Sijawahi kuona mwanamke mgumu hivi

Tozii Nyambii

Senior Member
Apr 1, 2017
144
225
Habari za jion wapendwa

Wakuu kuna mwanamke nimempata takribani tuko kwenye mahusiano miezi 8 amegoma kutoaa papuchi kabisaaa nimeongea maneno yooote bado haelewi somo

Ananiambia mpaka nimuoe ndo atanipa papuchi na yeye anadai ni bikraa na ana wivu balaa ila papuchi anagoma kutoa kabisa ila vingine vyote ananifanyia but papuchi noope amegomaa

Msaada wadau nifanyeje ili anikubalie kunipa hyo papuchi
Nimepitia mahusiano mengi na wanawake tofauti woote wamenipa but huyu kagoma kabisaaa

Msaada anaejua njia ya kumlaghai huyu mwanamke ili anipe tunda la mti wa katikati.
 
likandambwasada

JF-Expert Member
May 27, 2015
5,420
2,000
Habari za jion wapendwa

Wakuu kuna mwanamke nimempata takribani tuko kwenye mahusiano miezi 8 amegoma kutoaa papuchi kabisaaa nimeongea maneno yooote bado haelewi somo

.
MKUU OA MWANAMKE HUYO, MENGINE YATAJULIKANA HUKOHUKO MBELE YA SAFARI, KWANI HATA USIMPOMKUTA BIKRA SHIDA IKO WAPI??? HESHIMU UAMUZI WAKE, KAMA KWELI UNA NIA NAYE, MUOE TU. VINGINEVYO NIPE NAMBA YAKE NITAMUOA MIMI HAPA.. WEWE PAPUCHI ZOTE ULIZOONJA HUJAJUA LADHA TU???
 
Jawai

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
503
500
Habari za jion wapendwa

Wakuu kuna mwanamke nimempata takribani tuko kwenye mahusiano miezi 8 amegoma kutoaa papuchi kabisaaa nimeongea maneno yooote bado haelewi somo

Ananiambia mpaka nimuoe ndo atanipa papuchi na yeye anadai ni bikraa na ana wivu balaa ila papuchi anagoma kutoa kabisa ila vingine vyote ananifanyia but papuchi noope amegomaa

Msaada wadau nifanyeje ili anikubalie kunipa hyo papuchi
Nimepitia mahusiano mengi na wanawake tofauti woote wamenipa but huyu kagoma kabisaaa

Msaada anaejua njia ya kumlaghai huyu mwanamke ili anipe tunda la mti wa katikati.
Peleka barua ya posa kwao na ufanye mpango wa kumuoa haraka ili ule vya halali, zinaa ni dhambi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom