Sijawahi kukutana na Maghalah R

Sijawahi kukutana na Maghalah R

Kuna Uzi mmoja humu unadai mimi ndiye nilikutana na maghalah R Dar baada ya kutumiwa nauli na huyo x ambaye hata hivyo aliogopa kupima vvu kabla ya kukutana kimwili

Huyo mwanaume ni sawa nilikutana naye humu Jf na kuanza mahusiano hadi akatuma nauli na nikafika Dar but papara zake zilisababisha tusisex lakini hakuwa Maghalar

Siku nafika Dar nilikuwa sijavaa sweta lolote na wala sina sweta lililoandikwa Tanzania,but ninalo jekundu lina maandishi sports

Mimi mrefu wastani,foot 5.6, kati,ni maji ya kunde na hips ,pia sio mnene sana nipo kati mimi sio mfupi kama mlivyodai

Mimi ni mnyambo mwenye asili ya kinyarwanda ,yaani bibi kizaa mama inasadikika ametokea kwa kagame huko

Mimi binti mrembo naamini hata Mr C niliyewahi kukutana naye humu mpaka Dar bila kumsahau Mr R niliyekutana naye mbeya ni mashahidi kuwa mimi ni mrembo tena cute kama jina langu sijawahi kuzaa wala kuabort

Jamani mimi si wa kupewa 7800 bali mimi nikupe 50000 matumizi kama nimekupenda seriously lakini ,kama umeshika moyo hata kama huna pesa nihakikisha nimempata mheshimiwa fulani ili awe ananipa hela tunatumia wote
Kwa hiyo mama we mtu akitaka kukutumia unatumika tuu haina shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So what.Nakuweka ignore list.Nothing special here.
 
Ulikuwa wapi kukanusha mwaka juzi? Hebu weka picha yako tukutathmini
 
Halafu unasema wewe ni mrefu wa wastani (sio mrefu wala mfupi) urefu wa futi tano na nusu Kama ulivyosema ni kimo Cha msichana mrefu sana. Kwanini unatutoa mashaka?
Kwani ungekaa kimya ungepungukiwwa nini?
 
  • Thanks
Reactions: amu
 
Kuna Uzi mmoja humu unadai mimi ndiye nilikutana na maghalah R Dar baada ya kutumiwa nauli na huyo x ambaye hata hivyo aliogopa kupima vvu kabla ya kukutana kimwili

Huyo mwanaume ni sawa nilikutana naye humu Jf na kuanza mahusiano hadi akatuma nauli na nikafika Dar but papara zake zilisababisha tusisex lakini hakuwa Maghalar

Siku nafika Dar nilikuwa sijavaa sweta lolote na wala sina sweta lililoandikwa Tanzania,but ninalo jekundu lina maandishi sports

Mimi mrefu wastani,foot 5.6, kati,ni maji ya kunde na hips ,pia sio mnene sana nipo kati mimi sio mfupi kama mlivyodai

Mimi ni mnyambo mwenye asili ya kinyarwanda ,yaani bibi kizaa mama inasadikika ametokea kwa kagame huko

Mimi binti mrembo naamini hata Mr C niliyewahi kukutana naye humu mpaka Dar bila kumsahau Mr R niliyekutana naye mbeya ni mashahidi kuwa mimi ni mrembo tena cute kama jina langu sijawahi kuzaa wala kuabort

Jamani mimi si wa kupewa 7800 bali mimi nikupe 50000 matumizi kama nimekupenda seriously lakini ,kama umeshika moyo hata kama huna pesa nihakikisha nimempata mheshimiwa fulani ili awe ananipa hela tunatumia wote
Bwn Magala alishatupatia wajihi wako!??
usihangaike kutuandikia mara mbili mbili..
 
Kumbe PM za warembo humu zishaanza kufanya kazi eeh?acha na mm ninuse nuse naweza ambulia chochote kitu
 
Back
Top Bottom