godoro-la-comfy
Member
- Sep 9, 2013
- 52
- 28
Wadau..mi kusema cha ukweli sijawahi kupanda ndege toka nimezaliwa. Nataman sana siku moja kuipanda. Umri wangu ni miaka 35. Naomba tuelimishane....siku ya kwanza inakuagaje?..Nikifika pale airpot JINIA...naelekea wapi na wapi mpaka naingia ndani ya ndege?..na humo kwenye ndege nasikia kuna mikanda unajifunga....je unaweza kutembea humo ndani wakati ndege ikiwa juu?..natamani kujua kiujumla...habari za ndege. Safari za ndani na za yale madege makubwa ya nje.