Sijawahi kukutana na Maghalah R

Sijawahi kukutana na Maghalah R

Kuna Uzi mmoja humu unadai mimi ndiye nilikutana na maghalah R Dar baada ya kutumiwa nauli na huyo x ambaye hata hivyo aliogopa kupima vvu kabla ya kukutana kimwili.

Huyo mwanaume ni sawa nilikutana naye humu Jf na kuanza mahusiano hadi akatuma nauli na nikafika Dar but papara zake zilisababisha tusisex lakini hakuwa Maghalar.

Siku nafika Dar nilikuwa sijavaa sweta lolote na wala sina sweta lililoandikwa Tanzania,but ninalo jekundu lina maandishi sports.

Mimi mrefu wastani,foot 5.6, kati,ni maji ya kunde na hips ,pia sio mnene sana nipo kati mimi sio mfupi kama mlivyodai.

Mimi ni mnyambo mwenye asili ya kinyarwanda ,yaani bibi kizaa mama inasadikika ametokea kwa kagame huko.

Mimi binti mrembo naamini hata Mr C niliyewahi kukutana naye humu mpaka Dar bila kumsahau Mr R niliyekutana naye mbeya ni mashahidi kuwa mimi ni mrembo tena cute kama jina langu sijawahi kuzaa wala kuabort.

Jamani mimi si wa kupewa 7800 bali mimi nikupe 50000 matumizi kama nimekupenda seriously lakini ,kama umeshika moyo hata kama huna pesa nihakikisha nimempata mheshimiwa fulani ili awe ananipa hela tunatumia wote.
Mkuu naomba unipe mimi hiyo 50000 ya matumizi ili niamini kweli hukupewa ile 7800 na yule Baharia Magallar R! 🙄

Mimi ni mstaafu nisiye na hela kwa sasa baada ya kuyatumia mafao yangu vibaya na ndani ya muda mfupi tu.
 
Itoshe kusema mimi naomba niwe msoma comments tu.
 
Hii business kwenu wadada inalipa? Zamani ulikuwa unatumia jina gani? Wewe ndo ulienda dubai,sweden kwa choppa? Halafu passport yako alikushughulikia mzungu ukashangaa tu kakuletea home?😂😂😂 Hivi ulitufikiriaje? Una elimu gani maana nina wasiwasi ni division 5 maana si kwa utopolo ambao huandika. Ila pia una ID ambayo ulikuwa unatumia zamani
 
Kuna Uzi mmoja humu unadai mimi ndiye nilikutana na maghalah R Dar baada ya kutumiwa nauli na huyo x ambaye hata hivyo aliogopa kupima vvu kabla ya kukutana kimwili.

Huyo mwanaume ni sawa nilikutana naye humu Jf na kuanza mahusiano hadi akatuma nauli na nikafika Dar but papara zake zilisababisha tusisex lakini hakuwa Maghalar.

Siku nafika Dar nilikuwa sijavaa sweta lolote na wala sina sweta lililoandikwa Tanzania,but ninalo jekundu lina maandishi sports.

Mimi mrefu wastani,foot 5.6, kati,ni maji ya kunde na hips ,pia sio mnene sana nipo kati mimi sio mfupi kama mlivyodai.

Mimi ni mnyambo mwenye asili ya kinyarwanda ,yaani bibi kizaa mama inasadikika ametokea kwa kagame huko.

Mimi binti mrembo naamini hata Mr C niliyewahi kukutana naye humu mpaka Dar bila kumsahau Mr R niliyekutana naye mbeya ni mashahidi kuwa mimi ni mrembo tena cute kama jina langu sijawahi kuzaa wala kuabort.

Jamani mimi si wa kupewa 7800 bali mimi nikupe 50000 matumizi kama nimekupenda seriously lakini ,kama umeshika moyo hata kama huna pesa nihakikisha nimempata mheshimiwa fulani ili awe ananipa hela tunatumia wote.
SIjawahi kuona nyuki akijisifia utamu wa asali yake.

Punguza swaga bebe.
Ishi kwa kujituliza, sisi kobe tunakuja tartiiibu tu
 
Back
Top Bottom