Sijawahi kuona mwanamke mgumu hivi

Sijawahi kuona mwanamke mgumu hivi

Mkuu 1000% nahisi umeandika story ya ex wangu
Dah nilisanda mamaee ukimtoa yy hakuna manz anaeingia gheto langu bila kumgegeda ila kwa huyo nilifail aisee
Kumuacha bila kumgegeda roho ilikua inaniuma mno
Hamna mkuu watu wanafanana but hii habari imenitokea Mimi kama mimi
 
Hamna mkuu watu wanafanana but hii habari imenitokea Mimi kama mimi
Pole sana all in all najua unachopitia coz yalishanikuta
Kama una mawazo ya papuch ww tafuta mwingne watu wa hvo labda uamue kumbaka
Kama unataka kumuoa hao ndo wake wanajua ku resist sio rahisi kuna kukucheat

Mm nilipiga chin coz by that tym sikua natafuta mke halafu genye zilikua nying niliona ananichanganya tu
 
Siwezi kuuziwa nbuzi kwenye gunia never!

Ñitambaka
 
Hapo unauziwa mbuzi kwenye kiroba hiyo ni used tena mileage 1000000
 
Mkuu 1000% nahisi umeandika story ya ex wangu
Dah nilisanda mamaee ukimtoa yy hakuna manz anaeingia gheto langu bila kumgegeda ila kwa huyo nilifail aisee
Kumuacha bila kumgegeda roho ilikua inaniuma mno
Hivyo ulimuacha kisa kakunyima lol
 
Kuuzwa mbuz kwenye gunia
Aiseee wengi wanaogopa
Maana msiba wa kujitakia
Hauna matanga
Hivi kumkuta mwanamke sio bikira ndio kuuziwa mbuzi kwenye gunia, hapana bana.
 
Pengine anaudhaifu kwenye maumbile ya papuchi yake, ski akikuupa na ukimtosa ataumia zaid na itamgharim. Na ukilijua hilo wakat ni mkeo tayar anaimani utavumilia udhaifu wake wala huto mtsngaza
Another assumption ni kua, anaeza kua ni mwema na ni bikra kweli hataki zinaa
 
Habari za jion wapendwa

Wakuu kuna mwanamke nimempata takribani tuko kwenye mahusiano miezi 8 amegoma kutoaa papuchi kabisaaa nimeongea maneno yooote bado haelewi somo

Ananiambia mpaka nimuoe ndo atanipa papuchi na yeye anadai ni bikraa na ana wivu balaa ila papuchi anagoma kutoa kabisa ila vingine vyote ananifanyia but papuchi noope amegomaa

Msaada wadau nifanyeje ili anikubalie kunipa hyo papuchi
Nimepitia mahusiano mengi na wanawake tofauti woote wamenipa but huyu kagoma kabisaaa

Msaada anaejua njia ya kumlaghai huyu mwanamke ili anipe tunda la mti wa katikati.
Bikira kuwa n wivu? Ndo nackia kwako mkuu
 
Mwache mtoto wa watu, huna nia njema wewe,kwa nini utake kumla kabla ya kutoa hata kishika uchumba
 
Usikubali kufanya zinaa. Huyo binti anafaa kuolewa. Ulishazungukia wengi ukawalagai basi posa huyo binti anayejiheshimu ukaoe.Wacha ufuska kuna magonjwa huogopi ?
 
Naanzaje kumdengulia my king.. Heeeeeeeee eti nizubae wambebe juu juu khakhaakhaa haipo hio

Smart911 sweetheart sijui hata nisemeje yaniiiiiiiiiiiii kwa Vyenye nakupenda sana my king haielezekiii.
 
Mvishe pete ya uchumba ya kuzugia.... Ila kujenga mazingira
 
Nilishafuatilia mtoto wa kampala mwaka wa kwanza miezi kibao akadai ana bikra kumbe ni bwawa.
Nilimvyomla tu tukapotezeana
 
Habari za jion wapendwa

Wakuu kuna mwanamke nimempata takribani tuko kwenye mahusiano miezi 8 amegoma kutoaa papuchi kabisaaa nimeongea maneno yooote bado haelewi somo

Ananiambia mpaka nimuoe ndo atanipa papuchi na yeye anadai ni bikraa na ana wivu balaa ila papuchi anagoma kutoa kabisa ila vingine vyote ananifanyia but papuchi noope amegomaa

Msaada wadau nifanyeje ili anikubalie kunipa hyo papuchi
Nimepitia mahusiano mengi na wanawake tofauti woote wamenipa but huyu kagoma kabisaaa

Msaada anaejua njia ya kumlaghai huyu mwanamke ili anipe tunda la mti wa katikati.
Mkuu ngoja nikupe mbinu:-

Asilimia kubwa ya wanawake hua wanapenda sana ndoa na katika kuipenda ndoa ndo maana wamedanganywa sana hadi wengine kujikuta wanaishia kuzalia nyumbani bila mafanikio yoyote hivyo ukiona hivyo jua kabisa kua huyo sio bikra ila alishadanganywa sana kua ataolewa na mwishowe aligawa papuchi nakuachwa. Sasa ili kumnasa mwanamke kama huyu lazima ucheze na akili yake, kwanza mwanamke anapenda sana kufanya jambo ambalo linawafurahisha wazazi wake na sio kuwakwaza kwahyo anahisi utamkojolea halafu utamuacha sasa chakufanya wewe mwambie unata mwende kwao halafu mkifika onyesha heshima kwa wazazi wake na mkirudi atakua anaanza kukuamini hivyo mkikutana muombe papuchi akionyesha kukunyima mwambie "mimi nakupenda ila wewe hunipendi namimi nimevumilia nimeshindwa najua unataka tuoane kwanza ila bado mambo hayajakua sawa ila wewe umeamua kuniumiza bali sio kunilinda mimi naona boratu tuachane siku nikiwa tayari kuoa nitakutafuta" mkuu ukimwambia hivyo kwakua umejitambulisha kwao anajua mkiachana atahojiwa hivyo atakupa mjegejo tu, akikunyima tena hapo nipe namba yake nikuunganishie..

Neno langu sio sheria
 
Ndio uone sasa kwamba wapo wanawake wanaojitunza mana hujazowea.

Na kama ana sifa fanya maarifa mapema japokuwa huwa hamchelewi kuwaacha kwenye mataa kisa tu hamjapewa papuchi.
Asikudanganye mtu sio kwamba huyo mwanamke anajitunza bali hisia zake hazijamtuma kufanya mapenzi nahuyo jamaa, nihilo tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom