na nguvu yao ilivuka mipaka ya nchi na kusikika kote barani Afrika.

Wao kwa wao ilikuwa ni kawaida kutofautiana, kugombana na hata kuchapana, lakini ilipotokea mtu wa nchi nyingine kujaribu kuingilia au ku take side, watanzania waliweka tofauti za pembeni na kuungana dh8di ya mtu huyu

Siku za karibuni, taratibu tulianza kushuhudia hali hiyo ikitoweka. Upendo wa Kinafiki ukachulua hatamu, hofu na chuki na ukatili navyo vikajichukulia nafasi.

Watawala wakaingiwa na hofu ya kupoteza madaraka, na hofu ilipozidi wakaanza kuwa makatili, wakatengeneza makundi ya watu kwa ajili ya kuumiza wengine. Wakatengeneza makundi ya vijana kwa ajili ya propaganda na matusi mitandaoni.

Nilishitushwa jinsi taarifa za hali ya matokeo ya mapigano kule Congo DRC ilivyokuwa zikipokewa nchini, ziwe zilikuwa za kweli au uongo nilishangazwa na hali ya kutojali kwa watanzania na kwa waliojali walionyesha kutamani iwe zaidi ya ilivyokuwa... nikadhani naota.

Sasa hivi limitokea hili la Wakenya kudukua mitandao ya taasisi nyeti nchini, na kutumia mitandao hiyo kusambaza taarifa za kusikitisha na zisizo rafiki ingawa zina ujumbe ndani yake.

Nchi imetikisika, lakini watanzania wanaoshangilia hili wanasikika zaidi kuliko wanaopinga. Watanzania wameshindwa kuungana, sasa hivi wanashangilia yeyote mwenye kuonekana kuwa na mbinu ya kuweza kuisunbua na kuiumiza serikali.

Vile vikundi vya propaganda na matusi vya mitandaoni vilivyotengenezwa na Chama na Serikali navyo hawasikiki katika wakati huu, wanepoteana.

Naililia Tanzania yangu, nchi imegawanyika sana, wananchi wake siyo wale tena ambao akitokea mvamizi walikuwa wakiweka ugomvi na tofauti zao pembeni na kuungana, sasa hivi wanaombea kabisa mabaya yashuke mapema.

Kuna kitu kinatakiwa kufanyika, ila kwa sababu za kihistoria au za kukosa maono, tutashupaza shingo.

Hekuoa na Busara viwaingie watawala ili kuiweka nchi pamoja. Mtapiga risasi wananchi na baadaye mtawagusa ndugu, wake, waume, wazazi na, watoto wa maaskari hao ma Ikifika hapo itaanza kuwa vita ya askari kwa askari huku raia nao wakiungana dhidi ya askari.

Tusifike huko, nchi ni yetu sote, mambo yasiyo na afya yarekebishwe ili tuendelee kuijenga nchi.

Nimestuka sana vile watanza wameshindwa kuungana katika sakati hili linaloendelea.

Mazingira haya, ingawa hatuombei, lakini ikitokea nchi ikatuvamia ninaamini tutaaibika, Jeshi la Wananchi ili liwe imara linahitaji sana hamasa kutoka kwa wananchi, na Wananchi wenyewe ndiyo hawa ambao akitokea adui kwao atakuwa ni 'Mkombozi', tunajitengenezea mazingira yale yaliyotuwezesha kumuondoa Iddi Amin.

Tusidanganyane, si jeshi wala Polisi wanaoweza kutuliza hali hii, so far kutumika kwao kumepelekea mwelekeo ubadilike na kuelekea Koringini.

TUJIREKEBISHE!!
Ukipanda maboga usitegemee kuvuna Mafenesi
 
Tusifike huko, nchi ni yetu sote, mambo yasiyo na afya yarekebishwe ili tuendelee kuijenga nchi.
Umeandika vyema sana, mkuu 'Consigliere'. Ni mada fikirishi. Ni mada ya mahali pa kuanzia kujadili hatma ya nchi yetu.

Lakini kama ulivyo eleza mwenyewe kwenye andiko lako hili,... subiri uone michango itakayo fuatia andiko lako hili.

Ngoja kwa hapa tu, nichukue nafasi ya kukupongeza kwa andiko zuri kabisa; kabla nami sijaweka maoni juu ya hali ya nchi yetu ilivyo sasa, na nini kifanyike kutunusuru.
 
nchi ishakua ya kimalaya kila mtu anajipigia kwa mda wake so who care about dignity? for what? rather better mind ur buzness.
 
Hadi watu wagawane mbao ndiyo ccm wataridhika
Ukweli ni kwamba tatizo linaanzia kwenye hicho chama.
Ni ajabu kwamba watu hawajaelekeza fikra zao kwenye hiki chama kujibu haya yanayotokea huku nje.

Je, ndani ya CCM kukoje huko?
Iwapo hata jambo la kumpata mgombea wa chama kwenye nafasi ya urais na Makamu wake linakuwa jambo lakupigana chenga; je, mambo yapo sawa sawa huko?
Kama hakuko sawa, na hicho ndicho chama tawala, chenye serikali, ambayo yenyewe ndiyo inavifaa vya wananchi na inavitumia kuwakandamiza wananchi...

Suluhisho la matatizo lingeanzia huko ndani ya chama; lakini ishara ni kwamba hilo halipo.
Kwa hiyo sasa waTanzania italazimu watafute uongozi wa kuleta mabadiliko chanya nje ya hicho chama.
 
Hizi ndiyo akili halisi za Mtanzania kipenzi cha watawala wasiojali maslahi ya nchi.
Viongozi ambao walioamini kuwa nchi ipo vizuri mitandaoni ikiamini ikitokea vita ya mitandao hao machawa ndiyo watakuwa askari. Hawakutarajia wala kuwahi kufikiri kuwa vita ya mitandaoni itahusisha udukuzi na uvurugaji wa njia za mawasiliano kwa umma
Nilitaka nisome michango mbalimbali inayowekwa humu kabla ya kuchangia kwa kina, lakini inakuwa vigumu sana unapokutana na maoni kama ya huyo uliye mjibu hapo.

Tatizo letu sote (kama waTanzania), ni hili la kuogopa kutamka baadhi ya maneno bila kuyaonea haya au aibu, au kuogopa kuitwa majina. Huu umekuwa ni unafiki unaoanzia kwa wananchi hadi kwa viongozi.

Nimeeleza hapo juu, kwamba sehemu kubwa ya matatizo yetu yametokana na huko ndani ya CCM. CCM iliyopo sasa ni chama kinachotumika kwa maslahi tu, ya viongozi wa ngazi mbalimbali. Kiongozi huko ndani hawezi kuthubutu kusema jambo ambalo litamwonyesha yeye yuko tofauti, hata kama ni jambo la maslahi kwa nchi.

Sasa hivi, CCM (kwa jina tu) inatumika kufanya agenda zisizokuwa na tija kwa nchi. Ajenda kubwa sasa ni kumpigania Samia Suluhu Hassan, abaki kuwa Rais, kwa njia HARAMU. Hakuna kiongozi mwingine yeyote huko anayeweza kuhoji hilo!
Kwa nini?
CCM (kwa jina tu), sasa imeshikiliwa na KUNDI MAALUM (mark my words), na ni hili kundi ndilo litakalo tupeleka kwenye matatizo makubwa!
 
Hasa ukuaji wa teknolojia na upashanaji habari unavyokua mabadiliko huwa hayaepukiki utayachelewesha tuu lakini yatakuja. Vyema ni kuishi nayo kwa kuyatungia sheria na kujiandaa kisaikolojia
 
Back
Top Bottom