Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,255
- 2,978
Kona ya nyegezi hukuMasha au Nyamalango
Kona ya nyegezi hukuMasha au Nyamalango
DafurMasha au Nyamalango
Rehema unaonaje tukiwa couple ili wenye wivu wajinyonge [emoji16][emoji16]Naona una wivu na mimi ,usjali lakini kawaida tu
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa mkuuAcha roho mbaya mkuu
Na mm nataka nkachangie ule uzi pendwa
Mim nakuaminiMkuu niamini mimi
[emoji23][emoji23] Ok Seriously tujaribu !Wanaplan tu
Tujaribu basi
Aisee wacha ntajaribu, its far better nianze kwakoUkiamua mbona unaweza tu
Anakuja kwa 7800 🤣,Mkoani unakuja kwa bei gani?
Embu picha hata ya miguu yako na vidole vya miguuni tutafahamu yote unayosema kama ni kweliKuna Uzi mmoja humu unadai mimi ndiye nilikutana na maghalah R Dar baada ya kutumiwa nauli na huyo x ambaye hata hivyo aliogopa kupima vvu kabla ya kukutana kimwili
Huyo mwanaume ni sawa nilikutana naye humu Jf na kuanza mahusiano hadi akatuma nauli na nikafika Dar but papara zake zilisababisha tusisex lakini hakuwa Maghalar
Siku nafika Dar nilikuwa sijavaa sweta lolote na wala sina sweta lililoandikwa Tanzania,but ninalo jekundu lina maandishi sports
Mimi mrefu wastani,foot 5.6, kati,ni maji ya kunde na hips ,pia sio mnene sana nipo kati mimi sio mfupi kama mlivyodai
Mimi ni mnyambo mwenye asili ya kinyarwanda ,yaani bibi kizaa mama inasadikika ametokea kwa kagame huko
Mimi binti mrembo naamini hata Mr C niliyewahi kukutana naye humu mpaka Dar bila kumsahau Mr R niliyekutana naye mbeya ni mashahidi kuwa mimi ni mrembo tena cute kama jina langu sijawahi kuzaa wala kuabort
Jamani mimi si wa kupewa 7800 bali mimi nikupe 50000 matumizi kama nimekupenda seriously lakini ,kama umeshika moyo hata kama huna pesa nihakikisha nimempata mheshimiwa fulani ili awe ananipa hela tunatumia wote
Si kweli,mimi ni Rehema nimesoma SAUT Mwanza 2015 hadi 2018
Pacha nimejikuta nakumbuka zile tags za wambea.Nimemiss nyuzi za hivi
Good old days JF ilikuwa haiishi matukio
Siku hizi kumepoa kinyama
Siku hizi sijui hamkutani kulana kimasihara
Kaka huu mwandiko mi mwenyewe umenitia mashaka eti.Member wa siku hizi kwenye JF wanapenda kuchezea wenzao akili.
Usikute ni mtu mmoja huyu, huku anajisema kule anajikanusha!!
Inaonesha kama umechanganyikiwa, too much information na usisahau wewe ni mshabiki wa Tototundu. Aidha cutelove umewadhalilisha wanafunzi wa SAUT, wakaazi wa Mwanza na watu wa Karagwe. Hata mabinti wa KagameKuna Uzi mmoja humu unadai mimi ndiye nilikutana na maghalah R Dar baada ya kutumiwa nauli na huyo x ambaye hata hivyo aliogopa kupima vvu kabla ya kukutana kimwili