Sijawahi kukutana na Maghalah R

Sijawahi kukutana na Maghalah R

Unajitahidi.
Uanzishe thread kwa ID moja kuisemea ID yako ya pili.
 
Hahaa tuma mkuu! Ukinikimbia basi fresh tu narudi zangu ila please usitume 7,800 kama alotumiwa ndugu yangu huyu[emoji3][emoji3]
Hahahaha......7800 Hahahaahaha!!

Sawa nakutumia ila ukumbuke kavaa sweta lako la Tanzania na ile mikoba yako ya uganga wa babu usiiache kuichukua[emoji1][emoji1]
 
Bado wajuba hawajaamini Enewei njoo Dar ntakupa nauli tuhakikishe
 
Back
Top Bottom