sundoka
JF-Expert Member
- Oct 9, 2011
- 2,067
- 2,752
Yani we nae unapuyanga. Sasa idadi yenu na yetu unaona ni sawa?Toa uthibitisho..
Vinginevyo vyote utakavyosema havina tofauti na kinyesi cha kuku...
Nimetoa hoja nikiattach ushahidi wa Sensa kuwa mkoa wa Kagera una asilimia 76 tuu ya watu wanaojua kusoma na kuandika halafu mnaishidanisha na kilimanjaro yenye asilimia 92!!!!!!
kama unabisha uje facts sio hizi mbolea na mashudu unazomwaga hapa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na je kama mmetuzidi wanaojua kusoma na kuandika kwa nini tukikutanishwa katika mtihani mmoja tunawafanya matusi?? Tunawatupa mbali mno? Sasa hapo mwenye elimu bora ni yupi?
Juzi niliwaambia kitu kuwa Kilimanjaro kielimu ni "kubwa jinga" najua hukunielewa! Idadi ya mashule kubwa, wanaojua kusoma wengi, lakini inapokuja mitihani mnapigwa na mhaya. "Kubwa jinga Kilimanjaro"
Sent using Jamii Forums mobile app