sundoka
JF-Expert Member
- Oct 9, 2011
- 2,067
- 2,752
Achana naye huyu ashakubali wahaya wamesoma kuzidi wachaga, sema anataka kujua faida za elimu yetu. Akaribie KanyigoMkuu ujanielewa kabisa , wahaya wengi wamesoma ili liko wazi, lakini bahati mbaya huku mtaani hamna tofauti yeyote na asie soma , tena bahati mbaya unaweza kuta boss wako aliekuajiri ata elimu hana
Sent using Jamii Forums mobile app