Hivi nyinyi wadada wenye uzoefu humu mnaruhusije wasichana waje kujianika humu? Hamuwafundi vizuri kabla ya kuwaruhusu waje humu?Aibu nimeona Mimi.
Tukikutongoza pm unaleta ubabe af leo hii unataka watu walane kimasihara..how?,,charity starts at home.Nimemiss nyuzi za hivi
Good old days JF ilikuwa haiishi matukio
Siku hizi kumepoa kinyama
Siku hizi sijui hamkutani kulana kimasihara
Stress kujitakia tu, huu Uzi either utaenda mbali au utafutwaOohooo!!..kumekucha
Ah..! Rehema classmate wangu nimekutafuta sanaSi kweli,mimi ni Rehema nimesoma SAUT Mwanza 2015 hadi 2018
Leta picha basi bibieYaan wew mwanaume
Yeah!!seriously nimezingua kwenye hiko kipengele 🤣🤣Tukikutongoza pm unaleta ubabe af leo hii unataka watu walane kimasihara..how?,,charity starts at home.
Kidding.
Unaenda Tena kuliwa Kimasihara, usije Tena kuanzisha nyuz za malalamiko.Poa best
Kukung'uta siafu ndio nini The MonkKuna kukung'uta siafu siku hizi.
Naona una wivu na mimi ,usjali lakini kawaida tuUnaenda Tena kuliwa Kimasihara, usije Tena kuanzisha nyuz za malalamiko.
Unajirahisi mno kwa wanaume.
ACHA KUA CHEAP KIASI HICHO DADA ANGU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaplan tuHahahh natania tuu
Mimi sijawah kukutana na binadamu wa humu
Sijui hao wanawezaje ?
Nimeshajua anuani ya nyumba yako, after all nimeongea na balozi wa nyumba kumi atanipa escort hadi kwako.Hahaha,