Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,417
- 185,432
Love you sana my queen...
Thanks sweetie!
Love you sana my queen...
Linaanza na Enipe jina tu la huyo manzi linaanza na nn
NdiooBikira kuwa n wivu? Ndo nackia kwako mkuu
Hii nayo ni bonge La point hebu mtoa mada pitia hapa syo unawazawaza papichi tu.Pengine anakuonea huruma kukuunganisha kwenye gridi ya taifa.kuwa makini.
Umetishaa mkuu big upMkuu ngoja nikupe mbinu:-
Asilimia kubwa ya wanawake hua wanapenda sana ndoa na katika kuipenda ndoa ndo maana wamedanganywa sana hadi wengine kujikuta wanaishia kuzalia nyumbani bila mafanikio yoyote hivyo ukiona hivyo jua kabisa kua huyo sio bikra ila alishadanganywa sana kua ataolewa na mwishowe aligawa papuchi nakuachwa. Sasa ili kumnasa mwanamke kama huyu lazima ucheze na akili yake, kwanza mwanamke anapenda sana kufanya jambo ambalo linawafurahisha wazazi wake na sio kuwakwaza kwahyo anahisi utamkojolea halafu utamuacha sasa chakufanya wewe mwambie unata mwende kwao halafu mkifika onyesha heshima kwa wazazi wake na mkirudi atakua anaanza kukuamini hivyo mkikutana muombe papuchi akionyesha kukunyima mwambie "mimi nakupenda ila wewe hunipendi namimi nimevumilia nimeshindwa najua unataka tuoane kwanza ila bado mambo hayajakua sawa ila wewe umeamua kuniumiza bali sio kunilinda mimi naona boratu tuachane siku nikiwa tayari kuoa nitakutafuta" mkuu ukimwambia hivyo kwakua umejitambulisha kwao anajua mkiachana atahojiwa hivyo atakupa mjegejo tu, akikunyima tena hapo nipe namba yake nikuunganishie..
Neno langu sio sheria
Kwan uliowalala wote umeshawaoa?Kwa lugha nyepesi na iliyonyooka siwezi kuoa mwanamke ambae sijamlala....samahani km nitakuwa nimemkwaza mtu.
Una dada?!Kwan uliowalala wote umeshawaoa?
Kaoe mmojawapo kati ya wale uliowalala
Pamoja kakaUmetishaa mkuu big up
Nimekupata mkuu big upunaataka kula mzigo usepe au?? una malengo nae au??hata kama una malengo nae sikushauri uingize ndani bila kuonja,,, usidhubutu kamwe.....endelea kumtongoza..... wanawake wanapenda maneno matamu matumu muda wote... jisahaulishe kuhusu K.... jifanye kama usharidhika.....kimya story na mambo yanasonga mbele....atanasa tuu.... miezi 8 michache sana....
Kuna mtu atakua anamlala.
Nia ni kumlaghai!!! Wanawake wote mngekua mnajua hivi dunia ingekua salama.Umepitia mahusiano mengi na wanawake tofauti lakini umeshindwa kumlaghai hao waliokupa uliwalaghai vipi
Rule number two...Rule number one.
SHAKE WELL BEFORE USE
Mkuu hela ipo sina njaa kivile Mimi sema bado haelewi
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Ungekua na hela ungekua unatumia kasimu ka tecno W2??
Ukiona ivo ujue papuchi haina sura ya kuvutia.Habari za jion wapendwa
Wakuu kuna mwanamke nimempata takribani tuko kwenye mahusiano miezi 8 amegoma kutoaa papuchi kabisaaa nimeongea maneno yooote bado haelewi somo
Ananiambia mpaka nimuoe ndo atanipa papuchi na yeye anadai ni bikraa na ana wivu balaa ila papuchi anagoma kutoa kabisa ila vingine vyote ananifanyia but papuchi noope amegomaa
Msaada wadau nifanyeje ili anikubalie kunipa hyo papuchi
Nimepitia mahusiano mengi na wanawake tofauti woote wamenipa but huyu kagoma kabisaaa
Msaada anaejua njia ya kumlaghai huyu mwanamke ili anipe tunda la mti wa katikati.