Sijawahi kupanda ndege...Nielimisheni

Sijawahi kupanda ndege...Nielimisheni

Wadau..mi kusema cha ukweli sijawahi kupanda ndege toka nimezaliwa. Nataman sana siku moja kuipanda. Umri wangu ni miaka 35. Naomba tuelimishane....siku ya kwanza inakuagaje?..Nikifika pale airpot JINIA...naelekea wapi na wapi mpaka naingia ndani ya ndege?..na humo kwenye ndege nasikia kuna mikanda unajifunga....je unaweza kutembea humo ndani wakati ndege ikiwa juu?..natamani kujua kiujumla...habari za ndege. Safari za ndani na za yale madege makubwa ya nje.
Watu mnamponda tu mkuu badala ya kumsaidia....
Ki ufupi ukifika pale airport nenda upande wa depature... pale utakutana watu wa security watakagua Pass yako kama nifasri za nje au tkt yako kwa safari za ndani,
Ukitoka hapo utaenda security check, weka beg lako vua mkanda na viatu pitisha kwenye xray machine.
Ukitoka hapo unaelekea kwenye check in desk utaona kibao cha airline unayosafiria, wape tiketi yako watakupa boarding pass
Ukishakamata boarding pass elekea depature lounge, iko juu ghorofani, panda kwa kutumia escalator yale mangazi kama ya pale quality plaza
Kaa kwenye kiti u relax utasikia mnaitwa ingia kwenye ndege angalia siti yako kaa kula raha

NB, Ukiulizwa unataka siti gani wakati unachukua boarding pass waambia utaka dirisha pls
 
Kuna Fununu Kuwa Muuliza Swali (godolo La Comfy) Ndiye Aliye Mjegeja Mama Ake Ufo Na Ufo Na Mwisho Kujijegeja Mwenyewe Kdevuni. Kama Si Kweli Kanusha Kama Ni Kweli RIH! RIH Kamanda!
 
Kweli humu jamii forum, sisafiri tena kwa usafiri wa ndege
 
Back
Top Bottom