instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 11,381
- 14,186
Sio kwamba Watu au Wanafunzi wa Kagera wana akili sana kuliko wengine lakini ni juhudi za Wananchi, Walimu na Wazazi hasa kutathmini elimu kwa mtoto kuliko kitu chochote kile
Ukichungulia vyuo vikuu asilimia kubwa ya Wanafunzi wanatoka mkoa huu, hii yote ni kwa sababu ya ubora wa elimu na morali iliyopo kwa Walimu wa mkoa huu.
Sawa utamaduni wa kupenda elimu umekuwepo sana mkoa huu tangu enzi za machief au abakama lakini hio sio sababu kuwa mkoa ndo utoe wasomi wote hivyo, hii yote ni ubora wa elimu, shule zilivyopo katika mkoa huu.
Mikoa mingine nendeni Kagera mkajifunze hasa wilaya kuu ya Bukoba. Na kama unataka mtoto wake afaulu vizuri na apate elimu nzuri mpeleke Kagera maana ni mazingira mazuri sana ya kusomea, ndo maana hata Wahaya wengi waliopo Dar utaona watoto wake wapo katika shule za Kagera ambazo nyingi zinafanya vizuri na hata za Serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app