Sijawahi kuona mkoa wa Kagera unakosekana katika 10 bora ya matokeo yoyote ya elimu Tanzania

Toa uthibitisho..

Vinginevyo vyote utakavyosema havina tofauti na kinyesi cha kuku...

Nimetoa hoja nikiattach ushahidi wa Sensa kuwa mkoa wa Kagera una asilimia 76 tuu ya watu wanaojua kusoma na kuandika halafu mnaishidanisha na kilimanjaro yenye asilimia 92!!!!!!

kama unabisha uje facts sio hizi mbolea na mashudu unazomwaga hapa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani we nae unapuyanga. Sasa idadi yenu na yetu unaona ni sawa?

Na je kama mmetuzidi wanaojua kusoma na kuandika kwa nini tukikutanishwa katika mtihani mmoja tunawafanya matusi?? Tunawatupa mbali mno? Sasa hapo mwenye elimu bora ni yupi?

Juzi niliwaambia kitu kuwa Kilimanjaro kielimu ni "kubwa jinga" najua hukunielewa! Idadi ya mashule kubwa, wanaojua kusoma wengi, lakini inapokuja mitihani mnapigwa na mhaya. "Kubwa jinga Kilimanjaro"

Una akili ndogo kama punje ya mtama..

Kama shida ni Idadi ya watu wa Kagera kuwa wengi mbona Dar es salaam , Mwanza , Mbeya na Arusha zina watu wengi kushinda Kagera kwa mujibu wa hizo takwimu lakini bado zina kiwango cha watu wengi wanaojua Kusoma na kuandika kushinda Kagera ?

Kiufupi mkoa wa kagera hamna kitu... kama tuu kusoma na kuandika bado kunawashinda mnatoa wapi jeuri ya kujiita mmeelimika!!

Vyote unavyoongea havina tofauti na uharo kwa sababu huweki uthibitisho... kwahiyo ni upuuuzi mtupu unaongea..weka uthibitisho kama mimi nilivyoweka uthibitisho asilimia 76 tuu ya wakazi wa Kagera ndio wanaojua kusoma na kuandika wakati Kilimanjaro ni asilimia 92..

Ukishindwa kuweka uthibitisho usiniquote..

Sasa unajionaje kupewa mtihani mmoja na asiyeweza kusoma na kuandika na akakufunikilia mbali?? Huo ndo ukubwa jinga tunaousema. Umejitahidi kutafuta pa kufia, maskini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyote unavyoongea havina tofauti na uharo kwa sababu huweki uthibitisho... kwahiyo ni upuuuzi mtupu unaongea..weka uthibitisho kama mimi nilivyoweka uthibitisho asilimia 76 tuu ya wakazi wa Kagera ndio wanaojua kusoma na kuandika wakati Kilimanjaro ni asilimia 92..

Ukishindwa kuweka uthibitisho usiniquote..

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani niweke tena uthibitisho kwamba kwenye mitihani tunawaacha mbali??

Hebu acha uzembe soma uzi wote toka mwanzo ujitafutie mwenyewe vithibitisho tushaweka vingi usinichoshe. Hii ndo tabu ya kubishana na na watu wagumu kushila mambo ya darasani.

Mnakera jamani dah! Alafu sioni jipya kiukweli. Kwa heshima yako naomba ulale tu maana unazidi kuwadhalilisha wachaga wenzio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli we pompompo! Yani nianze tena upya kukupa data zilizotolewa tangu uzi unaanza hadi sasa? Kweli elimu ya kuangalizia bado pia inawashinda?? Seriously?? Unashindwa kurudia tena kuangalia??

BTW umeshinda. Kizuri kila mmoja anaona nani kala mweleka. Acha tu tulale

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna evidence... zaidi ya hisia tuu na kupost vitu ambavyo havihusiani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo beti za mashairi unayo ghani humu eti ndio ushahidi kwamba uislamu ulianza zamani kwa akili yako ya kizwazwa una HAKIKA shetani HAWEZI kughani hiyo mistari hizo ni stori ambazo baba kassim alikuwa akiwasomea warabu wa makkah View attachment 990726 na Mwenyewe baba fatuma amebainisha bila kificho View attachment 990729 masudi usiharibu uzi wa wenyewe acha wenyewe waogelee wakifika pwani na SISI tuanze kuogelea kama una hamu sana twende inbox dogo....

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahaaaahahhahhaaha sasa hapa umeonyesha ulivyo sufuri, ukipewa aya zinakuchapa bakora unaita beti za mashahiri, halafu hizo hizo unatumia kuniuliza maswali ahahahhaahahjaaja , umeishiwa hoja uislamu ulikuwepo kabla ya mtume, nimetoa Ibrahim, musa, nuhu, yusufu, Isa wote walikuwa waislamu, labda kama una swali jingine , kama hauna ebu tuambie Mungu ana haja gani yeye kuja kupigwa VIBAO na aliwaumba ? ahahahhaahhahaahahahhah
 
Unashangaa kukuuliza maswali kwa hayo mashairi unayo tupia humu kama hujui koloani is a handbook of satan
download.jpeg
njoo uanze udalali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahahaaaahahhahhaaha huku kwengine sasa baada ya kupewa maandiko , umeamua kuleta udaku halafu unaita maneno ya mtume , braza taja huo upupu umetoa kitabu gani cha hadithi?

Mimi sikatai kwamba baba fatuma sio mtume Ninacho kataa huyu hakutumwa na Mungu ilaha ni mtume wa ibilisi na baadhi ya dalili
IMG_20190111_201511_416.jpg
IMG_20190111_201624_742.jpg
wakati Biblia Takatifu Imesha Tangaza kabla ya muhammad hajazaliwa
IMG_20190111_202141_097.jpg
IMG_20190111_202251_802.jpg
Nikuongeze sishangai kuuliza hiyo hadithi umepata kitabu gani sababu hii deen wenyewe warabu
IMG_20181207_071713_713.jpg
wewe haikuhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sikatai kwamba baba fatuma sio mtume Ninacho kataa huyu hakutumwa na Mungu ilaha ni mtume wa ibilisi na baadhi ya dalili View attachment 992004View attachment 992009 wakati Biblia Takatifu Imesha Tangaza kabla ya muhammad hajazaliwa View attachment 992011View attachment 992013 Nikuongeze sishangai kuuliza hiyo hadithi umepata kitabu gani sababu hii deen wenyewe warabu View attachment 992016 wewe haikuhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hili jambo Mungu amelieleza kwa uwazi " anakuaje na mwana pasi na mke" akimaanisha ule ujinga wenu wa kumuita bikira maria mama wa Mungu , sasa ujinga kama huu kwanini Mungu asiukataze ? Uwana alioukataza Mungu huko wazi ni ule wa kusema Mungu kamuingilia Mariam akapatikana Yesu, wakati hili ni jambo dogo kwa Mungu hakuna aja ya kumpanda mtu, alisema. Kuwa Yesu akawa kama alivyosema kuwa NURU ikawa, halafu kila siku nakwambia wahab ndio mtume wa wawap ? wewe akili yako inamatatizo uislamu ni Quran na sunah basiiiii sio wahab wala wanubi ahahahhahahaah ahahahhha
 
Unaona ujinga wako wewe kuhusu lugha Imani ya Wa-Kristo ni zwazwa tu! Hebu shangaa kwa nini Bikira Maria Anamuita Mungu Baba yake Mungu Mwenyezi ana Uwezo wa kuwa na MWANA pasi na kuwa na Mke! Lakini Mungu wa warabu allah Uwezo huo hana mpaka apate mbuguma amuingilie as if ni dume la ng'ombe halafu allah allah ni mwanaume ana mb+-&$ kama wewe afu na hilo bishia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hili jambo Mungu amelieleza kwa uwazi " anakuaje na mwana pasi na mke" akimaanisha ule ujinga wenu wa kumuita bikira maria mama wa Mungu , sasa ujinga kama huu kwanini Mungu asiukataze ? Uwana alioukataza Mungu huko wazi ni ule wa kusema Mungu kamuingilia Mariam akapatikana Yesu, wakati hili ni jambo dogo kwa Mungu hakuna aja ya kumpanda mtu, alisema. Kuwa Yesu akawa kama alivyosema kuwa NURU ikawa, halafu kila siku nakwambia wahab ndio mtume wa wawap ? wewe akili yako inamatatizo uislamu ni Quran na sunah basiiiii sio wahab wala wanubi ahahahhahahaah ahahahhha
Mbona mmebadirisha maudhui ya uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom