Sijawahi kupanda ndege...Nielimisheni

Sijawahi kupanda ndege...Nielimisheni

Sorry...nilitaka niiweke huku..nikakosea nikaiweka kwenye kazi na tenda. Na sijui jinsi ya kufuta thread. Sijui mnafutaje..mi mgeni humu...natokea Mwanza..kwimba.

Kwi kwi kwiii, unatokea Kwimba Mwanza? Hapa upo stendi baba.
 
usisahau kutafuta chenji mapema coz makonda wanazingua ukitoa noti ya elfu kumi .usilale utapitishwa kituo. ukiona mama mjamzito,mlemavu,au mzee sana mpishe kiti,kumbuka kuwahi siunajua foleni.kumbuka kudai chenji mapema usijedhurumiwa
 
Point muhimu ,usikubali kumsaidia mtu yoyote mzigo au mtoto kumbeba yaani wewe na begi lako tu,na muhimu begi laki u pack mwenyewe sio hata mkeo,na usicheze mbali na begi lako
 
Alaf kuna marubani wakikata kona wanailaza ndege balaaa alaf kuna wengine wanapia njia za panya wasikamatwe na traffick na wasipite mizani,,maana mnaweza mkaambiwa abiria wa mbele muende nyuma ili ibalance,,so chagua siti ya uhakika
 
usisahau, kuna ndege zinapaki pale kivukoni, unaweza ukapandia pale pia.
 
Wewe umetumwa??
Unamtukana nani humu, kwani ni lazima ujibiwe, matatizo yako halfu ututukane, sie ndo tumekufanya usipande ndege hadi leo? Nyambafu wewe, uwe unatumia akili, nenda airport huko kaulize, unatukanatukana hovyo tu


Mnaudhi sana humu. Mavi kabisa....mmnfyuuuuuuussss
 
Kueni serious basi nyie watu wa daslamu. Najua mnajua vitu vingi sana but wachoyo sana kuelimishana. Hua mnamaana gani kusema mjini shule kama majibu mnayonipa ndio haya ya kisembesembe?..Mnajibu utumbo utumbo tu kama Mwigulu Nchembe. Mnnfyuuuuusss
 
Hahaha hayo majibu unaeza kuta anayetoa hapo no prof au boss Fulani kweli kuvaa mask raha
 
Modes hebu pelekeni hii thread kwenye jukwaa la jokes/gossip,
Na hata hivyo ugeni raha jamani,huyu jama kaweka hii thread kwenye matangazo akaona kakosea,fastafasta akarudi kuiweka kwenye habari na hoja mchanganyiko na hata hivyo kakosea tena hii thread imekuwa ya utani,udaku na vichekesho kwaio ilitakiwa ifikishwe mahala pake.
kweli nimeamini,kuku mgeni hakosi sanda mguuni
 
Kuna uzi humu wa mwaka jana kama sikosei. Mwenzio aliuliza swali kama hili alikuwa anajiandaa kutoka Mwanza kwenda Dar .Majibu aliyapata, nikikumbuka nacheka sana. Utafute uzi huo.
Hahaaa ht mm naukumbuka, umenifanya nicheke sana mana dogo alikuwa anauliza maswali ya ajabu
 
naon thread imekua utani tupu mpaka naogopa kumsaidia.nipm
 
Hahaaa ht mm naukumbuka, umenifanya nicheke sana mana dogo alikuwa anauliza maswali ya ajabu
wakuu wekeni link tuendelee kufanya siku yetu iishe kwa cheko.
 
Kwani ushabeba kilo ngapi nikusaidie kupitisha pale ariport ?
wadau..mi kusema cha ukweli sijawahi kupanda ndege toka nimezaliwa. Nataman sana siku moja kuipanda. Umri wangu ni miaka 35. Naomba tuelimishane....siku ya kwanza inakuagaje?..nikifika pale airpot jinia...naelekea wapi na wapi mpaka naingia ndani ya ndege?..na humo kwenye ndege nasikia kuna mikanda unajifunga....je unaweza kutembea humo ndani wakati ndege ikiwa juu?..natamani kujua kiujumla...habari za ndege. Sagari za ndani na za yale madege makubwa ya nje.
 
Wataka tuwe serious kwani wewe watoka upcountry?
hebu jitambue kule
Kueni serious basi nyie watu wa daslamu. Najua mnajua vitu vingi sana but wachoyo sana kuelimishana. Hua mnamaana gani kusema mjini shule kama majibu mnayonipa ndio haya ya kisembesembe?..Mnajibu utumbo utumbo tu kama Mwigulu Nchembe. Mnnfyuuuuusss
 
Back
Top Bottom