Sijawahi kupanda ndege...Nielimisheni

Sijawahi kupanda ndege...Nielimisheni

Wengi huku hawajapanda ndege kama wewe, huna haja ya kuuliza huku JF, Wewe nenda airport maelezo yote utayapata,
 
Air airline...!
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1378975818238.jpg
    uploadfromtaptalk1378975818238.jpg
    16.5 KB · Views: 220
Wadau..mi kusema cha ukweli sijawahi kupanda ndege toka nimezaliwa. Nataman sana siku moja kuipanda. Umri wangu ni miaka 35. Naomba tuelimishane....siku ya kwanza inakuagaje?..Nikifika pale airpot JINIA...naelekea wapi na wapi mpaka naingia ndani ya ndege?..na humo kwenye ndege nasikia kuna mikanda unajifunga....je unaweza kutembea humo ndani wakati ndege ikiwa juu?..natamani kujua kiujumla...habari za ndege. Sagari za ndani na za yale madege makubwa ya nje.


SDC12835.JPG hii ni picha iliyopigwa na abiria akiwa kwenye ndege....
 
ImageUploadedByJamiiForums1378977282.206387.jpg

Wahi maana usafiri wake tabu kweli kama hiyo hapo Mbagala Airways.
 
Rules of the Airways 1.Take offs are optional,landings are Mandatory. 2.Flying is not dangerous crashing is dangerous 3.The only time you have too much fuel is when you're on fire 4.The probability of survival is equal to the angle of arrival 5.speed is life,altitude is life insurance.No one has ever collided with the sky.
 
Kitu kimoja sijafahamu hadi sasa. Hivi hapa jf watu kuongea lugha za matusi, kuonyeshana dharau na ujuaji hata kile mtu ni mburura, kuchangia vitu ovyo ovyo bila kuwa makini na kuonyesha kujali ni kwa sababu ya kwamba 'ufahamu wa wachangiaji unaishia hapo?, kukosa exposure? kutokuthamini muda? Kukosa upendo? ufahamu mudogo? utamaduni na mazingira wanayoshi wachangiaji walio wengi? ama ni dalili ya ujinga, ushamba na kukosa mwelekeo? Mimi sielewi kwa kweli.

Kijana kauliza swali kwa nia nzuri lakini anajibiwa majibu yanayoonyesha uchini wa madaraja ya wachangiaji. Huwezi kumwambia mtu eti 35 yrs bila kupanda ndege ni kosa kama unaelewa mfumo wa usafiri wa anga wa TZ. Wtniz wako wangapi, wastani wa mapato yao na wengi wano wanaishi wapi na wapi wanategemea kupata mahtaji yao mengi. Linganisha na tz kuna ndege ngapi na viwanja vy ndege vingapi na mfumo wa gharama za usafiri huo halafu uanze kudharau eti mtu asiyepanda ndege katika 35 yrs of age ana makosa!.

Kwanza humu jf, semeni ukweli, ni asilimia ngapi weya wachangiaji (wenye majibu ya dhrau kwa kijana) wanasafiri kwa usafiri wa anga na famlia zao? Katika hao wanaosafiri kwa anga ni wangapi wanalipa nauli kutoka mifukoni mwao?

Utakuta wengi wengi wanaingiza bill atwa waajiri na hata kughushi umri wa watioto ili walipiwe tiketi. Fursa ambazo hakuna mwenye hatimiliki nazo.

Angalieni vile mnajibizana. Mnaudhi kweli!
 
....wazia siku yako ya kwanza ulipokuja ukubwani/ujanani....kisha sasa umeshakuwa teja wa mapenzi...ndivyo ilivyo uwazapo siku utakayopanda ndege kwa mara ya kwanza
 
ukitaka kupanda ndege kwanza andaa shamba lako vzr,mbole nyingi maana huwa znasumbua kuota hivyo kuchelewa kuvuna ndege huwa ni kawaida sana! ss hakikisha unapata mbegu bora ya ndege iwe roket boing jetfigher na zngne kadha wa kadha na umwagilie kila cku!!
sawa mkuu... mpando mwema
 
Ok,jibu ni hili, ndege ni kama usafiri mwingine wowote,huwezi kukwama ukifika airport kwani utadesa kwa abiria wengine, ndani ya ndege ukijisikia kuchimba dawa unabonyeza kengele rubani anasimamisha kwenye kichaka unashuka na kushusha mzigo,pia usisahau kuomba siti ya dirishani ili uweze kununua vitu njiani na pia iwe rahisi ukitaka kutapika unatoa tu kichwa nje...safari njema.

Hahahahaha!
 
Back
Top Bottom