masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Popote kambi , lazima vijana wapate challenge , mimi ni JABALI
Popote kambi , lazima vijana wapate challenge , mimi ni JABALI
ENDELEENI KUKARIRI TU, Tafuta mikoa yenye watu wasiojua kusoma unambie kagera ni ya ngapi.Sio kwamba Watu au Wanafunzi wa Kagera wana akili sana kuliko wengine lakini ni juhudi za Wananchi, Walimu na Wazazi hasa kutathmini elimu kwa mtoto kuliko kitu chochote kile
Ukichungulia vyuo vikuu asilimia kubwa ya Wanafunzi wanatoka mkoa huu, hii yote ni kwa sababu ya ubora wa elimu na morali iliyopo kwa Walimu wa mkoa huu.
Sawa utamaduni wa kupenda elimu umekuwepo sana mkoa huu tangu enzi za machief au abakama lakini hio sio sababu kuwa mkoa ndo utoe wasomi wote hivyo, hii yote ni ubora wa elimu, shule zilivyopo katika mkoa huu.
Mikoa mingine nendeni Kagera mkajifunze hasa wilaya kuu ya Bukoba. Na kama unataka mtoto wake afaulu vizuri na apate elimu nzuri mpeleke Kagera maana ni mazingira mazuri sana ya kusomea, ndo maana hata Wahaya wengi waliopo Dar utaona watoto wake wapo katika shule za Kagera ambazo nyingi zinafanya vizuri na hata za Serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Popote kambi , lazima vijana wapate challenge , mimi ni JABALI
Hatuna tambo za kipuuzi hizo, ndio maana huyo mzigua tumekutajia hamkawii kusema muhaya
We hata sielewi unabisha nini hebu tazama hayo matokeoYaani umetafuta alipo muhaya ndio umetuletea hapa ahahaahahahahahahajajjajj umeona matatizo yenu , namna hii mtaendelea kuwa na misifa ya kijinga , lakini hamna kitu ,
Hebu angalia wanafunzi katika wilaya ya muleba kama hawazidi nusu ya mkoa wako huo unaosifia ? Na matokeo haya je halafu unaponiambia shule ni chache sikuelewi leta hizo data . sijaona data hata moja ya watu wa Kilimanjaro ni phorojo tuENDELEENI KUKARIRI TU, Tafuta mikoa yenye watu wasiojua kusoma unambie kagera ni ya ngapi.
Lakin pia zama za nshomile ilikuwa zamani ambapo maprofesa weng walikuwa wahaya na kubania wengine wasio wakagera ktk kupata uprofesa nk. Lakin pia watu hawa wanaongoza kwa cheating sn.
Pia kagera shule ni chache mno na idadi ya wahitimu ni ndogo sn ukilinganisha na mikoa mingine.
Nchi hii inawatu katk mikoa mingine walioenda shule weng, mf Kilimanjaro ( kumbuka walishakuwa na shule ngazi ya kata hata kabla ya 2005 na idadi ni kubwa kubwa ya ya wahitimu), Kigoma ina watu wenye akili sana, Ukerewe, Songea, nk na wanaongezeka kwa kasi hyo Kagare ni zaman hizo
We hata sielewi unabisha nini hebu tazama hayo matokeoView attachment 989376
Sent using Jamii Forums mobile app
ENDELEENI KUKARIRI TU, Tafuta mikoa yenye watu wasiojua kusoma unambie kagera ni ya ngapi.
Lakin pia zama za nshomile ilikuwa zamani ambapo maprofesa weng walikuwa wahaya na kubania wengine wasio wakagera ktk kupata uprofesa nk. Lakin pia watu hawa wanaongoza kwa cheating sn.
Pia kagera shule ni chache mno na idadi ya wahitimu ni ndogo sn ukilinganisha na mikoa mingine.
Nchi hii inawatu katk mikoa mingine walioenda shule weng, mf Kilimanjaro ( kumbuka walishakuwa na shule ngazi ya kata hata kabla ya 2005 na idadi ni kubwa kubwa ya ya wahitimu), Kigoma ina watu wenye akili sana, Ukerewe, Songea, nk na wanaongezeka kwa kasi hyo Kagare ni zaman hizo
Nachozungumza nakijua vizuri, nimeishi huko, hakuna mahali ambapo watu ni washamba kama kagera kila kitu wanataka upendeleo na roho ya kwa nineti wanaongoza kwa cheating!!! Umeonesha jinsi gani unaokoteza maneno kwa kuleta simple reason kama hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawai kutoa lugha chafu , mimi ni mtu na heshima zangu, wazee kama wewe mnaozeeka vibaya ni janga , kama sio matusi basi mapicha ya mbwa Anakula mavi, ata kama mimi ni admin nafutilia mbali huo uzijabali hira aliko kabwa mtume wa warabu umeshaona ni wadhifa!
Hadi uzi WETU adhimu umefungwa kwa ajili ya lugha yako chafu masudi
Sijawai kutoa lugha chafu , mimi ni mtu na heshima zangu, wazee kama wewe mnaozeeka vibaya ni janga , kama sio matusi basi mapicha ya mbwa Anakula mavi, ata kama mimi ni admin nafutilia mbali huo uzi
Huwezi kuelewa kijana , pitia vizuri data zako utanielewaWe hata sielewi unabisha nini hebu tazama hayo matokeoView attachment 989376
Sent using Jamii Forums mobile app
Ibrahim alikuwa muislamu unatuambia dini ya waarabu !! ahahahaahh Ahahahahhhahjajahajajajjajja , mbona watu wamempiga Mungu wa kichina halafu wewe unafuraia tuutajionaje mnyewe ni mtukanaji unafikiri wenyewe warabu wenye deen yao wakiona unampiga baba fatuma kila siku wanapenda
Sent using Jamii Forums mobile app
TO kwenye nini ? unamjua TO kwenye sanaa , unamjua TO kwenye biashara ? kwanini wote hao ukuwaleta au lengo lako lilikuwa ni kumuonyesha muhaya tu, braza unayumba
Nachozungumza nakijua vizuri, nimeishi huko, hakuna mahali ambapo watu ni washamba kama kagera kila kitu wanataka upendeleo na roho ya kwa nin
Ibrahim alikuwa muislamu unatuambia dini ya waarabu !! ahahahaahh Ahahahahhhahjajahajajajjajja , mbona watu wamempiga Mungu wa kichina halafu wewe unafuraia tu
Huwezi kuelewa Quran mdogo wangu, Mohamadi ni wa kwanza kwa nyakati zake, hii dini ilikuwepo Mohamadi ajazaliwamasudi tusichafue hali ya hewa huku tafadhali sana niliesema hii deen ya warabu sio Mimi ni allah Mwenyewe View attachment 989446 na wenye deen yao View attachment 989449 wee unaunga unga eti uislamu umeanzia ibrahim muislamu wa kwanza baba fatuma View attachment 989453 wa pili bi khadija....
Sent using Jamii Forums mobile app
Usitake battle ambayo mshindi anajulikana .najua kuwa Kilimanjaro nayo inafanya vzr kielimu .Sawa lakini mkoa huo huwezi linganisha kagera kielimu.anzisha nawe Uzi ukileta battle ya kuulinganisha mikoa miwili hapa tunaoongelea mkoa wa kagera na mafanikio yake kielimu.kwanini watu wa Kilimanjaro mnapenda Sana battle na hawa watu wa kagera ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuelewa Quran mdogo wangu, Mohamadi ni wa kwanza kwa nyakati zake, hii dini ilikuwepo Mohamadi ajazaliwa
QURAN 42:13
";Amekuamrisheni DINI ile ile aliyo muhusia Nuhu, na tuliyokufunulia wewe (Mohammed) ,na tuliyo wausia Ibrahim na musa na Isa, kwamba shikeni DINI wala msifarikiane";
umeona mambo sasa hii dini kitambo , sana ila kila Uma mtume wa uma ule anakuwa wakwanza kuhuisha, ata Musa alikua wa kwanza kuhuisha kwa zama zake
Halafu huyu wahabi kapewa utume vatican ? maana ndio nashangaa unavyomleta hapa kama vile ni chanzo rasmi cha uislamu unashangaza kweli, swali lingine kijana nikutoe tongotongo